Kama ni kweli Masasi itang’ara. Wana Masasi wamepigika sana kwa huyu Dogo. Ugomvi kila kona, majungu ndio maisha yao. Jamaa anapigia figisu hadi walimu wa msingi. Eeh Mungu tuletee huyu Kiongozi, amekuwa kiongozi wa kwanza kutoka Mtwara kukumbuka alikotoka. Ana mapenzi ya dhati na ndugu zake.Mgombea ubunge mtarajiwa wa jimbo la Masasi CCM 2025.
Amekuwa victim wa kifo Cha Magufuli, alikuwa msimamizi bwa PHD ya Magufuli UDSM.
mwendazake angekuwa hai angekuwa mbali sana!!!
Ila kakumbukwa Tena baada bya kustaafu,na kuisha kwa muda wa ukatibu Mkuu!!