jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 5,344
- 7,118
Sasa mkuu kama Waziri hajui Maswala ya Ulinzi na Usala ataweza kweli kusimamia kama ata vifaa vya kijeshi havijuo uoni hapo ni ujinga, au Kazi yao inakua ni uchawa tu?Unajua kazi ya Bodi wewe? Bodi kazi yake ni kusimamia Menejimenti ya Taasisi kwa maana nyingine wanasimamia uongozi wa taasisi husika siyo utaalamu wa taasisi.