UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...

UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...

sioni hoja ya kisheria ya kuijibu hapa...........zaidi ya kuelezea ufahamu wake wa kihisia

Naona sasa unaanza kukimbia mjadala wako mwenyewe, hoja hii ya kusingizia uchumba kati ya mwendazake na dotnata umeianzisha wewe, au hili si bandiko lako?

Pitia tena hoja zako Allen naona zina migongano mikubwa..............mwanzo ulisema mwendazake mchumba wake alikuwa Donata.............baada ye unamgeuzia Lulu............hivi mwendazake alikuwa ana wa chumba wangapi kwa wakati mmoja?.........ingawaje utetezi wa kubakwa au kukusudiwa kubakwa haupanguliwi na uchumba au hata ndoa na kinda wa chini ya miaka 18........

Ndipo na mimi nikakujibu hapa chini kwa kutoa ufafanuzi wa hoja ya Allien uliyokuwa unajaribu kuipotosha kama si kutoielewa.

Unajichanganya mwenyewe, Allien hajasema kwamba Dotnata alikuwa mchumba wa kanumba(mind you dotnata ni mke wa mtu). Alichosema Allien ni kwamba Dotnata ameshuhudia kwamba hawa watu walikuwa ni wachumba. Dotnata anathibitisha kwamba hawa watu walikuwa katika uhusiano wa kimapenzi kwa miezi sita sasa.

Hata kama una mapenzi makubwa sana kwa lulu, usipotoshe watu mkuu, hakuna mwenye chuki na lulu, tunachotaka sisi ni ukweli ujulikane na lulku atendewe haki.

Na ushahidi wa bandiko la Allien ndo hili hapa, kama hukumuelewa ingekuwa vizuri kuuliza ufafanuzi kulkiko kupotosha.

Dotnata ameshadhihirisha nia njema ya Kanumba kuwa alitaka Kumwoa na alikuwa na taarifa rasmi. Lulu alikubali na alisema tatulia lipotakiwa kufanya hivyo. Wamekuwa marafiki for 6 months na Kanumba hakutaka wawe in Spotlight mpaka atangaze Uchumba. Kuna wanaojua walikuwa wanapika na kupakua.
 
lulu-top.jpg

Elizabeth Michael Kimemeta

Marafiki wa Lulu watathibitisha ya kuwa wao ndiyo waliokuwa wakimpigia simu na kutaka kujua alikuwa wapi na kwa nini amechelewa. Ushahidi huu wa kimazingira utazidi kubomoa hoja ya polisi ya kuwa Lulu alikwenda kwa mwendazake kwa nia ya kumtoa roho.

Hii inaweza kushindwa maana DPP ana uwezo wa kwenda kwenye Kampuni ya simu husika na kuomba mawasiliano yaliyofanyika kipindi kile ili kubaini kama yalitoka kwa hao marafiki zake au kwa Mzinzi mwingine.
 
Sheria haina tafsiri, ndio maana kukawepo mahakama kwaajili ya kazi ya tafsiri.
Sioni kama kuna issue ya kubaka katika sakata la kifo cha Marehemu Kanumba hapa.
Na hiyo uliyotoa hapo ni Definition of terms tu, itakusaidia katika kutafsiri vifungu vya sheria husika Ruta!.

uwe mkweli unapokumbana na ukweli.........kiri ya kuwa sheria zote za makosa ya jinai. na sheria ya ndoa zimerekebishwa na sheria ya sexual offences act..........kwa hoja nyoingi hapa za uchumba au kuolewa au nitakuoa kwa kuzingatia sheria mfu sasa niemzitia kaburini.....................ongeleeni mengine kama yapo..........kuhusu mahakama itafanyaje hayo watajijua............na tafsiri zao lakini na raia tunapaswa kukumbuka mahakama hizo ni sisi tulizoziunda ili zitutumikie na wala siyo vinginevyo.........................kama ni vinginevyo basi hazina manufaa kwa jamii.................kumbuka kila mtumishi wa umma atapimwa na jamii hata akijificha kuwa utendaji wake wa kazi ni kuingilia uhuru wake wa kufanya kazi..........
 
Advocate RUTA

Hebu nisaidie hapa. LULU kaithibitishia dunia anamika 18, ukizingatia yeye ni Celebrity alipata coverage yakutosha kwenye media kuthibitisha hilo, magazeti yapo, clips za youtube zipo zikionyesha sherehe yenyewe na amahijano ya nini anaeleza na kutarajia baada ya kutimiza miaka 18
Ana drive anamiliki na kudrive mkoko inamaa na driving license anayo, je sheria za driving license zinasemaje?
Na hata ulikuwa ukimuuliza binafsi ana sema anamiaka 18.

