UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...


Jisomee dada yangu Afrodenzi ila ukaelimishe na wengineo ya kuwa kumbe yule ngul alikuwa babuseya tu...........


hayo maeneo mekundu yanajibu khoja zako zote dada yagu Afrodenzi.................
 

ukiwa mtu mwovu kwenye jamii basi kila mmoja atakupenda lakini mwenyezi mungu atakuchukia kwa kumdharau na kumkashifu kwa kutofuata amri zake na kutomwogopa.........
 
KIFO CHA KANUMBA KIMETUFUNGUA WENGI YALIYOPO NYUMA YA PAZIA JUU YA WASANII WETU WA KIKE

PENGINE ULIKUWA UKISHANGAA WANAWAKE WASANII WANAVYOANGUKA OVYO MARA WAMEZIMIA UKIWA NAKILI UTAJUA WALIKUWA WAKIZIMIA KWA NINI KANUMBA KAONDOKA AMA AMENDOKA NA HAKI YAO

Tar 10 may mwaka jana gazeti moja liliandika wasanii wa filamu watauana
kwa kutafunana wenyewe.habari hizi zilipelekea baadhi ya wasaanii kuingia
kwenye tv na kukanusha habari hizi pamoja na marehemu wetu steven

pengine ni wachache waliokuwa wakijua steve anatembea na lulu
katika moja ya mikanda ya kanumba ,steve alia act kama baba wa lulu jana nilikuwa naangalia
nakutoa machozi sio sababu ya kifo bali ni kwa kilichokuwa kikimtokea lulu pasipo
watanzania kujua nini kilichopo nyuma ya pazia

tar 4january walihojiwa lulu kwenye tv moja ,akaulizwa ukaribu wake na kanumba ama steave aka
the great akakana kabisa kabisa,,baada ya muda walimuhoji steve kanumba akakana kabisa kabisa
na kusema yeye kama mzazi lengo lake ni kunyanyua vipaji vya watoto kama wakina lulul na si kuwaharibu natumaini star tv bado wanayo habari hii

leo hii sikushangaa sana kwa yaliotokea kwa mwanawetu lulu kukutwa akitembea na steve kkanumba
ni mengi yatakaliwa kimya lakini ukweli unabaki wazazi mnaowatoa watoot wenu kwenye hii fani muwe makini sana sana watu hawa ama wasanii wafilamu wajiitavyo wako radhi kukutunzia mtoto mpaka anakua akishakua kinachofanyika ni mpitiano mmoja baada ya mwingine

nasema hivi kwa machozi yakiniktoka kanumba amekuwa akitembea na lulu si kwamba akujua ametembea na wasanii kadhaa ambao bila aibu na hata kumwogopa mungu walikuwa mstari wa mbele na makoti yao meusi kubeba jeneza la kanumba..sipendi kusema mengi ila wapo watakaojua rey na kanumba waligombana kipindi fulani src ni nini??si huyo tu nasema hivi kuwaasa wazazi narudia


tena tena na tena na ndio maana sikuwa sana na simanzi mpaka nilipowaona wale watoto watatu wadogo walivaa magauni meupe yana picha ya kanumba na kumuuliza mungu hivi lulu nikumbukavyo alikuwa mdogo sana sana kipindi anaanza kuigiza na kanumba alikuwa mfadhili wake sikatai alikuwa msaada nikajiuliza

hawa watoto wadogo ambao wanalia kanumba katutoka je angekuwa mzima wangekuwa umri wa lulul ni nini kingetokea???ni huzuni kubwa kubwa kwa shida za familia ya lulul kuonekana kama src ya wasanii kumpitia mmoja baada ya mwingine

ni dhahiri na si kuficha naomba tuwe wazi wasaanii wa filamu wamekuwa wakitemebeleana wenyewe kwa wenyewe na hii ni hatari kwa kuwa iwapo mmoja taondoka hata kwa bahati mbaya na ngoma ni wazi tutaanza kununua kipande pale kinondoni maalum kwa ajili ya wasanii kuwahifadhi.....

Naomba niweke wazi kuna wengi watauliza iweje leo hii lulu aseme ana miaka 17 wakati alifanya sherehe kubwa akitangaza amefikisha miaka 18 na kanumba akifadhili almost nusu ya garama kama sio nzima..tusipige kelele cheti kimepelekwa na kiko mahakamani wachen sheria iseme ..mkijiuliza sana jiulizeni iweje kanumba alitudanganya waatanzania kama si pamoja na wapenzi wake wa nje ya nchi mbele ya tv kwamba hana uhusiano zaidi ya kumsaidia lulu mdogo wetu leo .....hii lulu ameapa kusema wazi na ukweli na ndio maana serikali wanaona aibu kumficha wakijua watasaidia lakini ukweli utajulikana tu ........

Nafikiri niwa wakati muafaka kumpa nafasi na kuwaapa sapoti waheshimiwa eater bulaya na halima mdee ili wawe wanatupa ukweli nini kinaendelea kinachoeenakana kuna kificho kinataka kufanyika lakini nawapongeza kwa kuingilia kati na kusema ni lazima wafwatilie na kumsaidia huyu mtoto
 
Vipi kuhusu sheria ya ndoa? Anatakiwa kuolewa akiwa na miaka mingapi?

kwa maana ya makosa ya kujamiana ambayo sasa ndiyo sheria mama ya sheria zote ni zaidi ya miaka 15..............soma kifungu 2 (e) hapo chini......


