Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,987
- 5,566
kuna kitu sijaelewa hapa... anawachoma au anataka mahakama ifunge bakuli lake?Apambane kiume sio anataja wahuni...Tabia ya kutaja watu ya kingese hio shuleni tulikuwa tunawafua wa Naa kama Sabaya.
mmeanza kurudi tena jukwaani! jiulizeni kwa nini hakimu katoka mkoa mwingine! kwa nini PCCB ina yule aliyewekwa hapo mtajuaBwashee tofautisha Kazi maalumu na Ujambazi!
Usipanic.......hii kesi tangu mwanzo ilionyesha Sabaya anachomoka!
Anna asingeweza kumtetea maana alishawahi kumsema hadharani ns tabia yake ya kunyanyasa wananchihii kesi haina tofauti na ya Prof. Mahalu naye wakati alipo shitakiwa alidai alitumwa na aliye kuwa Rais wa awamu ya 3 Mkapa, kweli Mkapa walikuja na kumtetea Mahalau na Mahalu aliachiwa huru.
Sabaya hana makosa kama alikuwa anatekeleza maelekezo ya aliye mteua, naamini kama Magufuli angekuwa hai angemtetea Sabaya bila kigugumizi, lkn pia kama Mama Anna Mgwira ange kuwa hai ange mtetea Sabaya bila kigugumizi.
fyuuuuuuEti Jiwe alinituma!!!😃😃😃😃😃😎😎😎😎
Fyuuuuu
Chadema wana chuki binafsi na huyu bwana mdogo!
Kama kweli wakubwa wameagiza kuna namna ya kutafuta platform ya kujieleza. Siyo hiviDogo akiangalie sana, hao watu anaowataja ni level nyingine, wakiamua kumzima ni sekunde tu
Wewe unaamini wako serious!!!!..waliomburuza mahakamani kwa kesi mbaya ndio wanampenda?
polisi wanaweza kwezesha kufoji kama CCTV photooo ya IGP kwenye ishu ya ng'ombe aaa no ua moooSauti ya chuma unafoji vipi,wakati kuna meterdata?
Utetezi huo una hatari nyingi kwake kuliko faida. Huyo wakili wake sijui aliwaza nini kumuongoza mwenzie namna hiyoHii haiingii akilini na logic hakuna.
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru wakati huo kwa sasa ni mtendaji mkuu Uvccm, kwa hiyo mamlaka ya uteuzi kama alivyoiita ilikuwa haimwamini Mwenyekiti wa KUU wilaya husika, Mwenyekiti wa KUU mkoa husika hadi iazime Mwenyekiti wa KUU wilaya nyingine toka mkoa mwingine? Utetezi wa Kindezi kama huu mnaukubali mnaofanana naye akili.Je, wana CHADEMA Wenzangu hapa Mitandaoni JamiiForums kwa jinsi huyu aliyekuwa Adui yetu Ole Sabaya sasa anavyoupiga mwingi Kiutetezi kwa Kuwataja Hayati Rais Dkt. Magufuli, Makamu wa Rais Dkt. Mpango na Gavana wa BOT tutabadilika na kuanza Kumpenda na Kumpamba Mitandaoni au tutaendelea tu Kumkazia na watajuana wenyewe kwa wenyewe?
Ni ajabu sana.Utetezi huo una hatari nyingi kwake kuliko faida. Huyo wakili wake sijui aliwaza nini kumuongoza mwenzie namna hiyo