Hebu nisaidie kisheria ikoje kama unakuja kukamatwa naye eti ni underage
Na katika kesi hii ina effect gani?
 
sasa mkuu,kama SK alikuwa anabaka na huyo aliyempigia simu?.bac naye atafutwe afunguliwe mashtaka.
 
Hii inaweza kushindwa maana DPP ana uwezo wa kwenda kwenye Kampuni ya simu husika na kuomba mawasiliano yaliyofanyika kipindi kile ili kubaini kama yalitoka kwa hao marafiki zake au kwa Mzinzi mwingine.

pole sana..........kampuni za simu zetu hazijafika huko ni nani wa kuwekeza kiasi hicho cha kurekodi kila kinachoongelewa kwenye mitandao............kama ingelikuwa ni sms you would have been dead right but oral communications? Give me a break..................la muhimu ni kuwa kampuni za simu zinachoweza kufanya ni kuthibitisha kama simu zilipigwa lakini hawana rekodi ya kilichosemwa.........mark my words.........hatujapata mwekezaji wakuchezea pesa kiasi hicho cha kunakili mazungumzo ya simu kwa mdomo..........
 
mwita learn to read between the lines...................ninachosema ni utetezi....mark my words........................hayo mengineyo hayaboreshi mjadala nijitie na hata nisipojitia.................haina maana jibu hoja ..........if you can or simply shut up..........

Huwezi kunifundisha ama kunielekeza namna ya kukujibu, ukinijibu kwa dharau nitakujibu kwa dharau, ukinjibu kwa staha nitakujibu kwa staha, hapa ni jino kwa jino.

Reading btn the lines ndiko kumenifikisha hapa nilipo na bado tunasonga. Kama unataka tuendelee kukata issues, we endelea kujibu hoja kama kawaida, ukileta viroja utajibiwa viroja, bila shaka hadi hapo umenisoma btn the lines!!
 
Unamtetea Lulu kama vile ni dada yako. Mimi simfahamu huyu Lulu wala Stephen Kanumba,mara ya kwanza kuwasikia ni baada ya huu mkasa. Lakini how do you know kama huyo Lulu hana historia ya ujeuri? In my experience watu kama hawa[akina Lulu] wanaifahamu sheria,wanafahamu kwamba hawapaswi kufanya makosa kama haya,laini wanadhani sheria haziwahusu. Au labda maisha ya alcoholo na rugs wanayoishi hawa vijana matatizo haya. Utaona katika music video za bongo fleva meza zimepambwa vinywaji vikali,jambo ambalo huwezi kuliona katika music video ya Snoop Dogg.
Polisi wakimkamata mtu kwa mahojiano,halafu baada ya mahojiano wakiamua kumshikilia,baada ya kumshikilia wakiamua kumpeleka mahakamani,ujue there could be trouble for that one.
 
soma kwenye hiyo nyekundu kwa uangalifu mkubwa sana.............hakuna makubaliano yoyote ya kutembea na msichana ambaye ni chini ya miaka 18............

ni wapi palipoandikwa kuwa kuna sheria dhidi ya marehemu aliyetenda kosa??
Vipi kuhusu definition ya mwanamke ktk law of marriage act??
 
sasa mkuu,kama SK alikuwa anabaka na huyo aliyempigia simu?.bac naye atafutwe afunguliwe mashtaka.

kwanza Lulu aachiwe halafu hata huyomwingine kwani tunajua alikuwa ni nani..................tusifanyie kazi zamashaka ya mwendazake..................na kampuni zetu za simu hazina uwekezaji wakunakili yale tunayoongea bali yale muda na namba za simu zilizopigwa........................tu..................take this to any bank and they will lend you cash........if you need.........
 
Naona sasa unaanza kukimbia mjadala wako mwenyewe, hoja hii ya kusingizia uchumba kati ya mwendazake na dotnata umeianzisha wewe, au hili si bandiko lako?

Ndipo na mimi nikakujibu hapa chini kwa kutoa ufafanuzi wa hoja ya Allien uliyokuwa unajaribu kuipotosha kama si kutoielewa.

Na ushahidi wa bandiko la Allien ndo hili hapa, kama hukumuelewa ingekuwa vizuri kuuliza ufafanuzi kulkiko kupotosha.

