Uteuzi: IGP Mstaafu Balozi Simon Sirro ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa STAMICO

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi huo ni kama ifuatavyo:

(i) Prof. John Wajanga Aron Kondoro ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH). Prof. Kondoro anachukua nafasi ya Prof. Makenya Abraham Honoratus Maboko ambaye amemaliza muda wake;

(ii) Prof. Emanuel Amaniel Mjema ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kwa kipindi cha pili;

(iii) Mhandisi Mwanasha Rajabu Tumbo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC). Mhandisi Tumbo anachukua nafasi ya Prof. Esnat Chaggu ambaye amemaliza muda wake;

(iv) IGP Mstaafu Balozi Simon Nyakoro Sirro ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO). Balozi Sirro anachukua nafasi ya Meja Jenerali Mstaafu Michael Isamuhyo ambaye amemaliza muda wake;

(v) Bi. Rosemary William Silaa ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhimini ya Bohari ya Dawa (MSD) kwa kipindi cha pili.

Snapins.ai_488898503_18275738080258462_2790388261446305181_n_1080.jpg
 
Na Kwa stahili hili hakika Productivity utabaki kua Zero.

Mfano , Bodi ya Shirika la Madini Nchini , hapa inshu sio tu kua Mwenyekiti, ni lazima Mwenyekiti awe na ' Know How ' inayohusu jambo analoenda kulisimamia .

Faida yake Inakua ni ngumu kudanganywa na watumishi wengine ambao watakua na Masilahi yao mengine.

Kuna kipindi Hayati Magufuli alichomekewa Jina na wahuni, akamteua jamaa Mmoja kusimamia Masuala ya Gas na Mafuta , JF ilivyofatilia, ikagundua Jamaa ni UVCCM fulan asiyekua na ufaham wowote ule wa masuala ya mafuta .

Kwa MTU asokua na Maono atasema, Yeye ni Mwenyekiti, watendaji Wana Taaluma.

Na niwaambie, Moja ya Ugonjwa unaolitafuna Taifa hili, ni kuweka watu kwenye nafasi ambazo wanapewa ,ila wanawekwa kama Fadhila.

Unless otherwise, System imemrudisha ili Kudeal na TUNDU LISSU .
 
Hawa wenyeviti wa Bodi wasio na knowledge ya mambo wanayokwenda kuyasimamia kwenye hizi taasisi wanakuwa na lipi la maana kwenye kusimamia hizi taasisi?
Ajabu hii, Watu hawana ujuzi kabisaa.!!
 
Na Kwa stahili hili hakika Productivity utabaki kua Zero.

Mfano , Bodi ya Shirika la Madini Nchini , hapa inshu sio tu kua Mwenyekiti, ni lazima Mwenyekiti awe na ' Know How ' inayohusu jambo analoenda kulisimamia .

Faida yake Inakua ni ngumu kudanganywa na watumishi wengine ambao watakua na Masilahi yao mengine.

Kuna kipindi Hayati Magufuli alichomekewa Jina na wahuni, akamteua jamaa Mmoja kusimamia Masuala ya Gas na Mafuta , JF ilivyofatilia, ikagundua Jamaa ni UVCCM fulan asiyekua na ufaham wowote ule wa masuala ya mafuta .

Kwa MTU asokua na Maono atasema, Yeye ni Mwenyekiti, watendaji Wana Taaluma.

Na niwaambie, Moja ya Ugonjwa unaolitafuna Taifa hili, ni kuweka watu kwenye nafasi ambazo wanapewa ,ila wanawekwa kama Fadhila.

Unless otherwise, System imemrudisha ili Kudeal na TUNDU LISSU .
Uongozi ujue ni taaluma siyo kila mwenye mtaalam wa fani fulani anaweza kuwa mzuri kuongoza taasisi au Bodi. Jifunze pia toka nchi mbaljmabali duniani utaona ni sawa kumpa kiongozi aliye na uzoefu wakuongoza na wala siyo kuangalia taaluma yake tu. Kwenye Bodi kuna wajumbe ambao kati yao ni wataalamu wa sekta husika. Mwenyekiti jukumu lake kubwa ni kuwaongoza hao wajumbe wataalamu wa sekta husika.
 
Ni hatari sana kama wateuliwa wa Nafasi hizo wataendelea kuteulewa Kwa hoja zako.

Zipo nafasi ambazo zinahitaji Si tu ujue kusimamia, Bali ujue unachokisimamia ili uje na mawazo mapya, usimamizi Bora unaoziba Mianya yote ya Upigaji.

Kwahiyo IGP mstaafu ana Uzoefu wankiuongozi ambao unampa Kibali cha kua Kiongozi hata TRC, TRA, ?.
 
Unajua kazi ya Bodi wewe? Bodi kazi yake ni kusimamia Menejimenti ya Taasisi kwa maana nyingine wanasimamia uongozi wa taasisi husika siyo utaalamu wa taasisi.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi huo ni kama ifuatavyo:

(i) Prof. John Wajanga Aron Kondoro ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH). Prof. Kondoro anachukua nafasi ya Prof. Makenya Abraham Honoratus Maboko ambaye amemaliza muda wake;

(ii) Prof. Emanuel Amaniel Mjema ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kwa kipindi cha pili;

(iii) Mhandisi Mwanasha Rajabu Tumbo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC). Mhandisi Tumbo anachukua nafasi ya Prof. Esnat Chaggu ambaye amemaliza muda wake;

(iv) IGP Mstaafu Balozi Simon Nyakoro Sirro ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO). Balozi Sirro anachukua nafasi ya Meja Jenerali Mstaafu Michael Isamuhyo ambaye amemaliza muda wake;

(v) Bi. Rosemary William Silaa ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhimini ya Bohari ya Dawa (MSD) kwa kipindi cha pili.

View attachment 3294421
Kwani Sirro ameshastaafu ubalozi kule Zimbabwe?
 
STAMICO ndio ile iliyoachiwa makombo kule Tulawaka?
 
Nakumbuka aliteuliwaga ubalozi, uliishaje???
 
Unajua kazi ya Bodi wewe? Bodi kazi yake ni kusimamia Menejimenti ya Taasisi kwa maana nyingine wanasimamia uongozi wa taasisi husika siyo utaalamu wa taasisi.
Kwa maana yako, Utendaji wa Taasisi Si Lolote Kwa Bodi ?.
 
Back
Top Bottom