Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

Habari za leo wanaJF.

Ningependa kujua zaidi kuhusu Fibroids (Masses zinazoota kwenye mfuko wa uzazi), madhara yake hasa yanayohusiana na mimba na tiba hasa za asili kama zipo.

Asanteni!
Mkuu Dawa ya kukutibu Hiyo Fibroid ninayo ukiwezakunitafuta bonyeza hapa.Mawasiliano
 
UVIMBE KWENYE KIZAZI ONGEZEKO LAKE LINATISHA SABABU NI NINI? FIBROID NI NINI?

Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi.

Kuna aina kuuzifuatazo za fibroids:

1.Submucosal fibroids(ndani ya kizazi)

2.Intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi)

3. Subserosal(nje ya kizaz) Watu wafuatao wako hatarini ya kupata ugonjwa huu fibroids
1.Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa

2.Miaka kuanzia kubarehe mpaka hedhi kukoma

3.Kurithi

4.Unene

5.Kuingia hedhi mapema Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida tu ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubarehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini. Na mara nyingi uvimbe huu waga unaongezeka kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto. Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids au kitaalam leomyoma.

Dalili za fibroids
1.Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi.

2.Kutokwa na uchafu wenye kiaharufu mbaya au ambao hauna harufu lkn mwingi na mweupe.

3.Maumivi ya kiuno hasa wakati wa hedthi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe..wengi hupata maumivu makali sana.

4.Tumbo kuuma sana chini ya kitovu.

5.Hedhi zisizokuwa na mpango

6.Maumivu wakati wa tendo la ndoa

7.Kukosa hamu ya tendo la ndoa

8.Maumivu makali wakati wa hedhi Uvimbe unapokua mkubwa unaweza kusababisha dalili zifuatazo;

1.Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo

2.Mkojo kubaki kwenye kibofu cha mkojo

3.Haja kuwa ngumu

4.Miguu kuvimba

5.Kupungukiwa damu Jinsi fibroids zinavyoweza kuzuia kupata mtoto:

1.Fibriods zikikua sana zinakandamiza mishipa ya kupitisha mayai kutoka kwenye kiwanda yan ovari

2.Uvimbe pia unazuia yai lililorutubishwa kujishikiza kwenye kizazi..hasa submucosal fibroids

3.Pia husuia mfuko wa kizazi kukaza kusukuma mbegu kwenda kwenye mishipa ya kupitisha mayai.

MATIBABU
1.Wanawake wengi wanafibroids ndogo ndogo lakini kwa sababu hazina dalili hawawezi kwenda hospitali na hawa ndo siku wakibeba ujauzito uvimbe unaongexeka coz ya vichocheo kuongezeka hvyo hawa watu tunawabaini tunapofanya ultrasoudi ndipo wanakutwa navyo.lkn kitaamu hospitali hawatibu uvimbe wa namna hii

2.Uvimbe ambao ni mkubwa wenyewe hutibiwa kwa namna zifuatazo (hospital) A.Dawa ambazo ni gharama sana mfano donazol wengi masikini hawawezi kumudu kununua

B.Vidonge vya maumivu

C.Vidonge vya kuzuia damu kama tranexamic acid na dawa za uzazi wa mpango (COCs)

2.Njia ya pili ni operation nazo zipo operation aina nyingi inategemea na uvimbe ukubwa na wingi wake.

1.Myomectomy hii ni operation ya kuondoa uvimbe mmoja mmoja bila kuondoa kizazi kwa wale wenye uvimbe mmoja uko sehemu nzuri

2.Total abdominal hysterectomy. Hii operation unaondoa kizazi chote kama uvimbe umekaa vibaya na viko vingi. Swali la kujiuliza kwa nini mpaka upate dalili ndo utaanza kushughulikiwa kutibiwa? Kwa nini ubebe ujauzito huku una uvimbe kisa bado mdogo? Kumbuka uvimbe huu sio kansa hvyo ondoa hofu. Mbali na donazole ambayo ni ya gharama na haishauliwi itumiwe kwa mda mrefu ina sababisha mwanamke anakua na sifa za kiume.