Dotnata ameshadhihirisha nia njema ya Kanumba kuwa alitaka Kumwoa na alikuwa na taarifa rasmi. Lulu alikubali na alisema tatulia lipotakiwa kufanya hivyo. Wamekuwa marafiki for 6 months na Kanumba hakutaka wawe in Spotlight mpaka atangaze Uchumba. Kuna wanaojua walikuwa wanapika na kupakua.

Mkuu Mwita Maranya achana na Ruta. Ni mbishi Professional na haangalii hoja za msingi. Yeye kwa kuwa ni Mwanasheria he thinks all people can be bulldozed. He is already in my Ignore List.

Anambandika mtu hoja ya Kubaka bila ushahidi wala elents za ushahidi. wangapi wanabaka hata kwa ushahidi lakini sheria haiwatii hatiani kwa sababu ya ushahidi dhaifu?

Pili toka day one Kanumba alipofariki yuko negative naye hata kabla ya thread hii. The guy calls himself a christian kwa kumdhania mtu mabaya. Give us a break.

Hoja pekee ninayoikubali ni kuwa binti abadilishiwe mashtaka yawe ya "Kuua Bila Kukusudia".

I am more than willing kutoa hata TZS 10 Million (You can quote me again TZS 10 Million) ili Ruta asimamie kesi hii. I am pretty sure ataangukia pua kwani hayuko makini zaidi ya hisia na jazba.
 
ni wapi palipoandikwa kuwa kuna sheria dhidi ya marehemu aliyetenda kosa??
Vipi kuhusu definition ya mwanamke ktk law of marriage act??

kwenye makosa ya jinai hakuna marehemu ambaye atachukuliwa hatua..................lakini DPP kumkamata Lulu ni kuwa natamtafutia mwendazake haki.........sasa hiyo haki ina wajibu wake ukiwemo kutovunja sheria nyingine yeye mwenyewe na hivyo kujijengea mazingira ya kudhurika.....................zipo hukumu nyingi ambazo pamoja na ya kuwa hazihusiki na hii sakata watuhumiwa walishinda kutokana na utetezi unaoitwa "provocation and insanity"............ikimaanisha aliyeuliwa alipoteza haki ya kutouawa kutokana na matendo yake mwenyewe hatarishi kwenye maisha yake.........
 
ni wapi palipoandikwa kuwa kuna sheria dhidi ya marehemu aliyetenda kosa??
Vipi kuhusu definition ya mwanamke ktk law of marriage act??

sheria zote ikiwemo ya ndoa, ya uendeshaji wa kesi za jinai na nyinginezo zote zinazotofautiana na sexual offnces actcap 101 zilirekebishwa ......................soma huo ufupisho wa hiyo sheria nilioubandika hapa utaona hayo marekebisho
 
Mkuu Mwita Maranya achana na Ruta. Ni mbishi Professional na haangalii hoja za msingi. Yeye kwa kuwa ni Mwanasheria he thinks all people can be bulldozed. He is already in my Ignore List.

Anambandika mtu hoja ya Kubaka bila ushahidi wala elents za ushahidi. wangapi wanabaka hata kwa ushahidi lakini sheria haiwatii hatiani kwa sababu ya ushahidi dhaifu?

Pili toka day one Kanumba alipofariki yuko negative naye hata kabla ya thread hii. The guy calls himself a christian kwa kumdhania mtu mabaya. Give us a break.

Hoja pekee ninayoikubali ni kuwa binti abadilishiwe mashtaka yawe ya "Kuua Bila Kukusudia".

I am more than willing kutoa hata TZS 10 Million (You can quote me again TZS 10 Million) ili Ruta asimamie kesi hii. I am pretty sure ataangukia pua kwani hayuko makini zaidi ya hisia na jazba.

mtu mzima mwenye umri wa miaka 28 na binti ambaye analindwa na sheria ya sexual offences act................uko na binti ukiwa uchi wa mnyama tena chumbani kwako.........................unakufa eti tukubali umeuawa............na huyo kinda ambaye wewe mwenyewe ulikuwa unamzuia asiendelee kukata mbuga zake......eti sababu wewe ni super star.....tena wa kujisifia wewe mwenyewe...........
 
Mkuu si tu ubishi wa aina fulani, inaonekana jamaa kasomea na kufuzu ubishi. Haoni hoja nyingine yoyote zaidi ya kulazimisha miaka. Ndio Wasomi wetu wa leo.

