tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,419
Mm najua km uvimbe sio mkubwa sana kuna dawa unapewa ili usikue.kuna mtu namfahamu yeye alichomwa sindano....mwaka sasa sijamsikia kulalamika
Km ni mkubwa no option operation inahusu..haina haja ya kuogopa km kuzaa atazaa tu...lkn akiuacha itakua shida baadae
Km ni mkubwa no option operation inahusu..haina haja ya kuogopa km kuzaa atazaa tu...lkn akiuacha itakua shida baadae