Lakini kama ilivyo ada, kila mtu ana uhuru wa kuwa na different opinion al'mradi asivunje sheria
- On the record ni kwamba kuna siku one on one niliwahi kumuambia Auntie Sophia, kuwa hapa JF sio mahali pa mchezo, I am glad kwamba finally amejionea mwenyewe on the real meaning ya smart demokrasia.
- Hakuna sheria yoyote ya nchi au ya JF iliyovunjwa kwa wananchi ku-respond on her childish behavior kwenye hii interview, baada ya kushinda uchaguzi ni wakati wa mshindi kuonyesha muongozo of what atalifanyia taifa, ulikuwa ni wakati wa Sophia ku-extend mkono wake wa upendo kwa Mama Janet ili kuondoa makundi ndani ya chama, ulikuwa ni wakati wa kumtafutia Mama Janet a role katika uongozi wa huko UWT in the spirit of inclusiveness.
- Badala yake, ameonyesha kutojiamini kabisa kwamba hakutegemea kushinda, maneno mengi ya kiburi na dharau yakiwa na maana kwamba yeye anajuana na rais, kwani kina Lowassa na Karamagi hawakuwahi kuwa na hicho kiburi cha kujuana na rais? wako wapi sasa? Hivi kila kiongozi aanze kuongelea elimu yake patakalika kweli? Hivi ni lini Mwalimu aliwahi kujigamba on his elimu? Si viongozi safi wanaojiamini huwa wanajigamba on their accom-plishments to the work of the people sasa huyu Sophia anasema nini hasa?
- I mean sijui ana washauri gani na kama anao, ila mimi ningekua ni yeye ningewafukuza wote mara moja, lakini one thing ni kwamba JF tutaendelea kuchambua viongozi na siasa zetu as they come bila kujali nani ni nani kwa sababu ukiondoa hiyo ambao ndio hasa uti wa mgongo wa hii forums, basi hatutakuwa na sababu tena ya kuwepo hapa.
Kwenye hii interview waziri Sophia amechemsha tena sana, na I will find a time kumuambia mwenyewe one on one, kwamba it was horrible iwapo ana matumaini ya kusonga mbele kisiasa, maana kuna siku rais wa sasa hatakuwa rais tena na kwa mwendo huu wa tabia aliyoionyesha kwenye hii interivew sijui atasimamia wapi, na this has nothing to na aliyemu-interview tatizo ni lake mwenyewe Auntie Sophia.
JF siku zote tutaendelea kua what we are yaani JF kumkoma nyani na where we dare!
Thanxs!