Let me do something else now. Kishaniboa. Hana hoja.[/COLOR][/SIZE]
Mkuu Allien wewe ulikuwa hujui kuwa law is an art ya kutanzua au kutangua mambo, to look for solutions that's all!!!!!

Unamtetea Lulu kama vile ni dada yako. Mimi simfahamu huyu Lulu wala Stephen Kanumba,mara ya kwanza kuwasikia ni baada ya huu mkasa. Lakini how do you know kama huyo Lulu hana historia ya ujeuri? In my experience watu kama hawa[akina Lulu] wanaifahamu sheria,wanafahamu kwamba hawapaswi kufanya makosa kama haya,laini wanadhani sheria haziwahusu. Au labda maisha ya alcoholo na rugs wanayoishi hawa vijana matatizo haya. Utaona katika music video za bongo fleva meza zimepambwa vinywaji vikali,jambo ambalo huwezi kuliona katika music video ya Snoop Dogg.
Polisi wakimkamata mtu kwa mahojiano,halafu baada ya mahojiano wakiamua kumshikilia,baada ya kumshikilia wakiamua kumpeleka mahakamani,ujue there could be trouble for that one.

ganeshi una mawazo mazuri tatizo ni kuwa hawa akina DPP ndiyo pasua kichwa.......wamefanyia kazi maelezo ya mdomo ya Seth basi wakaiita ni mauaji na kumtia mtoto wa watu ndani....................baada ya hapo wakaanza kukusanya ushahidi ili kubariki njama zao kuwa kweli mwendazake aliuawa.......................kumbe hakuna anayejua kilichomwuua................sina matatizo makubwa na mwendazake bali ofisi ya DPP jinsi inavyofanyakazi hata kumweka mtu yeyote lupango.........leo ni Lulu kesho ni zau yako.....................wanatakiwa wapewe nyenzo za kufaya uchunguzi wa kisayansi na kuvuta subiri hadi pale watakapokuwa na ushahidi wa kutosha wa kufanya maauzi mazito kama haya......

kesi nyingi za mauaji watu wanasota ndani hata miaka kumi na DPP hudai uchunguzi bado haujakamilika.sasa jamanikama uchunguzi haujakamilka mtuhumiwa ulimkamatia wa nini?.....................na hii kesi inatajwa tu mahakamani lakini itakuwa ikiahirishwa mara kwa mara kwa madai uchunguzi bado haujakamilika.................haki ni pande mbili mutuhumu na mtuhumiwa.................sisi kwa vile tunaongozwa na hisia/ emotions tunadhani aliyekufa tu ndiye mwenye haki na anayetuhumiwa hata kama amebambikiziwa kesi basi asurubiwe tu ili kuridhisha mob-justice...................kwa maana ya wengi wape au watajichukulia.......................that may be democracy but has no whiff of justice being done or even being seen done........let alone being perceived being done................
 
Jamani hii hoja ya kutaka kubakwa kwa Lulu inatoka wapi?
Mbona tulisikia kuwa Marehemu alimsikia Lulu akipokea simu na hivyo akahisi anaongea na mwanaume mwingine?
Hiyo inahusiana nini na kutaka kubakwa??:???
  1. Nadhani marehemu alitaka kumuadabisha Lulu.
  2. Lulu akajitetea kwa namna fulani.
  3. On the process marehemu alianguka.
  4. Labda alisukumwa kama ilivyosemwa, au aliteleza na kuanguka.

  • Nasema kuteleza kwa kuwa tumesikia kuwa marehemu alikuwa bafuni anaoga, huenda kwa kuw amelowa maji ni rahisi kuteleza sakafuni (Tiles).

Sasa basi kama kifo kimetokana na kuanguka, issue ya kubaka haipo na issue ya umri haina msingi hapo, maana Criminal liability kwa mtu yeyote ni inaanzia above 10yrs, Labda wakati wa hukumu ya kuua kwa kukusudia ndio umri wa Lulu unaweza kujadiliwa hapo.
Kwasasa umri sio issue kabisa.

