UTEUZI: Jaffar Haniu ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu); amrithi Gerson Msigwa

UTEUZI: Jaffar Haniu ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu); amrithi Gerson Msigwa

Mimi wala sijahoji kwa ubaya.

Nimeuliza tu maana nimeona ni kama hivyo vyeo vinaendana.

Ila ndo hivo tena…we have too many nincompoops here.
Kuendana, hapana! Labda kama siku hizi wamebadilisha utaratibu lakini wakati wa JK kila wizara ilikuwa na msemaji wake, halafu kulikuwa na Msemaji Mkuu wa Serikali (Asah Mwambene).
 
Jana tu nilikuwa nasoma waraka wa Msigwa wa teuzi, nikasema huyu Rais Hassan kaamua kuonesha urais ni taasisi, anaendelea na Msigwa hajataka kaweka mtu wake.

Yale mawazo yangu yakawa kama yamekorofisha mitambo Ikulu huko.
Alivyoteuliwa tu kuwa msemaji wa serikali ilikuwa matter of time aondoke ikulu sidhani mother angeweza kutoa vyeo viwili kwa mtu mmoja ,baada ya vetting na kumpata anayeona anafaa msigwa kaachia cheo ikulu
 
Mambo ya Ikulu tu ndo mambo gani? Na mambo ya serikali nzima ndo mambo gani?

Kuna mambo ya ikulu yasiyo ya serikali na mambo ya serikali yasiyo ya ikulu?

Sioni tofauti yoyote kubwa na ya msingi kati ya hizo nafasi mbili. Ni nafasi ambazo zinaweza kufanywa na mamlaka moja.

Hakuna serikali kubwa kivile kulazimu uwepo wa msemaji wa Ikulu na msemaji wa serikali.

Kuna wakati niliuliza kuhusu uwepo wa 4 star generals kwenye JWTZ.

Baadhi ya watu wakasema kwamba sababu kuu ya kwa nini hatuna zaidi ya 4 star general zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja ni ukubwa wa jeshi.

Ni sababu ambayo niliiona ni ya msingi.

Vivyo hivyo kwenye serikali. Sioni haja ya kuwa na wasemaji wawili wa serikali hiyo hiyo.

Wote hao wanaweza kufanya kazi chini ya idara ya mawasiliano ya serikali ambayo inaweza ikawa na idara kadha wa kadha.
Kenya pia kuna Msemaji wa Serikali na Msemaji wa Rais. Kuna format wanafuatilia hii si Tanzania tu.

Labda wanagawana figisu, akizichukua zote mtu mmoja atapasuka kichwa.
 
Kuna jamaa yangu hua ananiuliza swali kwamba"kwahiyo gerson msigwa amepanda cheo au ameshushwa cheo"basi hua nashindwa nijibu nini plz anaeelewa anisaidie ili nikamuelezee.
Swali zuri. Amepanda cheo kwa kuongoza idara yenye majukumu mengi na mapana zaidi kwani ndiyo inasimamia sekta ya habari.
 
Kwa nini msemaji mkuu wa serikali awe tofauti na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu?

I think juggling the two is simply unsustainable!

Breadth and depth of understanding ya shughuli za Serikali ambayo Msemaji Mkuu wa Serikali anapaswa kuijenga ili kuweza kuzifafanua vyema kwa umma, inaifanya hiyo kazi kuwa ngumu sana kuifanya sanjari na kazi ya mawasiliano ya Rais!
 
Hahahaaa!

You have an intellectual ability of an earthworm.

No one more dumb than your stinking wrinkled ass.

You are too dumb for me to even consign you to my ignore list 🤣🤣
Leo english yako nimeilewa kuanzia mwanzo hadi mwisho, sijuhi leo umerahisisha au Mimi ndio nimeanza kubobea!!
 
Kwa nini msemaji mkuu wa serikali awe tofauti na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu?
Hizi nafasi za hovyo hovyo zinazoingiliana hili kuonesha mtu hajafukuzwa kazi bali kaamishwa kitengo, ndio inasababisha watoto wetu wakose vitabu madarasani kwa kulipa mishahara hewa.
 
Hizi nafasi za hovyo hovyo zinazoingiliana hili kuonesha mtu hajafukuzwa kazi bali kaamishwa kitengo, ndio inasababisha watoto wetu wakose vitabu madarasani kwa kulipa mishahara hewa.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali ni tofauti kabisa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Raisi, Ikulu. Huyu wa Ikulu anahusika na mawasiliano ya Raisi tu, lakini Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali yeye anaisemea Serikali nzima ndani na nje ya nchi. Huyu ni mkubwa kimadaraka!
 
Hizi nafasi za hovyo hovyo zinazoingiliana hili kuonesha mtu hajafukuzwa kazi bali kaamishwa kitengo, ndio inasababisha watoto wetu wakose vitabu madarasani kwa kulipa mishahara hewa.
Afadhali na wewe umeliona hilo: kwamba zinaendana/ ingiliana!
 
Kweli mwendazake alisigina katiba changanya mambo hovyo hovyo....ikulu na serikali akafanya iwe kitu kimoja hasi bunge akalikamata....akawavuruga majaji kuwatisha awe anawaamulia .....vurugu sasa tunarudi haki usawa na demokrasia safi Mama na JK
 
Hivi hapa Magufuli anaingiaje?

Watu mna fixation ya ajabu sana na Rais Magufuli 😁
 
Back
Top Bottom