UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...

quote_icon.png
By afrodenzi

swali kwa wote mnaosema lulu alibakwa ...

1. Je mnauhakika gani lulu alimwambia kanumba miaka yake ya ukweli??

2. Je mnaushahidi gani lulu alilazimishwa kufanya penzi?

3. Lulu alikuwa nyumbani kwa kanumba ...
Alifuata nini hapo na kama alikuwa anaelewa kabisa umri haumruhusu kuwa nje muda huo?

4. Na je mna evidence gani lulu na kanumba walikutana kimwili "sex".. Ukiacha mambo ya udaku .. ..

Jisomee dada yangu Afrodenzi ila ukaelimishe na wengineo ya kuwa kumbe yule ngul alikuwa babuseya tu...........

CHAPTER XV

OFFENCES AGAINST MORALITY (ss 129A-162)
[PCh16s129A]129A. Definition of woman

In this Chapter "woman" means any female person and, unless the context requires otherwise or it is otherwise expressly provided, irrespective of age.

[PCh16s130]130. Rape Act No. 4 of 1998 s. 5
(1) It is an offence for a male person to rape a girl or a woman.

(2) A male person commits the offence of rape if he has sexual intercourse with a girl or a woman under circumstances falling under any of the following descriptions:

(a) not being his wife, or being his wife who is separated from him without her consenting to it at the time of the sexual intercourse;
(b) with her consent where the consent has been obtained by the use of force, threats or intimidation by putting her in fear of death or of hurt or while she is in unlawful detention;

(c) with her consent when her consent has been obtained at a time when she was of unsound mind or was in a state of intoxication induced by any drugs, matter or thing, administered to her by the man or by some other person unless proved that there was prior consent between the two;
(d) with her consent when the man knows that he is not her husband, and that her consent is given because she has been made to believe that he is another man to whom, she is, or believes herself to be, lawfully married;
(e) with or without her consent when she is under eighteen years of age, unless the woman is his wife who is fifteen or more years of age and is not separated from the man.

(3) Whoever–

(a) being a person in a position of authority, takes advantage of his official position, and commits rape on a girl or a woman in his official relationship or wrongfully restrains and commits rape on the girl or woman;
(b) being on the management or on the staff of a remand home or other place of custody, established by or under law, or of a women's or children's institution, takes advantage of his position and commits rape on any woman inmate of the remand home, place of custody or institution;
(c) being on the management or staff of a hospital, takes advantage of his position and commits rape on a girl or woman;
(d) being a traditional healer takes advantage of his position and commits rape on a girl or a woman who is his client for healing purposes;
(e) being a religious leader takes advantage of his position and commits rape on a girl or woman.
(4) For the purposes of proving the offence of rape–

(a) penetration however slight is sufficient to constitute the sexual intercourse necessary to the offence; and
(b) evidence of resistance such as physical injuries to the body is not necessary to prove that sexual intercourse took place without consent.

(5) For the purposes of this section spouses shall be deemed lawfully separated even if the separation is arranged by the family or clan members.

hayo maeneo mekundu yanajibu khoja zako zote dada yagu Afrodenzi.................
 
wewe kwa akili yako lulu alifwata nini kwa kanumba usiku wa manane amekufa saa sita kama ulikuwa ujui alifata nini ingekuwa may day ningesema ameenda akashonewe sare lakini kwa ufahamu tu naomba unisaidie kabla sijakusaidia.....je kanumba kama mtu mzima unahisi alikuwa ajui kukaa na mtoto chini ya miaka 18 usiku ni kosa la jinai ???na tena kwa ushauri tu

mama yake mzazi lulu ana haki ya kufungua kesi kumfungulia marehemu kwa kumpotosha na kumdanganya na kuamka usiku wa manane tena amevunja na komeo huku yeye amelala kumbe amekimbilia kwa kanumba....na wakati kesi ikiendelea watanzania tutaenda kuomba mahakama itoe hukumu kali kwa marehemu kama mfano kwa wanaume na wasanii wote wanaozoea kuchezea watoto wa watu chini ya miaka 18..leo ameonekana na kanumba unahisi mangapi yanafanywa na kina rey,steve n,jb nk??alot
mh hakimu pamoja na kwamba atuko na marehemu naomba utoe hukumu kali kwa marehemu kama mfano watakaoendelea kulala na watoto chini ya miaka 18..mama llulu kama unaitaji msaada wa kufungua kesi bure ni pm tafadhali...inaaibisha sana serikali inaijaibisha kushirki mazishi ya mzinzi....