Kishoka, nimeipenda anaysis yako. Hawa wanasheria wanasoma notes bila kuangalia kwanza uhalisia pili na ushahidi wa kimazingira. Hapa bado uhalisia wa tukio anao Lulu, taarifa ya madaktari na pia afya ya Kanumba (ambayo Daktari wake anaweza kuielezea). Tuongelee ushahidi wa kimazingira .... Historia ya LULU ana wanaume wengi kwahiyo wote ni wabakaji. At least she has admitted that the misunderstanding was caused by the call she received from another Muzee!!! Baada ya tukio alikwenda Coco Beach na akaitwa na Daktari ambapo alikwenda akidhani Kanumba is back to his normal state .... akarudi ... ni kweli huyo alikuwa anabakwa?? Dotnata amekiri kuwa Kanumba alimpeleka Lulu kwake kumtambulisha kuwa anataka kumwoa.
 
Huwezi kunifundisha ama kunielekeza namna ya kukujibu, ukinijibu kwa dharau nitakujibu kwa dharau, ukinjibu kwa staha nitakujibu kwa staha, hapa ni jino kwa jino.

Reading btn the lines ndiko kumenifikisha hapa nilipo na bado tunasonga. Kama unataka tuendelee kukata issues, we endelea kujibu hoja kama kawaida, ukileta viroja utajibiwa viroja, bila shaka hadi hapo umenisoma btn the lines!!

Mwita haya yanatoka wapi?.....................mbona uko off point hivyo....................keep personal issues at yourself and let us dwell on this sensitive public policy issue of how DPP is dealing with kesi za mauaji...............he seems to abuse his unchecked powers more than often.................
 
Kishoka, nimeipenda anaysis yako. Hawa wanasheria wanasoma notes bila kuangalia kwanza uhalisia pili na ushahidi wa kimazingira. Hapa bado uhalisia wa tukio anao Lulu, taarifa ya madaktari na pia afya ya Kanumba (ambayo Daktari wake anaweza kuielezea). Tuongelee ushahidi wa kimazingira .... Historia ya LULU ana wanaume wengi kwahiyo wote ni wabakaji. At least she has admitted that the misunderstanding was caused by the call she received from another Muzee!!! Baada ya tukio alikwenda Coco Beach na akaitwa na Daktari ambapo alikwenda akidhani Kanumba is back to his normal state .... akarudi ... ni kweli huyo alikuwa anabakwa?? Dotnata amekiri kuwa Kanumba alimpeleka Lulu kwake kumtambulisha kuwa anataka kumwoa.

kwa hiyo sasa mwendazake ana kibali cha kumbaka mtoto wa watu hata kama mazingira unayoyataja ni sahihi....soma sheria ya sexual offences act Cap 101......................itakufungua macho..........hii ngono bila ya kuangalai sheria yaweza kukufikisha pabaya...........
 
Ruta,
Nadhani wengi hawajaelewa mantiki ya unachozungumizia. Unachosema ni namna ambavyo Lulu anaweza kuchomoka endapo atasema vile ulivyojenga ushahidi wako. Siku zote wakili yoyote huamini utetezi wake ndio bora zaidi. Ni kazi ya mahakama kupima utetezi na kutoa hukumu. Kithibitisho official cha umri wa mtu ni cheti halali cha kuzaliwa-haya mambo ya birthday, Tv interviews, sijui nini hayo ni kachumbari tu- mahakama haiwezi kupokea picha za birthday na mahojiano kama kielelezo wakati cheti cha kuzaliwa kipo. Mimi huwa nahesabu mwaka mpya kila napoingia mwaka mpya, bila kujali tarehe na mwezi wangu wa kuzaliwa umefika, mfano kama nimezaliwa 13 September 1986, basi ilipofika 1/1/1987 nilijihesabu nina mwaka mmoja.

Kama mngebahatika kuwasikia baadhi ya polisi wa Oysterbay wanaohusika na kesi hii, au mama mwenye nyumba aliyopanga SK, marafiki wa karibu wa Kanumba, mdogo wake SK na Lulu mwenyewe nadhani mtazamo wenu juu ya hii kesi ungekuwa tofauti kabisa.

Kimsingi SK alikuwa na mahusiano yasiyofaa na Lulu, na siku zote jambo ovu haliwezi kuzaa jambo jema, mbona Polisi wanamfahamu huyo ''mheshimiwa'' aliye pia na mahusiano na Lulu, kwanini hawekwi hadharani?. Mimi mtazamo wangu ni kuwa kwa vyoyote vile Lulu hakuwa na NIA ya kumuua SK na nina uhakika haihitaji mwanasheria mwenye weledi wa Ruta kujenga hii hoja. Lulu hawezi kutoka jela leo atakaa hata miaka mitatu ili ''kumlinda'' na hasira za mashabiki wa SK
 
Back
Top Bottom