mwendawake kivipi ??hiyo si ndio anachomokea unawezaje kumweka mtoto chini ya miaka 18 kama mwendani wako kwanza wewe ulieandka huna adabu kabisa ...sheria ipi inaruhusu kuweka ndani chini ya miaka 18...labda sheria za nchi zinasemaje
1..mtu akikaa naa mwenzake zaidi ya miaka miwili anahesabika kama mkeewe
kanumba ajafikisha hata mwaka akiwa na lulu
2..kanumba akupata kufunga ndoa na luulu so mahusiano hayo ayajulikani kisheria
3..kanumba atashtakiwa kwa kesi si tu ya kubaka bali ni pamoja na uzinzi kama wale makahaba wanokamatwa pale sinza na kuishia kwenye ma landrover ....
4..nafikiri muda mufaka saasa familia ya kanumba kuingilia kati nakutoa tamko else yanakuja ya ajabu ambayo lulu akipewa funguo la mdomo afungue naamini akuna atakaeamini..sitaki kuingilia sheria wacha tuiache ifwate mkondo wake.......
Mbona kwenye vipindi vya tv alisema 18
Utetezi wa Lulu "KANUMBA ALITAKA KUNIBAKA" hakika nakwambia wewe pamoja na Lulu hukumu yenu itakua hapahapa duniani.
Is that admissible in court?
angela unahisi na wewe utafika mbali???haka kademu mi sikaiti katoto mana kameshakubuhu, haka kademu kana kesi 2 ya 1. Kujihusisha na ngono "uasherati" kakiwa na umri mdogo 2. Kumuua mpenzi wake. Hata mkikafundisha kaseme uongo hukumu yake itakuwa hapahapa duniani na wala hakatafika mbali.
nenda kabake binti chini ya miaka 18 halafu kama hiyo itakuwa utetezi wako...................soma sheria ya makosa ya jinai ya kijinsia sexual offences act khalafu utajua mitego mingi akina mama kula bungeni walivyotufanya mbaya........kama ni chini ya miaka 18 imekula kwa mtuhumiwa wa ubakaji.........zaidi ya hapo itategemea ushahidi wa mazingira kama upo...........
hearsay is not and this is a typical case of hearsay...........
Lulu nadhani anatafuta kuudanganya umma ili ujue yeye ni mtoto ili kisha akihukumiwa apate adhabu zinnazowafaa watoto walio katika mgogoro wa kisheria. kwanini nataka kuamini hivyo
1. hivi karibuni kabla ya kifo cha Kanumba, Lulu alikuwa katika moja ya saloon na akawa anahojiwa na mtangazaji Salama wa EATV aliulizwa umri wake alisema ana miaka 18. Je leo anaposema ana miaka 17 anamaanisha nini, asijidanganye
2. Taarifa zilizoko RITA zinaweza kutumika kumuumbua kuwa ni mwongo na akapata adhabu yake stahiki
3.PIA KUNA MAHALA alishawahi kutoa cheti cha kuzaliwa ndipo akaruhusiwa kuingia night club
ngoja tusubiri labda awe ametumwa na magamba
Naona tumeamua rasmi kuingilia uhuru wa mahakama....sijui sheria inasemaje may be kwakuwa tunatumia avatar kwenye social media ....Anyway muhishimiwa ruta naona leo umejitosa kumtetea lulu....Well ni haki yako pia ila nadhani kilichofanyika jana ni kumuondoa lulu pale oyesterbay na kumpeleka Segerea kwakuzingatia kuwa saa 24 zilishapita.... Usishangae hayo mashitaka yakabadilishwa na kuwa manslaughter. Pia ni vigumu kujua walicho nacho wapelelezi mkononi so far.
Uzuri hata mazungumzo ya Lulu na kanumba kwa siku kadhaa zilizopita hadi siku alokuwa anakwenda kwake tayari wanayo. Hayo yatathibitisha kuwa alikuwa "akijilinda " dhidi ya "ubakaji" ama la. Pia yataonesha chanzo cha ugomvi ninini?? Hata alichozungumza Lulu na mashosti zake baada ya "kujilinda" dhidi ya ubakaji nacho ni sehemu muhimu kwenye hii kesi...Mkuu Allien amekukumbusha pia kuna ripoti ya mkemia inasubiriwa.
Kwa maoni yangu (ingawa si mwanasheria kama wewe) ni mapema mno kuhitimisha jambo hili na kwakuwa hatuna information za kutosha tuupe mda nafasi.
wewe kwa akili yako lulu alifwata nini kwa kanumba usiku wa manane amekufa saa sita kama ulikuwa ujui alifata nini ingekuwa may day ningesema ameenda akashonewe sare lakini kwa ufahamu tu naomba unisaidie kabla sijakusaidia.....je kanumba kama mtu mzima unahisi alikuwa ajui kukaa na mtoto chini ya miaka 18 usiku ni kosa la jinai ???na tena kwa ushauri tuswali kwa wote mnaosema lulu alibakwa ...
1. Je mnauhakika gani lulu alimwambia kanumba miaka yake ya ukweli??
2. Je mnaushahidi gani lulu alilazimishwa kufanya penzi?
3. Lulu alikuwa nyumbani kwa kanumba ...
Alifuata nini hapo na kama alikuwa anaelewa kabisa umri haumruhusu kuwa nje muda huo?
4. Na je mna evidence gani lulu na kanumba walikutana kimwili "sex".. Ukiacha mambo ya udaku .. ..
That's exactly what I thought!
So why is it hard for others to understand when it is not even rocket science?
vipi mpwa tano mwambie aach kuendekeza uzinzinamba 1.................ni majungu kwani hayana kiapo.......................namba mbili...........rita imeanza juzijuzi tu na bado haina uwezo wa kusaili taarifa zote za vizazi vya leo achilia mbali vya wakati wa kuzaliwa kwa mtoto lulu,......tatu................night club yenye kuulizia birth certificate badala ya kukusanya hela haiko bongland...............nne acha kutetea mbakaji........lol
Lol JF is never boaring, awahi zake nyonyo ee ee haha haha. Yeye si alipenda ya kkubwa akiwa mdogo ngoja aendelee kupambana.hicho siyo kiapo kinachokubalika mahakamani...................vyombo vya khabari hata haya tunayoaongelea huwezi kwenda nayo kama kuthibitisha umri wa mtoto huyo ambaye anapaswa kauchiwa aharaka aende kunyonya ziwa la mamaa yake