Uteuzi: Diwani wa Kata ya Mbagala, Michael Makwega ateua wasaidizi watatu kushika nyadhifa kwenye ofisi yake

Uteuzi: Diwani wa Kata ya Mbagala, Michael Makwega ateua wasaidizi watatu kushika nyadhifa kwenye ofisi yake

Ama kweli wahenga walisema, hujafa hujaumbika: Kutoka msemaji mkuu wa mgombea urais wakati wa kampeni, mpaka kwenda kuwa mpigia chapuo issue za diwani wa mbagala 🤔😢😢😪
 
Ama kweli wahenga walisema, hujafa hujaumbika: Kutoka msemaji mkuu wa mgombea urais wakati wa kampeni, mpaka kwenda kuwa mpigia chapuo issue za diwani wa mbagala 🤔😢😢😪
kuna kitu hujaelewa
 
Hii ndio awamu ya sasa nchini Tanzania ambapo kila kiongozi anayo mamlaka ya Uteuzi kwenye eneo lake, kama ambavyo Mh Diwani amefanya.

Bado haijafahamika kama wateule hawa wataapishwa lini ili waanze kulitumikia rasmi Taifa.

Vp hao Wasaidizi nao kawapa kila mtu V8 lake!? Sema mapema nataka kumtonya mapema PM!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Nijuavyo mimi, katibu wa diwani ni afisa mtendaji kata ambae ni mwajiriwa wa serikali,. Nashangaa mamlaka ya diwani kuteua katibu inatoka wapi?
 
Hivi diwani huwa analipwa sh ngapi kwa mwezi labda tuanzie hapo
460,000 (laki nne na sitini mshahara kwa mwezi), posho za vikao pia huwa wanalipwa kiinua mgongo baada ya miaka mitano.

SIHABA!
 
Back
Top Bottom