CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wagombea makamu mwenyekiti UWT.Halafu nafasi ya mwenyekiti uvccm taifa wagombea ni wazanzibari tupu!
Kundi la kifo ni hili la nafasi ya mwenyekiti UWT taifa. Patachimbika hapa.
Yes ndio zamu yao awamu hii,Na wagombea makamu mwenyekiti UWT.
Hapa kwa makamu yawezekana ni matakwa ya katiba ya ccm kwamba mwenyekiti atoke bara na makamu atoke visiwani (not sure).Na wagombea makamu mwenyekiti UWT.
Mila na desturi ni alternation, Msimu huu ni Zanzibar, Msimu ujao ni Bara,Sisi Bara tulikuwa na Hery JamesHapa kwa makamu ni matakwa ya katiba ya ccm. Lkn hapo kwa mwenyekiti wa uvccm pana shida
Ok. Asante mkuuMila na desturi ni alternation, Msimu huu ni Zanzibar, Msimu ujao ni Bara,
thank you,Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) imekutana kikao cha kawaida Jumapili 13 Novemba, 2022 chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan, Makao Makuu ya Chama, Dodoma.
Pamoja na mambo mengine, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa imefanya uteuzi wa majina ya wanachama watakaogombea nafasi za uongozi ndani ya CCM na Jumuiya zake katika ngazi ya Mkoa na Taifa kwa mujibu wa katiba ya CCM ya mwaka 1977 Toleo la mwaka 2022 Ibara ya 82(1). Kwa upande wa wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya za CCM ngazi ya Taifa walioteuliwa ni kama ifuatavyo:-
NAFASI: MWENYEKITI UVCCM TAIFA
1. Farid Mohamed HAJI
2. Kassim Haji KASSU
3. Mohamed Ali MOHAMED (KAWAIDA)
4. Abdallah Ibrahim NATEPE
NAFASI: MAKAMU MWENYEKITI UVCCM TAIFA
1. Khadija Khalid ISMAIL
2. Dorice John MGETTA
3. Victoria Charles MWANZIVA
4. Rehema Sombi OMARY
NAFASI: MWENYEKITI UWT TAIFA
1. Gaudentia Mugosi KABAKA
2. Kate Sylvia KAMBA
3. Dkt. Wemael Allen CHAMSHAMA
4. Mariam Mohamed LULIDA
5. Mary Pius CHATANDA
NAFASI: MAKAMU MWENYEKITI UWT TAIFA
1. Latifa Nasser AHMED
2. Thuwaybah Edington KISSASI
3. Hafsa Said KHAMIS
4. Zainab Khamis SHOMARI
NAFASI: MWENYEKITI WAZAZI TAIFA
1. Dkt. CPA. Edmund Bernard MNDOLWA
2. Fadhili Rajabu MAGANYA
3. Bakari Nampenya KALEMBO
4. Said Mohamed MOHAMED (DIMWA)
5. Mwanamanga Juma MWADUGA
6. Ally Maulid OTHMAN
7. Ali Khamis MASUDI
8. Hassan Haji ZAHARA
NAFASI: MAKAMU MWENYEKITI WAZAZI TAIFA
1. Haidar Haji ABDALLA
2. Dkt. Wemael Allen CHAMSHANA
3. Fatma Abeid HAJI
4. Rachel Ntiganyigwa KABUNDA
5. Neema George MTURO
6. Zahoro Salehe MOHAMED
7. Dogo Idd MABROUK
Uchaguzi wa viongozi wa Jumuiya hizo kwa ngazi ya Taifa utafanyika tarehe 24-29 Novemba, 2022. Wagombea wote wanakumbushwa kuheshimu Kanuni za uchaguzi za CCM na misingi ya chama kwa kufanya siasa safi na kuzingatia maadili ya Chama wakati wote.
Aidha Orodha ya majina ya wagombea uongozi Chama na Jumuiya zake ngazi ya Mkoa yatatumwa katika mikoa husika.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa
Itikadi na Uenezi.
13 Novemba, 2022
Mary Chatanda ana ushupa gani zaidi ya kugawa uroda kwa wakubwa na kibaraka? Chatanda ana nini kichwani? Huyu mama ni walewale tu kama akina Sofia Simba Good for nothing!Komredi Mary Chatanda hatakaa asahaulike kwenye viunga vya Ufipa hasa kule Arusha. Namtakia kila la heri huyu mama wa shoka. Aliwashughulisha sana CHADEMA.
Kuna nafasi ni kwaajili ya Zanzibar Unataka wakristu watoke wapi Zanzibar?Nimeangalia 90% ya wagombea ni waislam!! Samia anataka kurudisha ile nchi ya enzi za mwembeyanga?