Sikutarajiwa kama mtu wa heshima kama mh mkuu wa majeshi wetu mahundi alietumikia kwa uadilifu hata tbc walishindwa kutonyesha live tunaenda kukimbilia kuonyeshwa misiba ya wazinzi...sidhani imefka wakati sasa tuanze kuendekeza uzinzi kwenye hii nchi....nimeuliza swali leo lulu yuko ndani kanumba amekufa ..je kanumba angekuwa hai lulu angeenda mahakamani .............leo kanumba angekuwa afai..na aibu......hata mjini ........

ukiwa mtu mwovu kwenye jamii basi kila mmoja atakupenda lakini mwenyezi mungu atakuchukia kwa kumdharau na kumkashifu kwa kutofuata amri zake na kutomwogopa.........
 
KIFO CHA KANUMBA KIMETUFUNGUA WENGI YALIYOPO NYUMA YA PAZIA JUU YA WASANII WETU WA KIKE

PENGINE ULIKUWA UKISHANGAA WANAWAKE WASANII WANAVYOANGUKA OVYO MARA WAMEZIMIA UKIWA NAKILI UTAJUA WALIKUWA WAKIZIMIA KWA NINI KANUMBA KAONDOKA AMA AMENDOKA NA HAKI YAO

Tar 10 may mwaka jana gazeti moja liliandika wasanii wa filamu watauana
kwa kutafunana wenyewe.habari hizi zilipelekea baadhi ya wasaanii kuingia
kwenye tv na kukanusha habari hizi pamoja na marehemu wetu steven

pengine ni wachache waliokuwa wakijua steve anatembea na lulu
katika moja ya mikanda ya kanumba ,steve alia act kama baba wa lulu jana nilikuwa naangalia
nakutoa machozi sio sababu ya kifo bali ni kwa kilichokuwa kikimtokea lulu pasipo
watanzania kujua nini kilichopo nyuma ya pazia

tar 4january walihojiwa lulu kwenye tv moja ,akaulizwa ukaribu wake na kanumba ama steave aka
the great akakana kabisa kabisa,,baada ya muda walimuhoji steve kanumba akakana kabisa kabisa
na kusema yeye kama mzazi lengo lake ni kunyanyua vipaji vya watoto kama wakina lulul na si kuwaharibu natumaini star tv bado wanayo habari hii

leo hii sikushangaa sana kwa yaliotokea kwa mwanawetu lulu kukutwa akitembea na steve kkanumba
ni mengi yatakaliwa kimya lakini ukweli unabaki wazazi mnaowatoa watoot wenu kwenye hii fani muwe makini sana sana watu hawa ama wasanii wafilamu wajiitavyo wako radhi kukutunzia mtoto mpaka anakua akishakua kinachofanyika ni mpitiano mmoja baada ya mwingine

nasema hivi kwa machozi yakiniktoka kanumba amekuwa akitembea na lulu si kwamba akujua ametembea na wasanii kadhaa ambao bila aibu na hata kumwogopa mungu walikuwa mstari wa mbele na makoti yao meusi kubeba jeneza la kanumba..sipendi kusema mengi ila wapo watakaojua rey na kanumba waligombana kipindi fulani src ni nini??si huyo tu nasema hivi kuwaasa wazazi narudia

tena tena na tena na ndio maana sikuwa sana na simanzi mpaka nilipowaona wale watoto watatu wadogo walivaa magauni meupe yana picha ya kanumba na kumuuliza mungu hivi lulu nikumbukavyo alikuwa mdogo sana sana kipindi anaanza kuigiza na kanumba alikuwa mfadhili wake sikatai alikuwa msaada nikajiuliza

hawa watoto wadogo ambao wanalia kanumba katutoka je angekuwa mzima wangekuwa umri wa lulul ni nini kingetokea???ni huzuni kubwa kubwa kwa shida za familia ya lulul kuonekana kama src ya wasanii kumpitia mmoja baada ya mwingine

ni dhahiri na si kuficha naomba tuwe wazi wasaanii wa filamu wamekuwa wakitemebeleana wenyewe kwa wenyewe na hii ni hatari kwa kuwa iwapo mmoja taondoka hata kwa bahati mbaya na ngoma ni wazi tutaanza kununua kipande pale kinondoni maalum kwa ajili ya wasanii kuwahifadhi.....