UKIFANYIWA OPERATION USIDHANI UVIMBE UMEISHA UNAOTA PEMBENI HADI UTAKAPOWEKA VICHOCHEO SAWA. Sasa suluhisho lako lipo tuna dawa ambao imetengenezwa kitalamu katika mfumo wa vidonge na vimetengenezwa kwa mimea baada ya utafiti na majaribio ya kutosha na viwanda vya madawa vikubwa hapa duniani. Utapata suluhisho lako bila madhara kwani ni 100% naturally mimea ambayo imefanyiwa research. Hii dawa inapunguza uvimbe wa fibroid bila madhara kama donazol. Kama una ndugu au rafiki mwambie suluhisho lipo na mshilikishe kuokoa afya yake.

1.GINSERNOSIDE -Hii dawa inajulikana kama mfalme wa kusambaza uvimbe wowote na kuzuia kansa kusambaa na kuendelea kushambulia mwili. Pia ina boost kinga ya mwili kwa watu wenye kinga iliyoshuka kutokana na kansa na magonjwa mengine. Dawa hii inasambaza uvimbe kwa kupunguza kiasi cha damu kinachokimbia kuelekea uvimbe hivyo uvimbe hautaendelea kukua hata kidogo. 2. Aloe softgel Utafiti unaonesha kuwa aloe ndio mmea mashuhuri kusawazisha kiasi cha uchovyaji wa vichocheo mwilini yani hormoni. Hivyo utafiti pia unasema watu wengi wenye vichocheo vingi vya ESTROGEN wako hatarini kupata UVIMBE MBALIMBALI MWILINI uvimbe huu huitwa ESTROGEN DEPENDANT TUMORS. Hii ni kwamba uvimbe huu unakua kwa kasi panapokua na kiasi kingi cha estrogen. Watu hawa pia wako hatarini kupata kupata KANSA MBALI MBALI ZA KIKE kama KANSA YA MATITI, KANSA YA SHINGO YA KIZAZI NA ZINGINEZO.

Sasa suluhisho lipo litakalo hakikisha huna tatizo lolote uzeeni na kupata matatizo haya ukubwani. Pia aloe inaondoa FREE RADICALS AU HEAVY METALS ambazo ni vibadilisha mfumo wa utendaji kazi mwilini. Pia inasafisha mfumo wa chakula mwilini. ALOE NDIO KILA KITU KWA WANAWAKE AMBAE YUKO TAYARI KUJIKINGA NA KANSA AINA ZOTE,UVIMBE NA MAGONJWA SUGU. 3. FUR SEAL OIL Haya ni mafuta mazuri aka GOOD CHOLESTERAL OMEGA THREE. Utafiti unaonesha kuwa watu wengi wenye mafuta mengi MABAYA yani BAD CHOLESTERAL wako hatarini kupata UVIMBE NA KANSA MBALIMBALI. Pia mafuta mabaya ndio kisababishi kikubwa cha KICHOCHEO CHA INSULIN KUPATA KIZUIZI KATIKA UTENDAJI KAZI(INSULIN RESISTANCE) Ndicho kisababishi pia cha KISUKARI UKUBWANI.

Ewe mwanamke aina hii ya fur seal oil iko concentrated na ina uwezo mkubwa wa kuondoa mafuta mabaya mwilini. USICHELEWE KWANI AFYA NDIO PEKEE ITAKUFANYA UFURAHIE PESA UNAYO ITAFUTA LEO HII. nichek kwa no 0753606603 whtssp

 
POLENI SANA MAMA ZETU!
Hebu naomba leo tuzungumzie kidogo hili tatizo la FIBROIDS (vimbe kwenye kizazi )

==>> HIVI UNAFAHAMU KWA WASTANI KUWA KATIKA KILA WANAWAKE WATATU (3), MMOJA (1) KATI YAO ANA TATIZO LA UVIMBE KWENYE VIA VYA UZAZI (FIBROIDS).

