UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...


kwa wale ambao wanadhani kutokujua umri wa binti ni utetezi ninawashauri wasome kwa makini hiki kifungu ndani ya sheria ya sexual offences act cap 101.....................hakuna utetezi hapo............ujue usijue utajaza mwenyewe...................huo ni uzembe chini ya sheria hii.........
 
sheria zote ikiwemo ya ndoa, ya uendeshaji wa kesi za jinai na nyinginezo zote zinazotofautiana na sexual offnces actcap 101 zilirekebishwa ......................soma huo ufupisho wa hiyo sheria nilioubandika hapa utaona hayo marekebisho

so, who told you kwamba hii ni sexual offence??
Who told you kwamba mazingira ya kifo yanahusiana na mapenzi???
Who told you kwamba Lulu akisema ni minor eti mahakama itamuona marehemu ni mkosaji coz alikua na mahusiano na minor???(under which law)
Case ya Mwamwindi na defence za provocation and insanity unaikumbuka vema??
 
hivi Rama mla watu 14yrs yuko wapi? na Ditopile Mzuzuri naye yuko wapi? Lulu akiri kilichotokea km aliua akubali na kama hakuua aseme kilichompata Kanumba hadi akafa asiseme uongo kuwa alitaka kubakwa kwani si kweli, ajue kabisa damu ya Kanumba itamlilia milele,na kama hajaishia km Rama mla watu ataishia kama Ditopile.
 
Hoja zako ni za kulazimisha kbs. Naona unajipa psychological consolation. Subiri tu, muda si mrefu utaujua Ukweli.

museveni som akifungu cha 153 ......ambacho nimekibandika siyo punde labda utakuwa na busara ya kumeza matapishi yako mwenyewe maana unatuchafulia jamvi na huu *****
 
Hongera Ruta.. kwa maelezo mazuri,lakini nina maswali kadhaa hivi ni lini maiti ikashinda kesi? na ni vipi mwenda alivyouwawa na kinda?kwa maana ya ushahidi inatakiwa " proof beyond dought" kuna mtu yeyote aliyemuona akimuua? na alitumia chombo gani?au alimkaba au kumnyonga?alitumia silaha? rugu panga,ushahidi wa daktari unadai aligongwa kisogoni na kukaukiwa na pumzi huyo kinda ndiye aliyempiga kisogo? alikaa vipi hadi ampigempaka kufa?. Je haiwezekani kuwa ni pombe aliyokuwa amekunywa ndiyo iliyomsababisha kukosa balancehadi kuangukia kisogo? n.k,n.k ,n.k
 


Sijui wewe unasoma sospa ipi lakini SOSPA ninayoijua inatamka hivi....
SOSPA offered a new definition of rape. The Penal Code defined rape simply as “unlawful carnal knowledge of a woman or girl . . . .”[SUP][SUP][1][/SUP][/SUP] SOSPA revises the definition so that it is more precise, if not concise:

A male person commits . . . rape if he has sexual intercourse with a girl or woman under circumstances falling under any of the following descriptions: (a) not, being his wife, or being his wife who is separated from him Without her consenting to it at the time of the sexual intercourse; (b) with her consent where, the consent has been –obtained by the, use of force threats or intimidation or by putting her in fear of death or of hurt while she is in unlawful detention; (c) with her consent when her consent has been [given] at a time when she was of unsound state of intoxication induced by any drugs . . . unless proved that there was prior consent between the two; . . . (e) with or without her consent when she is under eighteen years of age, unless the woman is his wife who is fifteen or more years of age and is not separated from the man.[SUP][SUP][2][/SUP][/SUP]


[1] Penal Code § 130 (1981) (Tanz.).

[2] SOSPA, supra note 38, § 5.
 

nimeona kwa kuwa ufahamu wa sheria ya sexual offences ni finyu mno hadi inakatisha tamaa yaani vile.....lol ndani ya hili jamvi basi nimeona nitoe elimu ya bwerere kidogo hivyo vifungu nilivyoviorodhesha na kuvipaka manukato mekundu ndivyo nguli wenu ambaye sasa ni mwendazake vinamtia kabali na kamwe hataweza kutoka.................na kufa kwake ni kwa kujitakia mwenyewe au kwa lugha ya kitaalamu tunasema ya kuwa it is a case of reckless disregard of thelaws of the land..............

ninakiri kuwaonea huruma na mnapswa niwape pole sana kwa yote yaliyotokea lakni sheria iwe na kwa kapurwa pia kama docile Lulu
 


kama sheria hamzijui si mtuulizie......................kuuliza siyo ujinga wajamani................ila kudhani unafahamu ndiyo uiinga.......
 
