Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Sawa!Amteua Bw. Jaffar M. Haniu kuwa Mkurugenzi wa mawasiliano ya Raisi (Ikulu)
View attachment 1813333
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa!Amteua Bw. Jaffar M. Haniu kuwa Mkurugenzi wa mawasiliano ya Raisi (Ikulu)
View attachment 1813333
Shida yake ilikuwa nn?hivi mnaweza kumchukia tu mtu bila sababu?Alikuwa kichefu chefu sana
Mama anafagia fagia na kufyekeleeeeeaaaaa mbaliShida yake ilikuwa nn?hivi mnaweza kumchukia tu mtu bila sababu?
Kuandika teuzi za Rais nayo ni tabu?
Tupunguze chuki
🥺🥺🥺🥺Hapana. State house sio goverment. Sitaki kutoa lugha mbaya au kukukosea heshima mkuu ila ata watoto wa sekondari au primary wanaosoma somo la 'civics' ukienda kuwauliza tofauti ya 'ikulu' na 'serikali' watakupa majibu mujarabu.
MkuuNdo maana hata sielewi uhitaji wa kuwepo kwa msemaji wa serikali na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais!
Rais si ndo mkuu wa serikali? Au?
Serikali ina msemaji wake na Rais ana msemaji wake na kwa wakati huo huo Rais ndo mkuu wa serikali!!
Dizzying.
Inawezekana akawepo msemaji wa rais ana deal na mambo ya Ikulu tu, halafu kukawa na msemaji wa serikali ana deal na mambo ya serikali nzima.Ndo maana hata sielewi uhitaji wa kuwepo kwa msemaji wa serikali na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais!
Rais si ndo mkuu wa serikali? Au?
Serikali ina msemaji wake na Rais ana msemaji wake na kwa wakati huo huo Rais ndo mkuu wa serikali!!
Dizzying.
SHIHATA ILIZAA MAELEZO IKAJIFIA BAADA TU YA KUMZAA MAELEZO!Inawezekana akawepo msemaji wa rais ana deal na mambo ya Ikulu tu, halafu kukawa na msemaji wa serikali ana deal na mambo ya serikali nzima.
Kama kulivyo na msemaji wa White House anadeal na mambo ya White House (yakiwamo mambo yote ya nchi, ndani na nje, kwa sababu yanaweza kuwa ya White House)na wa State Department, ambaye yeye ana deal na mambo ya nje tu.
Sasa hapo utasema msemaji wa White House kuongelea mambo ya nje atakuwa kaingilia kazi ya msemaji wa State Department?
Au Msemaji wa State Department kuongelea mambo ya Nje atakuwa kaingilia mambo ya White House?
Wenyewe wanajua, kwa mfano, mambo ya ubalozi mara nyingi yanakuwa State Department, hata White House ikitoa statement, mara nyingi inakuwa imepitiwa na State Department.
Ikulu ni kama special subset ya serikali kuu, kwa hivyo msemaji wa serikali anasemea serikali nzima, wakati msemaji wa Ikulu kajikita sana kwa rais na Ikulu.
Halafu hapo bado hujagusa Mkurugenzi wa Shirika La Habari Tanzania (SHIHATA). Hili bado lipo?
Lilikuwa hapa Upanga Nkomo St, my old stomping grounds.
Michuzi etalKuna wale wapiga picha wa enzi hizo kwenye crew ya mheshimiwa nawaona kwa mbali kwa ku_zoom!
Bora Msingwa amefutika rasmi kwenye Ikulu yetu
Hivi Msigwa anaweza kuongelea mambo yanayohusu wizara ya Tamisemi bila Ummy kujihisi kitumbua kinaingia mchanga!Wa ikulu anakuwa msemaji wa raisi pekee, wakati wa maelezo ni wa serikali. Taarifa ambazo sio za ikulu ndio zitatolewa msemaji wa serikali.
Inawezekana akawepo msemaji wa rais ana deal na mambo ya Ikulu tu, halafu kukawa na msemaji wa serikali ana deal na mambo ya serikali nzima.
Kama kulivyo na msemaji wa White House anadeal na mambo ya White House (yakiwamo mambo yote ya nchi, ndani na nje, kwa sababu yanaweza kuwa ya White House)na wa State Department, ambaye yeye ana deal na mambo ya nje tu.
Sasa hapo utasema msemaji wa White House kuongelea mambo ya nje atakuwa kaingilia kazi ya msemaji wa State Department?
Au Msemaji wa State Department kuongelea mambo ya Nje atakuwa kaingilia mambo ya White House?
Wenyewe wanajua, kwa mfano, mambo ya ubalozi mara nyingi yanakuwa State Department, hata White House ikitoa statement, mara nyingi inakuwa imepitiwa na State Department.
Ikulu ni kama special subset ya serikali kuu, kwa hivyo msemaji wa serikali anasemea serikali nzima, wakati msemaji wa Ikulu kajikita sana kwa rais na Ikulu.
Halafu hapo bado hujagusa Mkurugenzi wa Shirika La Habari Tanzania (SHIHATA). Hili bado lipo?
Lilikuwa hapa Upanga Nkomo St, my old stomping grounds.
Hubby sasa nimerudi full nondo yaani.Wife vipi, nina muda sijakusoma hapa jukwaani toka dhalimu afariki.
Hubby sasa nimerudi full nondo yaani.
Mkuu ina maana wewe ni mgeni hii nchi... We huoni hapo ni watu wanatengeneza kula...Kwa nini msemaji mkuu wa serikali awe tofauti na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu?
Miaka yote ipo hivyo. Mmoja yupo ikulu na mwingine wizara ya habariKwa nini msemaji mkuu wa serikali awe tofauti na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu?
Sawa.Miaka yote ipo hivyo. Mmoja yupo ikulu na mwingine wizara ya habari