==>> HIVI UNAFAHAMU KUWA KATIKA KILA WASICHANA KUMI (10) WENYE UMRI WA MIAKA 25, SABA (7) KATI YAO WANA TATIZO LA UVIMBE KWENYE VIA VYA UZAZI (FIBROIDS).
* KUNA TAFITI MBALIMBALI ZILIZOFANYWA NA WATAALAM DUNIANI KUTOKANA NA TATIZO LA FIBROIDS.




==>> UVIMBE KWENYE VIA VYA UZAZI (FIBROIDS) ONGEZEKO LAKE LINATISHA SANA KWA HIVI SASA!

==>> VISABABISHI NI NINI AU CHANZO NI NINI?, DALILI ZAKE, NA SULUHISHO NI LIPI?

This Is Bad News......Siku hizi kumekuwa na ongezeko kubwa sana la tatizo hili ukilinganisha na zamani!
But This Is Good News......Suluhisho Lipo Kwa Ajili Yako Na Wanaokuzunguka.

Soma kwa makini Utaelewa nacho kizungumza.

FIBROID NI NINI?
* FIBROID ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao uvimbe huu unaweza kuwa ndani ya kizazi (Ukuta Wa Kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi.

Kuna aina kuu zifuatazo za FIBROIDS :

1. SUBMUCOSAL FIBROIDS (NDANI YA KIZAZI)
2. INTRAMURAL FIBROIDS (NDANI YA NYAMA ZA KIZAZI)
3. SUBSEROSAL (NJE YA KIZAZI)

Watu wafuatao wako katika hatari ya kupata ugonjwa huu wa fibroids :-
1. Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa.
2. Miaka kuanzia kubalehe mpaka hedhi kukoma.
3. Kurithi
4. Unene
5. Kuingia hedhi mapema.

Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida tu ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha Estrogen Hormone ndio maana kuanzia umri wa kubalehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini.

Na mara nyingi uvimbe huu huwa unaongezeka kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto.

Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati FIBROIDS au kitaalam leomyoma.

DALILI ZA FIBROIDS :-
1. Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi.
2. Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya au ambao hauna harufu lakini mwingi na mweupe.
3. Maumivi ya kiuno hasa wakati wa hedthi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe, wengi hupata maumivu makali sana.
4.Tumbo kuuma sana chini ya kitovu.
5. Hedhi zisizokuwa na mpangilio.
6. Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
7. Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
8. Maumivu makali wakati wa hedhi.

==>> Uvimbe huu unapokua mkubwa unaweza kusababisha dalili zifuatazo :-
1. Kukojoa Mara Kwa Mara Kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo.
2. Mkojo kubaki kwenye kibofu cha mkojo
3. Haja Kuwa Ngumu.
4. Miguu Kuvimba.
5. Kupungukiwa Damu kwasababu fibroid hunyonya damu nyingi.

==>> Jinsi FIBROIDS zinavyoweza kuzuia kupata mtoto :-
1. Fibriods zikikua sana zinakandamiza mishipa ya kupitisha mayai kutoka kwenye kiwanda mayai yanakozalishwa yaani Ovari.
2. Uvimbe huu pia unazuia yai lililorutubishwa kujishikiza kwenye kizazi, hasa submucosal fibroids.
3. Pia huzuia mfuko wa kizazi kukaza kusukuma mbegu kwenda kwenye mishipa ya kupitisha mayai.

==>> Swali La Msingi La Kujiuliza?!
♢ Ufanye nini kuzuia au kuepukana na tatizo hili mapema kabla madhara hayajatokea?
♢ Au utasubiri mpaka uanze kuona dalili ndio uanze kushughulikiwa tatizo hili?

