Uteuzi: Amos Maganga ateuliwa Mkurugenzi Wakala wa Nishati Vijijini (REA)

Una akili sana wewe🤣🤣🤣🤣
Lile jambo letu vipi lakini?? Mwaka unaisha bila bila???
Lile jambo limekaa poa. Mwaka unaishi vizuri. Nipo natazamia maana kimwana yupo vizuri financial sijaona akinishobokea na hustle zangu.. huenda akawa ni yeye alafu sio mshamba na dunia hii.. 😃😃😃😃
 
Kila la heri Kuhani Noah. Nimefurahi sana😍😍🙏
Cc mrangi ☺☺
 
Uteuzi wake umezingatia sifa, uzoefu na weledi mkubwa alionao.

Mhandisi Amos Maganga kabla ya uteuzi alifanya kazi za Uhandisi na kupata uzoefu wa miaka 20.

Aidha amewahi hudumu kwenye nafasi mbalimbali kwa ufanisi mkubwa akiwa Tanesco

Tunaomba Watanzania Wazalendo tumpatie ushirikiano wa kutosha Mhandisi huyu mbobezi
Wala hatujabisha mkuu
 
Wenye zamu yao
 
Back
Top Bottom