 
Nionanavyo katika hii Kesi
Huyu mtoto aseme nini kilichotokea chumbani itamuweka huru moyoni..Kwani ndani ya chumba walikuwa yeye na marehemu ..akianza kujikanyaga mara niko 17 years ,mara nilibakwa...mara sijui ikaenda ikarudi atachanganyikiwa sasa hivi.
****************************************************************************
 
Hivi wewe muhaya wa wapi kwa kweli?

kwa nini hausubiri kujua nini kilitokea as kesi ikisikilizwa kawaida na baada ya hukumu au mwisho wa kesi ndo tutajua yote....kwa nini hutaki kusubiri?

eti walisema eti kubakwa, hata mie ningekuwa kwenye miguu ya lulu ningetafuta kitu chochote cha kusema ili nijitoe na nisihukumiwe na hyo ni kawaida ya watetezi wanaohukumiwa

umeniboa kweli.
 
ok mkuu
sign off
bye
 
akubali kamsukua bahati mbaya bila kusudio la kumuua basi mambo yaishe. toto janja sana hili lilisema 18 ili apate wanaume sasa ni 17 atajiju.
 

Sikonge unaongea kwa ustaarabu sana..tunachosema ni kuwa DPP ni mzembe mimi binafsi sijui mambo ya mwendazake kama ya umuhimu sana zaidi ya kuwa mtoto lulu anahusishwa na kesi ambayo haipo.............kesi ya kubambikiziwa............sasa ili niweze kulithibitisha hilo yabidi tuelewe michezo michafu ya kunajisi watoto ya huyu kipenzi wenu mwendazake bila ya amani......ni hilo tu........
 
Lol JF is never boaring, awahi zake nyonyo ee ee haha haha. Yeye si alipenda ya kkubwa akiwa mdogo ngoja aendelee kupambana.

ni umasikini tu ndiyo una wafanya watoto wetu kuwa watumwa wa ngono sidhani kama anafurahia unyama aliokuwa akifanyiwa bali ni katika kutafuta mkate.....lakini baba zima hilo hakuna cha msalie.......hapo/......lo you are really a neggirl.........nagging just not nag anymore.......please.........
 
akubali kamsukua bahati mbaya bila kusudio la kumuua basi mambo yaishe. toto janja sana hili lilisema 18 ili apate wanaume sasa ni 17 atajiju.

Mmmmmmhhhhh mzurimie..........alikukwaza mahali kwa kunyanganya bwana...............mbona unamshupalia dogos hivyo?
 
Kaaaazi kwei kwei, na tayari polisi wamesema ana vijeraha mwilini including sehemu za siri, ukicheche wake si gear ya SK kummega na umri ule ila kisheria chuma li moto, na km Lulu angekufa yeye basi SK ndo anepigwa kitanzi maana wangesema kabaka mpaka kaua na sasa wanasema "KABAKA MPAKA KAFA".Lulu watakuwa wanampa coaching ya kutoa maelezo na atapata wakili mzuri sana tutegemee kula nae wine mtaani soon kwa jinsi huyu binti alivyo na tabia za ajabu.
 
ok mkuu
sign off
bye

not so fast pdiddy.................michango yako bado tunaihitaji ndani ya JF where we all dare to think aloud..............that is all.........
 

kaa mzurimie.........hata mimi nimekuboa..............au mwendazake mlikuwa beneti nini na huyo dogo alikuwa anakutibulia mikakati yako?
 

bado kuna watu wanamtetea mwendazake kuwa alistahili kumdhalilisha binti wa watu kiasi hicho!
 

ushahidi uliosema unatosha kumtoa kitanzini hahitaji mwingine
****************************** ****************************** ****************
 

watoto hapa bongoland wanateseka sana na ndiyo tuna laana na nchi haina maendeleo......lol
 
Sister wangu, kwa sisi wanaume huhitaji kumbaka mtu ili isemwe umembaka.

Inatosha tu msichana/wanamke aseme ALITAKA kunibaka na tayari una matatizo. Hata kama utajitetea kuwa hukuwa na lengo hilo, ila kwa bahati mbaya (bahati nzuri) utaambiwa kuwa hata kifaa cha kubakia unacho.

Sasa hapa utaokoka tu kama utasema wewe kifaa huna (Semenya wa South Africa) au hakifanyi kazi inayofanana na kubaka (Steve Job - Iphone alishadai hivyo mahakamani ili asiwe baba). Vinginevyo, sisi wanaume ni sawa na mtu anayaonekana kwenye mbunga za wanyama na bunduki ila anajitetea kuwa sikuja kuwinda.
 
sipat picha kama LULU ndo angekua marehemu!!
Kanumba angegeuka babu seya!!

wala asingekamatwa...si nguli bwana yuko juu ya sheria........
 

Sikonge hapo kwenye nyekundu umenikumbusha simulizi fulani..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…