Utetezi wa dr. Louis

Utetezi wa dr. Louis

Aise nimecheka mpaka nimeanguka kwenye kiti....Hahahaha🙂🙂🙂 Pale Yono na Polisi kuna vioja vya kufa mtu, ila sishangai, na ndio naelewa kwanini The late Mch. Mtikila kwanini hajashindwa kesi vs dola...
[emoji16][emoji16] pole nyanyuka mkuu
 
Nilikuwa nabishana na jamaa yangu hapa kitu hiki hiki tangu jana kuwa huyu jamaa hakutamka neno Millioni so hana alichokosea bali wale Yono ndio wapumbvu kwa kubali kumuuzia mtu nyuma ya millioni 900 kwa Mia 900 [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
Kila nikimuwaza huyu Mzee, nacheka balaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani hunishindi mimi, leo ofisini kila nikipata muda, najikumbushia youtube ule mnada na yale mapozi yake sasa! Yule akija humu JF namkabidhi kwako!
Hapana [emoji23][emoji23][emoji23] nimemshindwa halafu alivyofika tu anaulizia malipo yanakuaje yanalipwaje[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe hana thumni
 
Wanamuonea tu....
Mchimba shimo kazana mnyewe walahiii [emoji38] wasubiri kesi nyumba kanunua na fidia watamlipa
849e46c398548c6d5f90be18c2a9b35c.jpg
[emoji118] yupo na rafiki yake Bill Gates [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Yaani hunishindi mimi, leo ofisini kila nikipata muda, najikumbushia youtube ule mnada na yale mapozi yake sasa! Yule akija humu JF namkabidhi kwako!
Achana na hilo, hukuona vile vitambaa alivyopepewa navyo! Mama Yono naye alilewa na mawazo ya "ching ching" akasahau kabisa sheria za minada.. hahahahaha, niko hoi kabisa aise, sjiwezi na mbavu zauma...
 
yule jamaa mkali aiseee! ni zaidi ya genius!
 
Back
Top Bottom