The Mockingjay
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 380
- 121
Bado haijajulikana nini hasa kinachosababisha fibroids.
Ila wasichana wengi sana wanazo bila kujifahamu.
Fibroid huzidi kukua jinsi msichana anapochelewa kuzaa.
Fibroids hatari yake ni position iliyopo. Kama ipo kwenye nyumba au njia ya uzazi lazima itolewe au la itaharibu au kuzuia mimba. Siku hizi kuna technology ya minimum invasive surgery ambayo itatoa fibroid bila kuharibu kizazi.
Fibroids zingine zinasababisha heavy periods.
Tena daktari mzuri atashauri utumiaji wa contraceptive ili kuzuia kasi ya kukua kwa fibroids.
Fibroids zingine huwa hazina madhara kabisa depending on position na inashauriwa kuziacha kama zilivyo.
All the best my sister. I hope you get the best help and be able to conceive.