Naomba niweke wazi kuna wengi watauliza iweje leo hii lulu aseme ana miaka 17 wakati alifanya sherehe kubwa akitangaza amefikisha miaka 18 na kanumba akifadhili almost nusu ya garama kama sio nzima..tusipige kelele cheti kimepelekwa na kiko mahakamani wachen sheria iseme ..mkijiuliza sana jiulizeni iweje kanumba alitudanganya waatanzania kama si pamoja na wapenzi wake wa nje ya nchi mbele ya tv kwamba hana uhusiano zaidi ya kumsaidia lulu mdogo wetu leo .....hii lulu ameapa kusema wazi na ukweli na ndio maana serikali wanaona aibu kumficha wakijua watasaidia lakini ukweli utajulikana tu ........

Nafikiri niwa wakati muafaka kumpa nafasi na kuwaapa sapoti waheshimiwa eater bulaya na halima mdee ili wawe wanatupa ukweli nini kinaendelea kinachoeenakana kuna kificho kinataka kufanyika lakini nawapongeza kwa kuingilia kati na kusema ni lazima wafwatilie na kumsaidia huyu mtoto
 
Vipi kuhusu sheria ya ndoa? Anatakiwa kuolewa akiwa na miaka mingapi?

kwa maana ya makosa ya kujamiana ambayo sasa ndiyo sheria mama ya sheria zote ni zaidi ya miaka 15..............soma kifungu 2 (e) hapo chini......

CHAPTER XV

OFFENCES AGAINST MORALITY (ss 129A-162)
[PCh16s129A]129A. Definition of woman

In this Chapter "woman" means any female person and, unless the context requires otherwise or it is otherwise expressly provided, irrespective of age.

[PCh16s130]130. Rape Act No. 4 of 1998 s. 5
(1) It is an offence for a male person to rape a girl or a woman.

(2) A male person commits the offence of rape if he has sexual intercourse with a girl or a woman under circumstances falling under any of the following descriptions:

(a) not being his wife, or being his wife who is separated from him without her consenting to it at the time of the sexual intercourse;
(b) with her consent where the consent has been obtained by the use of force, threats or intimidation by putting her in fear of death or of hurt or while she is in unlawful detention;

(c) with her consent when her consent has been obtained at a time when she was of unsound mind or was in a state of intoxication induced by any drugs, matter or thing, administered to her by the man or by some other person unless proved that there was prior consent between the two;
(d) with her consent when the man knows that he is not her husband, and that her consent is given because she has been made to believe that he is another man to whom, she is, or believes herself to be, lawfully married;
(e) with or without her consent when she is under eighteen years of age, unless the woman is his wife who is fifteen or more years of age and is not separated from the man.
 
Nionanavyo katika hii Kesi
Huyu mtoto aseme nini kilichotokea chumbani itamuweka huru moyoni..Kwani ndani ya chumba walikuwa yeye na marehemu ..akianza kujikanyaga mara niko 17 years ,mara nilibakwa...mara sijui ikaenda ikarudi atachanganyikiwa sasa hivi.
****************************************************************************
 
Hivi wewe muhaya wa wapi kwa kweli?

kwa nini hausubiri kujua nini kilitokea as kesi ikisikilizwa kawaida na baada ya hukumu au mwisho wa kesi ndo tutajua yote....kwa nini hutaki kusubiri?

eti walisema eti kubakwa, hata mie ningekuwa kwenye miguu ya lulu ningetafuta kitu chochote cha kusema ili nijitoe na nisihukumiwe na hyo ni kawaida ya watetezi wanaohukumiwa

umeniboa kweli.
 
