Alitumia dawa gani mbadala?Dada yangu alikuwa na tatizo hilo na aligundua mapema uvimbe ukiwa ndio unaanza, alitumia hizo tiba mbadala na uvimbe uliisha sasa ni mwaka wa5 hajaona tatizo tena.
Ulipatiwa dawa gani mkuu?Mie nilipata hilo tatizo mwaka 2011, nilienda hospitali wakashauri nipewe dawa za kurudisha uvimbe nikatumia ndani ya wiki mbili nikarudi tena kwenye ultrasound ikaonekana viuvimbe havipo. Mpaka na leo niko mzima wa afya
Ahsante sana kwa ushauri ndugu yangu na je ni hospitali gani aliopata huo msaada ndugu yangu?Mm najua km uvimbe sio mkubwa sana kuna dawa unapewa ili usikue.kuna mtu namfahamu yeye alichomwa sindano....mwaka sasa sijamsikia kulalamika
Km ni mkubwa no option operation inahusu..haina haja ya kuogopa km kuzaa atazaa tu...lkn akiuacha itakua shida baadae
Kama hautojali tafadhali tutajie hiyo hospitali.Mie nilipata hilo tatizo mwaka 2011, nilienda hospitali wakashauri nipewe dawa za kurudisha uvimbe nikatumia ndani ya wiki mbili nikarudi tena kwenye ultrasound ikaonekana viuvimbe havipo. Mpaka na leo niko mzima wa afya
Hii nimesoma juzi kati kwenye kijarida cha ''What is happening in Dar'' na wanasema procedure inachukua an hr or so.Nenda hospitali uonane na Dr bingwa wa wanawake. Matibabu ya uvimbe yanategemea vitu vingi, afya yako, mahali ulipo na size ya uvimbe, mipango yako ya baadae etc. Hiyo ya kutoa uvimbe bila kupasua kabisa hata agha khan wanafanya na ni salama zaidi na kidonda kinapona upesi sana. Wapo waliotolewa wakapona, wapi walioambiwa na Dr hawatazaa na wamezaa. Mungu ndio ana final verdict. Nenda hospitali kwa imani
Duuuh!! Mie hata sijui inaitwaje.Alitumia dawa gani mbadala?
Hii nimesoma juzi kati kwenye kijarida cha ''What is happening in Dar'' na wanasema procedure inachukua an hr or so.
Nipo mpendwa ni uzee tu majukumu vinashika kasi.Ulipotelea wapi jamani? Nimefurahi kukuona ukiwa bukheri wa afya.
Inaitwa endoscopy. Kuna shosti alikuwa na epictopic pregnancy. Akafanyiwa hii procedure, baada ya siku 7 akarudi kazini. Dr ananiambia kanyaga twende, ndani ya miezi 2 alikuwa na mimba tena. Keshapata kababy kake siku nyingi.
Kwa issue za uzazi nadhani inachukua muda mrefu. Operation za moyo na tumbo pia wanafanya hii nayo imepunguza muda hata wa kuugua.
Hongera kumbe siku hizi umeshakuwa mfamasia...View attachment 506382
Izuie Fibroid kwa kutumia bidhaa ya Refined_Yunzhi_Essence
Ambayo inazuia na kuondoa kabisa vimbe hizo bila kuhitaji kufanyiwa upasuaji
1.Kuondoa maumivu ya tumbo wakat wa hedhi
2.Huleta hamu ya Tendo la ndoa (Wanawake)
3.Huongeza Kinga za Mwili
4.Huweka Homon kuwa sawa ndani ya mwili
5.Huongeza hamu ya kula na kuuweka mwili sawa
6.Huweka siku za mwanamke kuwa sawa katika mzunguko sahihi.
7.Ni nzuri kwa walio pigwa na mionzi ya Chemotherapy
8.Huondoa Seli za kansa haraka sana
9.Husaidia katika Upumuaji hasa watu wenye (Pumu)
10.Ni nzuri kwa wanawake wa umri wotee.
kwa bei tsh 120,000/=
mawasiliano
0788389149
Karibu Upate utatuzi bila Upasuaji
Kwanza Shkamoo babuHongera kumbe siku hizi umeshakuwa mfamasia...
mimi sipo hapa kubishana, vyovyote unavyoamini wewe ni sawaUterine Artery Embolization ndio suluhisho mengine ngonjera tu...
MarahabaaaaKwanza Shkamoo babu
Asante kwa pongezi
hahah nipoo huwa nawasoma tu.Marahabaaaa
Hongera mjukuu kwa kuwa mjasiriamali. Ukipata za kuongeza nguvu za kiume ntakuunga mkono, si unajua umri ushaenda huu??
Ila usipotee tena sana bhana.
Kila la kheri na baraka tele.