Duuh,kazi sana!

haki za watoto ni lazima tuzilinde tusipofanya hivyo hatubna taifa la kesho..................wakubwa tuwe mfano kwa matendo yetu....lol
 
DPP wetu ni bomu hata kama ni wewe au wewe ugali wako unatoka mfukoni kwake....................yawaje alimbadilishia hat ya mauaji Ukiwaona Ditopile Mzuzuri kama siyo mbabaishaji tu....
Jibu maswali uliyoulizwa tafadhali...unao ushahidi wa tofauti na alionao DPP?
 
haitakuwa yeye tu, hata wanaomsaidia kutunga uongo watahusika na damu ya marehemu
 

hii nchi is on perpetual denial about hiv
..........na ndiyo maana hakuna mtu anayetaka kuchunguza afya ya mwendazake.............na wanatafuta majibu mepesi ya kumsulubu mtoto lulu............kwamakosa ambayo hayana uhusiano na kifo cha mwendazake................let us now begin to talk about hiv like South Africa........
 
Rutta,
Bahati mbaya sana mahakama makini haiongozwi na emotions- watu wanaongea vitu ambavyo hutumika kwenye mahakama za vijiweni. Barack Obama ni mpaka pale alipotoa cheti cha kuzaliwa ndio alifuta maneno kuwa hakuzaliwa marekani. Watu kwanini ni wagumu kuelewa jambo jepesi kabisa hili, no wonder nchi hii haiendelei kama watu wanabisha kwenye suala ambalo liko wazi kabis. Maswali machache basi:


  • Je brain concussion hiyo ilisababishwa na nini?
  • Je kanumba alijigonga, aligongeshwa ukutani, sakafuni?
  • Ni sehemu gani ya kichwa chake iligongeshwa
  • Je mwili wake au kichwa chake ulikuwa na jeraha lolote?
  • Je mtu anayepata sudden brain concussion atakuwa ameanguka na kulala au amekaa
  • Je ukutani au sakafuni alipojigonga/kugongeshwa kulikutwa na damu au matone ya damu
  • Je nani anaweza kuthibitisha Lulu kumsukuma SK
  • Katika hali ya uwiano wa nguvu Lulu anaweza kuwa na nguvu ya kugongesha kichwa cha SK hadi kufa
  • Kama Lulu alikuwa amemua SK, je kwanini hakutoroka
  • Kwanini aliamua kurudi baada ya Dr kumpigia simu
  • Majeraha na redness katika mwili wa Lulu yalisababishwa na nini?
  • Kama Lulu alikuwa anakuwa attacked je apart from kumsukuma mbali attacker wake defense yake ingekuwa ipi?
 
haitakuwa yeye tu, hata wanaomsaidia kutunga uongo watahusika na damu ya marehemu

ukimwi ndiyo umemwuuwa marehemu.....................labda sasa itabidi tutoboe na yule daktari wake ajitokeze na kutuelezea kwa undani hayo madawa aliyokuwa anampa alikuwa na kibali cha hospitali ipi..........na matumizi ya vikali huku anameza ARVs kibao za masaa......jamani damu ipi mwaiongelea...........kaangalie filamu ya From Dar to lagos.....................utaona hata ****** yalikuwa kama pasi lakini alipoanza cocktail mara akafumuka kama andazi............let us begin to talk about hiv and ids in this country or we are doomed..........
 
Hapo chacha

ndipo mwendazake anapokutana na dhambi zake na kuwajibika kikamilifu kwa kubaka watoto wa watu na huyu mtoto alimwanza miaka mingi sana anamharibu na sasa hafai kabisa..............lol




jisomee Numbers 32:23 "But if you do not so, then take note, you have sinned against the LORD; and be sure your sin will find you out."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…