ombi kwa ruta na pdiddy: maneno makali mnayotoa kwa kanumba sidhani kama mnamtendea haki marehemu. Kibaya zaidi ni kuwa mnamsema mtu asiyeweza kuja kujitetea. Wengi tunataka haki itendeke ila siyo kwa gharama za mtu mwngine. Ndiyo maana najitahidi sana kusimama katikati ili haki iwepo kwa wote yaani kanumba na lulu. Lulu anaweza kujitetea ila kanumba........ Kuwashambulia mafataki na hata ikibidi kuwaanika wazi, nakubaliana nanyi.
ok mkuu
sign off
bye
 
akubali kamsukua bahati mbaya bila kusudio la kumuua basi mambo yaishe. toto janja sana hili lilisema 18 ili apate wanaume sasa ni 17 atajiju.
 
OMBI KWA RUTA na PDIDDY: Maneno makali mnayotoa kwa Kanumba sidhani kama mnamtendea haki Marehemu. Kibaya zaidi ni kuwa mnamsema mtu asiyeweza kuja kujitetea. Wengi tunataka haki itendeke ila siyo kwa gharama za mtu mwngine. Ndiyo maana najitahidi sana kusimama katikati ili haki iwepo kwa wote yaani KANUMBA na LULU. Lulu anaweza kujitetea ila Kanumba........ Kuwashambulia Mafataki na hata ikibidi kuwaanika wazi, nakubaliana nanyi.

Sikonge unaongea kwa ustaarabu sana..tunachosema ni kuwa DPP ni mzembe mimi binafsi sijui mambo ya mwendazake kama ya umuhimu sana zaidi ya kuwa mtoto lulu anahusishwa na kesi ambayo haipo.............kesi ya kubambikiziwa............sasa ili niweze kulithibitisha hilo yabidi tuelewe michezo michafu ya kunajisi watoto ya huyu kipenzi wenu mwendazake bila ya amani......ni hilo tu........
 
Lol JF is never boaring, awahi zake nyonyo ee ee haha haha. Yeye si alipenda ya kkubwa akiwa mdogo ngoja aendelee kupambana.

ni umasikini tu ndiyo una wafanya watoto wetu kuwa watumwa wa ngono sidhani kama anafurahia unyama aliokuwa akifanyiwa bali ni katika kutafuta mkate.....lakini baba zima hilo hakuna cha msalie.......hapo/......lo you are really a neggirl.........nagging just not nag anymore.......please.........
 
akubali kamsukua bahati mbaya bila kusudio la kumuua basi mambo yaishe. toto janja sana hili lilisema 18 ili apate wanaume sasa ni 17 atajiju.

Mmmmmmhhhhh mzurimie..........alikukwaza mahali kwa kunyanganya bwana...............mbona unamshupalia dogos hivyo?
 
Kaaaazi kwei kwei, na tayari polisi wamesema ana vijeraha mwilini including sehemu za siri, ukicheche wake si gear ya SK kummega na umri ule ila kisheria chuma li moto, na km Lulu angekufa yeye basi SK ndo anepigwa kitanzi maana wangesema kabaka mpaka kaua na sasa wanasema "KABAKA MPAKA KAFA".Lulu watakuwa wanampa coaching ya kutoa maelezo na atapata wakili mzuri sana tutegemee kula nae wine mtaani soon kwa jinsi huyu binti alivyo na tabia za ajabu.
 
ok mkuu
sign off
bye

not so fast pdiddy.................michango yako bado tunaihitaji ndani ya JF where we all dare to think aloud..............that is all.........
 
Hivi wewe muhaya wa wapi kwa kweli?

kwa nini hausubiri kujua nini kilitokea as kesi ikisikilizwa kawaida na baada ya hukumu au mwisho wa kesi ndo tutajua yote....kwa nini hutaki kusubiri?

eti walisema eti kubakwa, hata mie ningekuwa kwenye miguu ya lulu ningetafuta kitu chochote cha kusema ili nijitoe na nisihukumiwe na hyo ni kawaida ya watetezi wanaohukumiwa

umeniboa kweli.

kaa mzurimie.........hata mimi nimekuboa..............au mwendazake mlikuwa beneti nini na huyo dogo alikuwa anakutibulia mikakati yako?
 
