Utetezi wa kitoto wa promoters wa disaster la Dimaond Ujerumani

Utetezi wa kitoto wa promoters wa disaster la Dimaond Ujerumani

kwanza kasema mr usa guy anafanya kazi ubalozi wa marekani na mr shipping ana kampun ya bandari alafu baadae anadai huku bongo kuna afrikans greed sana, sijui kama hawa wawili ni afrikans au????

show ni euro 3250 mbona haifiki hata 10mil au? izi figa za mil 20 kwa show za nje ni uongo tu kuosha jina au?
 
asiwadange watu huyo promota hapo juu, diamond alichelewa alikuwa anaflash vipipi tunamfatilia tangia alivyokuwa yupo sinza madukani zake zipo karibu aendage kuimba siyo kuuza sembe
 
Sidhani kama hii direct translation ya maneno ya kiswahili to english yameandikwa na Promoter mnaijeria.
 
asante sana mkuu..za mwizi 40.
asiwadange watu huyo promota hapo juu, diamond alichelewa alikuwa anaflash vipipi tunamfatilia tangia alivyokuwa yupo sinza madukani zake zipo karibu aendage kuimba siyo kuuza sembe
 
serio
HUJAMSOMA sawasawa... hiyo Euro 3250 ni balance ambayo alikuwa hajalipwa kwahiyo Diamond akagoma kupanda kwenye stage hadi hapo hiyo balance itakapolipwa!!! Jamaa wakajipiga piga, wakapata Euro 3000, wakampatia... jamaa (Diamond) akasisitiza hadi hiyo Euro 250 nayo ipatikane!! Naona King Kong III anam-dis Diamond kudai Euro 250... King, ina maana ingekuwa wewe hizo Euros 250 ungezipotezea sio??? Kwa hilo la kukomalia hizo Euros 250 dogo kanithibitishia kwamba anajitambua... kuna mafamba wengine wakishasikia Ulaya tu, hata advance hawadai!!

I salute you Diamond... swaga za kupotezea change ni old school... nikienda gengeni hata mia nadai, kama babu wa genge hana change na-compensate na pilipili!
 
Last edited by a moderator:
Somji Juma

hahahahahahahahaaa!!! OMG!!!!!!!!! pole best, khaaa ni diamond tuu huyu huyu mtoto wa tandale ndo anakupa wazimu hivi?? i can bet, ukikubali maneno yenye juzba hivi yakakutoka mara mbili zaidi tena kwa mtu asiyekuhusu, pressure will b your gest soon, poor u, Nimekuprovok mbaya, ni kweli hajafanikiwa kiivoooo, he actually still straggling, but so far not bad anaonesha some move. na ndicho tunacompongezea, sasa wewe povu la nini????? alishawaambia jamani kama anawachefua tembeeni na ndimu, na mimi narudia kama nakuchefua saga chupa, ndimu zina matumizi ya maana.
 
Last edited by a moderator:
Duuh so jamaa hakupanda jukwaani kwa sababu hajamaliziwa euro 250! Mmh mmh.
 
Sidhani kama hii direct translation ya maneno ya kiswahili to english yameandikwa na Promoter mnaijeria.

Nakuunga mkono hiki kidhungu ni cha google translater, wanaijeria kwenye kuandika ni kiboko labda kama hamjawahi kupataga zile email zao utapeli ndio mjuwe walivyo mafundi.
 
hizo ni euro 3250, au??
design kama haifiki millioni 20 anazolipwa Mondi kwa shoo za nje...!!
au aliwapa discount?

Umeambiwa hiyo walisema watammalizia airport ! Walishampa advance na nauli pia, inawezekana dogo anapiga mil 20 kwa show
 
Somji Juma

Hao wapromoter wa UK wana njaa kuliko mjerumani bora hata alivyokataa angelia zaidi
 
Last edited by a moderator:
Huyu promoter ni wa huko huko germany?Maana hicho kingereza kimekaa kiswahili swahili?

Promoter mnaigeria ,hivi euro 3,000 zidisha mara tsh.2100/- ni kama milion 6.hapa sijaelewa hii ndio hela aliyotakiwa kulipwa ama?
 
Promoter mnaigeria ,hivi euro 3,000 zidisha mara tsh.2100/- ni kama milion 6.hapa sijaelewa hii ndio hela aliyotakiwa kulipwa ama?

Huwezi kujibiwa lolote kwani viblog vya bongo vinasubili copy and paste hakuna mwenye uwezo wa kufuatilia ukweli.

Ila kama Diamond analipwa milioni 20 kwa show ballance lazima ingebaki zaidi ya euro hizo.
 
Kiranga
umejuaje dau maana kwa maelezo ni kama kulikuwa na malipo ya kabla na malipo ya kumalizia
 
Last edited by a moderator:
Viol
Harufu nzima ya utetezi imekaa kitapeli. It seems jamaa alivuta mshiko na akawa anataka kumzika Diamond, ilhali mtoto wa Tandale ni mjanja wa mjini. Hii ishu ni copy&Paste ya kilichomkuta promota koko huko Lindi dhidi ya Mr Nice. Jamaa alikuwa anagoma kumpa mshiko Mr. Nice kabla ya shoo ilhali makubaliano ilikuwa kwamba jamaa amlipe Nice kwanza kabla ya shoo. Nice kagoma pkupiga shoo bila malipo, raia wakavunja viti vya ukumbi na kuondoka na vyombo vya muziki.
 
Naikumbuka vema hii kwani nilikuwepo scene of crime..dah ni bonge la varangati.!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom