Wa ikulu anakuwa msemaji wa raisi pekee, wakati wa maelezo ni wa serikali. Taarifa ambazo sio za ikulu ndio zitatolewa msemaji wa serikali.Kwa nini msemaji mkuu wa serikali awe tofauti na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu?
Michuzi alikuwepo, Michuzi yupoKuna wale wapiga picha wa enzi hizo kwenye crew ya mheshimiwa nawaona kwa mbali kwa ku_zoom!
Mbona ni rahis. Hivi ni vyeo viwili tofaut na distinct maana mmoja ni 'Goverment spokesperson' na mwingine ni 'State House spokesperson'. Sioni namna yoyote ambayo hivyi vyeo viwili vikifanana wala vikingiliana kimajukumu. Maana mmoja anaripoti kuhusu serikali kwa ujumla wake kwa mantiki ya wizara na taasisi zote za serikali. Na huku kwingine huyu anareport habari zinazomhusu Rais na ikulu yake tumchukulie kama personal press secretary wa Rais na ikulu.
Kwenye coordinated government yeyote ile duniani hivi ni vyeo viwili tofauti kabisa sema kipindi cha mwendazake kwa sababu ya ubabe wake na lack of coordination ya serikali yake ndo maana ilifika kipindi Msigwa na Abasi wakawa wanaingiliana majukumu kila mtu hajui scope au JD ya kazi yake inakomea wapi na hukuna mtu aliyewahi kujitokeza na kulisemea hili maana ilikua ni mwendo wa 'one man show'. Hakuwepo kiumbe yoyote serikalini mwenye uwezo wa kujitoteza na kukosoa mwenendo wa utawala wa JPM. Ni sasa hivi tu ambapo hata wale wafia dini ndipo wameanza kuongea ata huko bungeni
Lakini ndio kapewa cheo kikubwa,kuwa msemaji wa serikali ni zaidi ya kuwa mkurugenzi wa habari ikulu mkuu. Msigwa atakuwepo sana.Msigwa byebye, nadhani hii ndio itakuwa taarifa yako ya mwisho kabisa kuitoa kama Mkurugenzi Wa Mawasiliano Ikulu.
Hawa wote ni Watanzania?? Au kuna Mrundi hapo??Rais Ni Samia Suluhu
Chief Secretary Ni Katanga
Katibu Wa Rais Ni Juma Suleiman
Chief of Protocol Ni Yusuph Mndolwa
DPC Wa Rais Ni Jaffary Haniu
Katika Wasaidizi Binafsi Katika Ofisi Ya Rais Ikulu (OBR) Ambao Jumla Ni 8, Wasaidizi 6 ni Waislamu na Wasaidizi 2 Tu Ndio Wakristo, Ambao Ni Felister Mndeme Maendeleo Ya Jamii na Nehemiah Mandia Sheria
Hapana. State house sio goverment. Sitaki kutoa lugha mbaya au kukukosea heshima mkuu ila ata watoto wa sekondari au primary wanaosoma somo la 'civics' ukienda kuwauliza tofauti ya 'ikulu' na 'serikali' watakupa majibu mujarabu.State house ndio government yenyewe
Naona waislamu wanasogezwa ikulu kuna nini kwani??Amteua Bw. Jaffar M. Haniu kuwa Mkurugenzi wa mawasiliano ya Raisi (Ikulu)
View attachment 1813333
Alikua TBCCMTupeni CV yake. Binafsi ndo namfahamu leo.
Aliwahi kuwa TBC pia nadhani alishawahi kuwa ikulu wakati wa rais Kikwete.Tupeni CV yake. Binafsi ndo namfahamu leo.
Acha ubaguziNaona waislamu wanasogezwa ikulu kuna nini kwani??
Sidhani kama alishawahi kufanya kazi azammediaAlikuaga TBC
Baadaye akaenda azam kama sikosei
HahahahahahahaNilisikiaga upande huo wanashinda madrasa hivyo huwezi pata idadi sawa.
Mama kawatoa wapi hao?
Kuna watu ni wajinga sana mkuu..!mkuu hicho kitu kinanikera mno, saa nyengine thread ikishaingiziwa mamb ya dini nakua nashindwa hata kuendelea kuifutilia kabisa. Wakuu hemu tubadilikeni basi
Sent from my SM-G900I using JamiiForums mobile app
Hapana. State house sio goverment. Sitaki kutoa lugha mbaya au kukukosea heshima mkuu ila ata watoto wa sekondari au primary wanaosoma somo la 'civics' ukienda kuwauliza tofauti ya 'ikulu' na 'serikali' watakupa majibu mujarabu.
Hongera kwake Jafar Haniu
Ikulu dar es salaam tena!, Sio dodoma?!!Amteua Bw. Jaffar M. Haniu kuwa Mkurugenzi wa mawasiliano ya Raisi (Ikulu)
View attachment 1813333
Mwendazake aliiharibu sana hii nchi. Hakuna mgawanyo wa majukumu mpaka imefikia hatua ya watu kuona ikulu na serikali ni kitu kimoja. Siku zote aliisigina Katiba na kudai kuwa muhimili wake umejichimbia chini zaid maana yake yeye ndiye kila kitu. Angeendelea kubaki kwa miaka ya mbele zaidi watu wangeenda kusahau kama bunge na mahakama ni mihimili inayojitegemea.Achana na civics ya sekondari, huko ni nadharia tu, Hapa Tanzania ikulu ndio serikali yenyewe.