afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,150
- 9,255
Swali kwa wote mnaosema Lulu alibakwa ...
1. Je mnauhakika gani Lulu alimwambia Kanumba miaka yake ya ukweli??
2. Je mnaushahidi gani Lulu alilazimishwa kufanya penzi?
3. Lulu alikuwa nyumbani kwa Kanumba ...
Alifuata nini hapo na kama alikuwa anaelewa kabisa umri haumruhusu kuwa nje muda huo?
4. Na je mna evidence gani Lulu na Kanumba walikutana kimwili "sex".. ukiacha mambo ya udaku .. ..