Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

Wewe ndiyo nimekuelewa Sasa..maana huko juu watu wamen'gan'gana na mavidonge na uzazi wa mpango na Kuna watu nawajua hawajawahi Tumia ivyo vitu na hizo chemicals lakini wamepata hizo vimbe.
Sijawahi Kutumia njia yoyote ya kizungu ya uzazi wa mpango, niko na watoto wawili wanapishana miaka saba, ajabu mwaka juzi nilikutwa na uvimbe kwa kizazi
 
Sijawahi Kutumia njia yoyote ya kizungu ya uzazi wa mpango, niko na watoto wawili wanapishana miaka saba, ajabu mwaka juzi nilikutwa na uvimbe kwa kizazi

Kupishana sana kwa watoto ni tatizo kubwa, kuzaa watoto wachache pia ni tatizo... sina maelezo mazuri kuhusu hili ila ni kwa mujibu wa utafiti.
 
Mnabishana na miuzazi wa mpango huyo caren ni ni kunywa midawa ya kuongeza weupe ndio maana anashonwa inakataa kwa sababu ngozi ishakuwa laini sana
 
Sijawahi Kutumia njia yoyote ya kizungu ya uzazi wa mpango, niko na watoto wawili wanapishana miaka saba, ajabu mwaka juzi nilikutwa na uvimbe kwa kizazi
vipi ulipata matibabu gani yaliyokusaidia?
 
Hii imetumika na haijawa na msaada wowote
 
Alifanyiwa operation mkuu.....yupo sawa kwa sasa
Hongera sana mkuu. Mgojwa wangu alifanyiwa operesheni MNH lakini imerudi. Meza mitishamba lakini wapi. Mlienda hospitali gani? Naweza pata contacts za doctor aliyemsaidia?
 
Hongera sana mkuu. Mgojwa wangu alifanyiwa operesheni MNH lakini imerudi. Meza mitishamba lakini wapi. Mlienda hospitali gani? Naweza pata contacts za doctor aliyemsaidia?
Pole mkuu...sie tulichukua option ya kutoa kabisa kizazi...sababu docta alitwambia hakifai tena hizo fibros zimekuwa kubwa sana...dawa za mitishamba kwa uzoefu wangu hazisaidii asee...wangu alimeza sana hizo makitu bila msaada wowote...me ilikuwa arusha mkuu
 
Sisi tuna tiba lishe inaondoa kabisa tatizo la fibroids(myoma)bila kufanyiwa upasuaji hata kama mtu hazai anazaa kwa kutumia tiba lishe yetu nipigie 0714267658
 
Hongera sana mkuu. Mgojwa wangu alifanyiwa operesheni MNH lakini imerudi. Meza mitishamba lakini wapi. Mlienda hospitali gani? Naweza pata contacts za doctor aliyemsaidia?
Ila madaktari wengine bwana!
Wanajua kabisa hizi mambo za vimbe kwenye kizazi sio guarantee kuwa zikitolewa ndo umepona,lazima zinarudi ,sijui kwann wanawafanyia operation jmn!
 
daah noma mkuu. mimi najaribu option ya mwisho. ikigoma inabidi kutoa tu hakuna namna
 
Ila madaktari wengine bwana!
Wanajua kabisa hizi mambo za vimbe kwenye kizazi sio guarantee kuwa zikitolewa ndo umepona,lazima zinarudi ,sijui kwann wanawafanyia operation jmn!
daktari nilimwelewa sana,alisema yote hayo kwa ushauri wake alitaka tupate gap la mimba. ili ikirudi tena inakuaa tayari umeshapata mtoto. Bahati mbaya imeshindikana
 
Sisi tuna tiba lishe inaondoa kabisa tatizo la fibroids(myoma)bila kufanyiwa upasuaji hata kama mtu hazai anazaa kwa kutumia tiba lishe yetu nipigie 0714267658
nina imani haba na tiba lishe. wameshanilia zaidi ya laki 3 matokeo bila bila. ukiwarudia wanahamisha magoli tu
 
The Forever Living Products can't Cure Uterine Fibroids (Myoma). The have some herbal Remedies can Cure Uterine Fibroids.

How To Heal Fibroids, PCOS, Infertility & Endometriosis - Dr. Sebi Methodology​

Haukupata dawa ta mitishamba zinazo tibu hayo maradhi ya uvimbe wa Fibroids ndio maana unasema dawa za mitishamba hazifai. Mimi ninawatibu wagonjwa wenye huo uvimbe kwenye kizazi Fibroids na wanapona kabisa kwa dawa za mitishamba.
 
Hii imetumika na haijawa na msaada wowote
Mkuu nitafute mimi nipate kumtibia mgonjwa wako kwa dawa za asili kwamuda wa miezi 3 atapona kabisa. Utamfanyia operesheni kuondowa hiyo Fibroids baada ya miak 2 itarudi tena huo uvimbe kwenye kizazi Fibroids kama huniamini jaribu utakuja tena hapa hapa kueleza shida zako.ukihitaji matibabu toka kwangu nitafute kwa wakati wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…