hata usipopewa hela yote hiyo hela inayobaki inaitwa balanceacheni majungu hauoni.neno balance ..
does balance mean full payment?
asiwadange watu huyo promota hapo juu, diamond alichelewa alikuwa anaflash vipipi tunamfatilia tangia alivyokuwa yupo sinza madukani zake zipo karibu aendage kuimba siyo kuuza sembe
Sidhani kama hii direct translation ya maneno ya kiswahili to english yameandikwa na Promoter mnaijeria.
hizo ni euro 3250, au??
design kama haifiki millioni 20 anazolipwa Mondi kwa shoo za nje...!!
au aliwapa discount?
Huyu promoter ni wa huko huko germany?Maana hicho kingereza kimekaa kiswahili swahili?
Promoter mnaigeria ,hivi euro 3,000 zidisha mara tsh.2100/- ni kama milion 6.hapa sijaelewa hii ndio hela aliyotakiwa kulipwa ama?
Viol
Harufu nzima ya utetezi imekaa kitapeli. It seems jamaa alivuta mshiko na akawa anataka kumzika Diamond, ilhali mtoto wa Tandale ni mjanja wa mjini. Hii ishu ni copy&Paste ya kilichomkuta promota koko huko Lindi dhidi ya Mr Nice. Jamaa alikuwa anagoma kumpa mshiko Mr. Nice kabla ya shoo ilhali makubaliano ilikuwa kwamba jamaa amlipe Nice kwanza kabla ya shoo. Nice kagoma pkupiga shoo bila malipo, raia wakavunja viti vya ukumbi na kuondoka na vyombo vya muziki.