Kaaaazi kwei kwei, na tayari polisi wamesema ana vijeraha mwilini including sehemu za siri, ukicheche wake si gear ya SK kummega na umri ule ila kisheria chuma li moto, na km Lulu angekufa yeye basi SK ndo anepigwa kitanzi maana wangesema kabaka mpaka kaua na sasa wanasema "KABAKA MPAKA KAFA".Lulu watakuwa wanampa coaching ya kutoa maelezo na atapata wakili mzuri sana tutegemee kula nae wine mtaani soon kwa jinsi huyu binti alivyo na tabia za ajabu.

bado kuna watu wanamtetea mwendazake kuwa alistahili kumdhalilisha binti wa watu kiasi hicho!
 
Nionanavyo katika hii Kesi
Huyu mtoto aseme nini kilichotokea chumbani itamuweka huru moyoni..Kwani ndani ya chumba walikuwa yeye na marehemu ..akianza kujikanyaga mara niko 17 years ,mara nilibakwa...mara sijui ikaenda ikarudi atachanganyikiwa sasa hivi.

ushahidi uliosema unatosha kumtoa kitanzini hahitaji mwingine
****************************** ****************************** ****************
 
KIFO CHA KANUMBA KIMETUFUNGUA WENGI YALIYOPO NYUMA YA PAZIA JUU YA WASANII WETU WA KIKE

PENGINE ULIKUWA UKISHANGAA WANAWAKE WASANII WANAVYOANGUKA OVYO MARA WAMEZIMIA UKIWA NAKILI UTAJUA WALIKUWA WAKIZIMIA KWA NINI KANUMBA KAONDOKA AMA AMENDOKA NA HAKI YAO

Tar 10 may mwaka jana gazeti moja liliandika wasanii wa filamu watauana
kwa kutafunana wenyewe.habari hizi zilipelekea baadhi ya wasaanii kuingia
kwenye tv na kukanusha habari hizi pamoja na marehemu wetu steven

pengine ni wachache waliokuwa wakijua steve anatembea na lulu
katika moja ya mikanda ya kanumba ,steve alia act kama baba wa lulu jana nilikuwa naangalia
nakutoa machozi sio sababu ya kifo bali ni kwa kilichokuwa kikimtokea lulu pasipo
watanzania kujua nini kilichopo nyuma ya pazia

tar 4january walihojiwa lulu kwenye tv moja ,akaulizwa ukaribu wake na kanumba ama steave aka
the great akakana kabisa kabisa,,baada ya muda walimuhoji steve kanumba akakana kabisa kabisa
na kusema yeye kama mzazi lengo lake ni kunyanyua vipaji vya watoto kama wakina lulul na si kuwaharibu natumaini star tv bado wanayo habari hii

leo hii sikushangaa sana kwa yaliotokea kwa mwanawetu lulu kukutwa akitembea na steve kkanumba
ni mengi yatakaliwa kimya lakini ukweli unabaki wazazi mnaowatoa watoot wenu kwenye hii fani muwe makini sana sana watu hawa ama wasanii wafilamu wajiitavyo wako radhi kukutunzia mtoto mpaka anakua akishakua kinachofanyika ni mpitiano mmoja baada ya mwingine

nasema hivi kwa machozi yakiniktoka kanumba amekuwa akitembea na lulu si kwamba akujua ametembea na wasanii kadhaa ambao bila aibu na hata kumwogopa mungu walikuwa mstari wa mbele na makoti yao meusi kubeba jeneza la kanumba..sipendi kusema mengi ila wapo watakaojua rey na kanumba waligombana kipindi fulani src ni nini??si huyo tu nasema hivi kuwaasa wazazi narudia

tena tena na tena na ndio maana sikuwa sana na simanzi mpaka nilipowaona wale watoto watatu wadogo walivaa magauni meupe yana picha ya kanumba na kumuuliza mungu hivi lulu nikumbukavyo alikuwa mdogo sana sana kipindi anaanza kuigiza na kanumba alikuwa mfadhili wake sikatai alikuwa msaada nikajiuliza

