Hii nchi ndivyo ilivyo,
Enzi za Kikwete,kulikuwa na Hawa watu,
Grey Mgonja Katibu mkuu fedha.
Daniel Yona waziri fedha.
Akaja Pesambili Mlamba waziri fedha(awamu ya tatu).
Kipindi hicho,2000-2015,Shemeji zangu wa moshi walipiga pesa sio mchezo.
Sasa ni zamu ya Kanda ya ziwa kula,la kusikitisha,
Kuna watu wanapewa vyeo,lakini hawana weredi wowote,DPP ni kilaza tu,Mkurugenzi TCRA kilaza,Kabudi Kilaza,Katibu hazina Kilaza pia,
Mwisho wa siku hakuna tija yoyote,hata akijaza wasukuma sekta zote,Kama hawana spirit ya ujasiriamali,jamii yao itabaki maskini tu,Wachaga ni Kama wakikuyu,au wa Ibo wa nijeria,Hawa ni wayahudi weusi,hata ukiwaweka jangwani,wataona fulsa tu,na watengeneza pesa.
Hawashindwi kitu,tembea vituo vya mabasi uone jamii ambayo inasafiri sana kipindi hiki,sio wasukuma,sio wanyakyusa,ni chaga people,uwezi kuwaweka chini Hawa,hata ukiifunga biashara zao,wataibuka Tena tu,