[HASHTAG]#Ushauri[/HASHTAG] : Usisubiri mpaka tatizo hili likufike ndio uchukue hatua za makusudi za namna ya kulishughulikia kutatua tatizo, Hujachelewa anza sasa!

☆ Suluhisho Lipo Kwa Ajili Yako Na Wanaokuzunguka.
● Kumbuka "Kinga Ni Bora Kuliko Tiba"
● Afya Yako, Kipaumbele Chako.
● Amua Kuamua Sasa, Tafakari Chukua Hatua!

♧ Amka Sasa Kwa Kutumia VIRUTUBISHO LISHE VYA ASILI Kuboresha, Kusafisha Na Kulisha Afya Yako Na LISHE........!

Kumbuka Bidhaa Hizi Si Dawa, Ni VIRUTUBISHO LISHE Vya Asili, Na Pia Havina Kemikali Hatarishi. Hivyo Ni Salama Kwa Afya Ya Mtumiaji.

☆ Jipatie kirutubisho chako Leo

Kwa Mawasilian 0714547830
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu. Naomba msaada wa jinsi ya kuovercome hivo viuvimbe meaning kama kuna dawa za kufanya vishrink badala ya kufanya operation. Pia kama kuna njia nyingine ya kuviondoa hivi viuvimbe kwa mwenye ujuzi basi nitashukuru sana kwa huo msaada.

Nitashukuru sana kwa msaada wenu.
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu. Naomba msaada wa jinsi ya kuovercome hivo viuvimbe meaning kama kuna dawa za kufanya vishrink badala ya kufanya operation. Pia kama kuna njia nyingine ya kuviondoa hivi viuvimbe kwa mwenye ujuzi basi nitashukuru sana kwa huo msaada.

Nitashukuru sana kwa msaada wenu.
Kuna watoto wa uncle yangu wote walikuwa na hilo tatizo dr flani pale Hindu Mandar akashauri wapelekwe India wana utaalam wa kuondoa hilo tatizo bila operatition.
Na kweli walipelekwa wamerudi safi na mmoja now ana mtoto wa miaka miwili.
 
Kuna watoto wa uncle yangu wote walikuwa na hilo tatizo dr flani pale Hindu Mandar akashauri wapelekwe India wana utaalam wa kuondoa hilo tatizo bila operatition.
Na kweli walipelekwa wamerudi safi na mmoja now ana mtoto wa miaka miwili.
Hata kama mimi ndio dokta lazima niwalengeshe muende kutibiwa nchini kwangu ili nchi yangu iendelee kufaidika,
hahahah poleni sana,
mmeenda hosp ya kihindi, alafu muhindi akawaelekeza muende nchini mwao India, haha
 
Pole sana ila njia sahihi ya kuondoa uvimbe huo ni operation,

huyu shoga nilimjua 2010 wakati huo uvimbe wake ulikuwa mdogo.

Miaka ikasonga tunazunguka kwa hawa ma dr wa kwendokasi wa tiba mbadara. Kila tukimwona kwenye tv kesho yake tushafika. Huko tutaacha walau laki 3. Huyu dada alikunywa chupa na vidumu vya dawa mpaka basi.

2015 huyo kwa dr mwaka jamani dawa za mwaka ni gari bora ununue kiwanja. Alitumia bila mafanikio. Ingawa anasema zilikuwa zikiupunguza kiasi (cm's) afu baadae unaongezeka.

Kila mtu alimsema afanye operation akakataa eti yeye hajazaa hawezi.

Tumbo lilikuwa kubwa wakaanza kumsema ana mimba.

Mwisho alifanya maamuzi tukaenda hospitali wakafanya operation walitoa uvimbe 1.5kg.

Wakati wote akiwa na uvimbe alisumbuliwa na vichomi na baridi mara kwa mara.

Niseme tu kwa sasa anaendelea vizuri.

Note: wanasema baada ya miaka 3 uvimbe unaweza kurudi au usirudi (wataalamu mtujuze)

my dia wahi hospital huyu dada niliishi nae nilizinguka nae najua maumivu yalivyomsumbua.

