Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,490
- 38,302
Nina rafiki yangu ameanza mchakato wa kuwa badilisha watoto wake majina ambayo yanaonesha kabila..... Anataka yawe majina ya biblia kabisa ili mtu asijue ni kabila gani..... Nilipomuuliza akasema mbeleni anaona giza nene ndio maana ameamua kujihami mapema
Majina ya Ukoo nilishayafutilia mbali,ingawa ukoo wetu (Ngongo) ni vigumu kubaini tunatokea Mkoa gani au kanda ipi.