Uteuzi: Dkt. Leonard Akwilapo ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU)

Kama ni kweli Masasi itang’ara. Wana Masasi wamepigika sana kwa huyu Dogo. Ugomvi kila kona, majungu ndio maisha yao. Jamaa anapigia figisu hadi walimu wa msingi. Eeh Mungu tuletee huyu Kiongozi, amekuwa kiongozi wa kwanza kutoka Mtwara kukumbuka alikotoka. Ana mapenzi ya dhati na ndugu zake.
 
Masasi kiujumla ni pagumu sana kwa kazi ya ubunge.

Watu wanaokubalika hawapati nafasi.Alianza kufanyiwa figusi miaka ya nyuma Eduard Mmavele.

Shida ya Mwambe Geofray anakifanya mjuaji sana!!

Japokuwa kajitahidi sana this time kwenye issue ya miundombinu!!!
 
Tatizo la Mwambe ni kujiganya mjuaji wa kila kitu. Na kufanya ugomvi wa visasi. Sasa Mbunge unaagizaje walimu wahamishwe kisa hawakukuunga mkono kwwnye kura za maoni. Anataka Masasi yote tumpende? Hata Yesu hakupendwa na watu wote. Sembuse yeye. Akija huyo jamaa atafurahisha wengi. Ila Tatizo hajaonesha nia bado.
 
Naamini kama huyu Dr akiamua itakuwa rahisi kwake. Anakubalika sana na pia ni kichwaaaa! Wanafunzi wa kemia UD tunamfahamu vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…