Kama na wewe bado unaogopa operation jipe matumaini basi mwone dr msomi " dr mzizi mkavu"
 
Hata kama mimi ndio dokta lazima niwalengeshe muende kutibiwa nchini kwangu ili nchi yangu iendelee kufaidika,
hahahah poleni sana,
mmeenda hosp ya kihindi, alafu muhindi akawaelekeza muende nchini mwao India, haha
Mpaka kufika huko ashahangaika sana muhimbili, AMI ambayo sasa inaitwa SARI, London Clinic lakini option iliyokuwepo ni operation.
 
Tatizo la kuvimba wa tumbo la uzazi au fibroid ni tatizo la receptors za hormone furani kuwa expressed kwenye muscles za mji wa uzazi hivyo zinasababisha kukua haraka pasipo control
Kuna hormonal therapy ambazo mtu hupewa ili lipungue ukubwa tayari kwa operation au kuzuia ukuaji mwingine

Hospitali dawa hizo zipo mpeleke atapatiwa
 
Mie nilipata hilo tatizo mwaka 2011, nilienda hospitali wakashauri nipewe dawa za kurudisha uvimbe nikatumia ndani ya wiki mbili nikarudi tena kwenye ultrasound ikaonekana viuvimbe havipo. Mpaka na leo niko mzima wa afya
 
upload_2017-2-26_15-10-29.jpeg
 
Cha msing wah tu mapema
Hospital kinga n bora kuliko
Tiba
 
Dada yangu alikuwa na tatizo hilo na aligundua mapema uvimbe ukiwa ndio unaanza, alitumia hizo tiba mbadala na uvimbe uliisha sasa ni mwaka wa5 hajaona tatizo tena.
Ahsante sana kwa ushauri wako ndugu yangu na Je ni tiba mbadala gani alizotumia na zinapatikana sehemu gani?

Nitashukuru sana kwa msaada wako Mkuu
 
Tatizo la kuvimba wa tumbo la uzazi au fibroid ni tatizo la receptors za hormone furani kuwa expressed kwenye muscles za mji wa uzazi hivyo zinasababisha kukua haraka pasipo control
Kuna hormonal therapy ambazo mtu hupewa ili lipungue ukubwa tayari kwa operation au kuzuia ukuaji mwingine

Hospitali dawa hizo zipo mpeleke atapatiwa
Ahsante sana kwa ushauri wako Mkuu ila ni hospitali gani ambazo tiba hizo unazozisema zinapatikana?Hospitali kama 3 nlizoenda zote wanasema ni operation tu na hamna njia nyingine.

Nitashukuru sana kwa msaada wako wa kunitajia hizo hospitali ili matibabu yaanze mapema.

Thanks kwa msaada wako
 
Pole sana zipo dawa ambazo zinadaiwa huweza kuzifanya zishrink ila ni za gharama sana lakini inaweza kuchukua miezi kadhaa ya kumeza hizo dawa bila mafanikio yoyote. Ni vizuri tu kufanya operation. Kila la heri na baraka.

Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu. Naomba msaada wa jinsi ya kuovercome hivo viuvimbe meaning kama kuna dawa za kufanya vishrink badala ya kufanya operation. Pia kama kuna njia nyingine ya kuviondoa hivi viuvimbe kwa mwenye ujuzi basi nitashukuru sana kwa huo msaada.

Nitashukuru sana kwa msaada wenu.
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu. Naomba msaada wa jinsi ya kuovercome hivo viuvimbe meaning kama kuna dawa za kufanya vishrink badala ya kufanya operation. Pia kama kuna njia nyingine ya kuviondoa hivi viuvimbe kwa mwenye ujuzi basi nitashukuru sana kwa huo msaada.

Nitashukuru sana kwa msaada wenu.
Dada wahi hosipitali waondoe huo uvimbe.
 
Back
Top Bottom