hawa watoto wadogo ambao wanalia kanumba katutoka je angekuwa mzima wangekuwa umri wa lulul ni nini kingetokea???ni huzuni kubwa kubwa kwa shida za familia ya lulul kuonekana kama src ya wasanii kumpitia mmoja baada ya mwingine

ni dhahiri na si kuficha naomba tuwe wazi wasaanii wa filamu wamekuwa wakitemebeleana wenyewe kwa wenyewe na hii ni hatari kwa kuwa iwapo mmoja taondoka hata kwa bahati mbaya na ngoma ni wazi tutaanza kununua kipande pale kinondoni maalum kwa ajili ya wasanii kuwahifadhi.....

Naomba niweke wazi kuna wengi watauliza iweje leo hii lulu aseme ana miaka 17 wakati alifanya sherehe kubwa akitangaza amefikisha miaka 18 na kanumba akifadhili almost nusu ya garama kama sio nzima..tusipige kelele cheti kimepelekwa na kiko mahakamani wachen sheria iseme ..mkijiuliza sana jiulizeni iweje kanumba alitudanganya waatanzania kama si pamoja na wapenzi wake wa nje ya nchi mbele ya tv kwamba hana uhusiano zaidi ya kumsaidia lulu mdogo wetu leo .....hii lulu ameapa kusema wazi na ukweli na ndio maana serikali wanaona aibu kumficha wakijua watasaidia lakini ukweli utajulikana tu ........

Nafikiri niwa wakati muafaka kumpa nafasi na kuwaapa sapoti waheshimiwa eater bulaya na halima mdee ili wawe wanatupa ukweli nini kinaendelea kinachoeenakana kuna kificho kinataka kufanyika lakini nawapongeza kwa kuingilia kati na kusema ni lazima wafwatilie na kumsaidia huyu mtoto

watoto hapa bongoland wanateseka sana na ndiyo tuna laana na nchi haina maendeleo......lol
 
Sister wangu, kwa sisi wanaume huhitaji kumbaka mtu ili isemwe umembaka.

Inatosha tu msichana/wanamke aseme ALITAKA kunibaka na tayari una matatizo. Hata kama utajitetea kuwa hukuwa na lengo hilo, ila kwa bahati mbaya (bahati nzuri) utaambiwa kuwa hata kifaa cha kubakia unacho.

Sasa hapa utaokoka tu kama utasema wewe kifaa huna (Semenya wa South Africa) au hakifanyi kazi inayofanana na kubaka (Steve Job - Iphone alishadai hivyo mahakamani ili asiwe baba). Vinginevyo, sisi wanaume ni sawa na mtu anayaonekana kwenye mbunga za wanyama na bunduki ila anajitetea kuwa sikuja kuwinda.
Nionanavyo katika hii Kesi
Huyu mtoto aseme nini kilichotokea chumbani itamuweka huru moyoni..Kwani ndani ya chumba walikuwa yeye na marehemu ..akianza kujikanyaga mara niko 17 years ,mara nilibakwa...mara sijui ikaenda ikarudi atachanganyikiwa sasa hivi.
****************************************************************************
 
sipat picha kama LULU ndo angekua marehemu!!
Kanumba angegeuka babu seya!!

wala asingekamatwa...si nguli bwana yuko juu ya sheria........
 
Sister wangu, kwa sisi wanaume huhitaji kumbaka mtu ili isemwe umembaka.

Inatosha tu msichana/wanamke aseme ALITAKA kunibaka na tayari una matatizo. Hata kama utajitetea kuwa hukuwa na lengo hilo, ila kwa bahati mbaya (bahati nzuri) utaambiwa kuwa hata kifaa cha kubakia unacho.

Sasa hapa utaokoka tu kama utasema wewe kifaa huna (Semenya wa South Africa) au hakifanyi kazi inayofanana na kubaka (Steve Job - Iphone alishadai hivyo mahakamani ili asiwe baba). Vinginevyo, sisi wanaume ni sawa na mtu anayaonekana kwenye mbunga za wanyama na bunduki ila anajitetea kuwa sikuja kuwinda.

Sikonge hapo kwenye nyekundu umenikumbusha simulizi fulani..........
 
Back
Top Bottom