Uteuzi: Amos Maganga ateuliwa Mkurugenzi Wakala wa Nishati Vijijini (REA)

Katika matakataka yanayojifanya ni zaidi ya Magu ni haya yanayotokea Kanda ya ziwa. Hayafuati sheria ofisini mwao kisa eti yanafahamiana na magu au yanatokea Kanda ya washamba.
Kwa nini chuki namna hii? Relax.
 
Uteuzi wake umezingatia sifa, uzoefu na weledi mkubwa alionao.

Mhandisi Amos Maganga kabla ya uteuzi alifanya kazi za Uhandisi na kupata uzoefu wa miaka 20.

Aidha amewahi hudumu kwenye nafasi mbalimbali kwa ufanisi mkubwa akiwa Tanesco

Tunaomba Watanzania Wazalendo tumpatie ushirikiano wa kutosha Mhandisi huyu mbobezi
Ungeweka full cv kabisa
 
Kimei ameingia cha kike kukimbilia Clouds hajui ndio alipoharibu kabisaaaa
 
Katika matakataka yanayojifanya ni zaidi ya Magu ni haya yanayotokea Kanda ya ziwa. Hayafuati sheria ofisini mwao kisa eti yanafahamiana na magu au yanatokea Kanda ya washamba.

Kanda hio ya washamba kuna mikoa ifuatayo: Kagera, Mwanza, Mara, Simiyu, Geita na Shinyanga

Kwa kiduchu, nakukumbusha yafuatayo:
1. Muasisi wa Taifa hili aliyetujengea heshima Afrika na dunia nzima ni mzawa wa unayoiita Kanda ya washamba

2. Muasisi wa JF aliewezesha wewe kichwa maji kuandika upuuzi ni mzawa wa unayoiita Kanda ya washamba
 
Anatokea kanda pendwa !.
Zamani tulijua kuwa ile kanda pekee ya Wa Tigray kuwa Ndio waliosoma hawa wote wasingeonekana.
Mana kuna muda mpaka mkuu Wa Tigray alijigamba kwenye house of common kuwa wao ndio waliosoma na wana uwezo katika biashara jamani.
Saivi inawaumaje kuona Wa Amhara na Wa omoro waliozoeleka kuchunga ng'ombe wanapewa nyadhifa.

Afu ndo wengi wanaoumia mana walijiona kuwa ni wajuaji na wanajua sana.
 
Katika matakataka yanayojifanya ni zaidi ya Magu ni haya yanayotokea Kanda ya ziwa. Hayafuati sheria ofisini mwao kisa eti yanafahamiana na magu au yanatokea Kanda ya washamba.
Wewe utakuwa ni mtigray ama mana nyie eti mliendelea kabla ya mkoloni
 
Kanda hio ya washamba kuna mikoa ifuatayo: Kagera, Mwanza, Mara, Simiyu, Geita na Shinyanga

Kwa kiduchu, nakukumbusha yafuatayo:
1. Muasisi wa Taifa hili aliyetujengea heshima Afrika na dunia nzima ni mzawa wa unayoiita Kanda ya washamba

2. Muasisi wa JF aliewezesha wewe kichwa maji kuandika upuuzi ni mzawa wa unayoiita Kanda ya washamba
Muache hajui kuwa kanda ya Ziwa ndo nchi ya Tanzania ilipo. Yaani tukijitenga wengine watakuwa jamani.
Jeshi na vyombo vyote vya usalama qa nchi ni iyo iyo kanda inayochukiwa na watigray
 
Uteuzi wake umezingatia sifa, uzoefu na weledi mkubwa alionao.

Mhandisi Amos Maganga kabla ya uteuzi alifanya kazi za Uhandisi na kupata uzoefu wa miaka 20.

Aidha amewahi hudumu kwenye nafasi mbalimbali kwa ufanisi mkubwa akiwa Tanesco

Tunaomba Watanzania Wazalendo tumpatie ushirikiano wa kutosha Mhandisi huyu mbobezi
Sifa kubwa ni msukuma, watanzania tuamke tupaze sauti ukabila wa magu unatubomolea umoja wetu aliotuachia mwalimu jkn
 
Katika matakataka yanayojifanya ni zaidi ya Magu ni haya yanayotokea Kanda ya ziwa. Hayafuati sheria ofisini mwao kisa eti yanafahamiana na magu au yanatokea Kanda ya washamba.
Uwe na adabu.
 
Tuombe samahani siyo wote tunafurahia huo u opuuzi
 
Kanda hio ya washamba kuna mikoa ifuatayo: Kagera, Mwanza, Mara, Simiyu, Geita na Shinyanga

Kwa kiduchu, nakukumbusha yafuatayo:
1. Muasisi wa Taifa hili aliyetujengea heshima Afrika na dunia nzima ni mzawa wa unayoiita Kanda ya washamba

2. Muasisi wa JF aliewezesha wewe kichwa maji kuandika upuuzi ni mzawa wa unayoiita Kanda ya washamba

Kweli kabisa sasa ngoja tuone kama wataendelea kuwaita washamba mwenye kanda yao.
 
Back
Top Bottom