Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hueleweki!Tenganisha kofia za ikulu na msemaji serikali na KM....nani alivuruga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hueleweki!Tenganisha kofia za ikulu na msemaji serikali na KM....nani alivuruga
Katibu mkuu kiongozi ndiye kiongozi wa watumishi wote wa umma, katibu mkuu ofisi ya Raisi ni cheo kingine na wala sio mkuu wa watumishi wa ummaKatibu Mkuu Ofisi ya Rais ni Kiongozi wa watumishi wote wa umma serikalini (civil servants).
Kutangaza inawezekana hata Rais kutangaza teuzi na tenguzikwa sababu Watanzania hatuna formula.
Hata Muungano wetu ukiuliza umekaaje ni kama kiti kilichowekewa mawe chini kisianguke, hakuna anayeweza kukuelezea vizuri umekaaje.
Hayo ni maneno yenu nyinyi waramba miguu wa jiweVijana mnawivu hata kwa watu msiowajua
Ukikiuliza msigwa alikukosea nini utajibu basi tu yaan
Chuki huumiza kwa aliye ihifadhi
Msemaji mkuu wa serikali na mkurugenzi wa idara ya habari-maelezoAmebaki wapi sasa!!??
Nyambaf mkubwaHayo ni maneno yenu nyinyi waramba miguu wa jiwe
Kuna tofauti Kati ya serikali na Rais wa nchi?Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali ni tofauti kabisa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Raisi, Ikulu. Huyu wa Ikulu anahusika na mawasiliano ya Raisi tu, lakini Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali yeye anaisemea Serikali nzima ndani na nje ya nchi. Huyu ni mkubwa kimadaraka!
Lazima mama awake watu wake anaowaamini, ili siri za serikali kutoka Ikulu zitunzwe vizuri
Alikuwa kichefu chefu sana
Si kwa level ya VP. Vice president akishaapishwa hawezi kutolewa tu kizembeAnaweza akateua leo akatengua leo
Endelea kuota na kujidanganya kuwa kila anayepinga viongozi wazembe ni mpinzani.Acha Lugha hizo wewe PUMBAVU. Humjui hakujui. Hajawahi hata kukutukana. Unawezaje kumwita binadamu mwenzako hivyo. Huyu Haniu kama hujui aliletwa Ikulu na JPM and then akapewa cheo pale Media ya CCM na kumbuka majengo na mitambo mipya ilizinduliwa na JPM na bosi wa pale ndo alikuwa Haniu.
Acha kupambana na marehemu. Tuna Samia Sasa. Uwepo wake ni kwa ajili yetu. Usipende kujiweka relevant katika upumbavu. Grow up na hata kama Bangi inakusumbua Basi itumie kwa kulima. Kufail kwako kimaisha kusitubughudhi sisi hapa JF.
Yes Ni Watu hawajui Kwamba Haniu Alikuwaga Mwandishi Wa Hotuba Wa Hayati, akiwa na Akina Bohoela(Sjui Kama nimeandika sahh Hilo Jina) Haniu akapelekwa AMG na Bohoela akapelekwa Mambo Ya Nje Kama Mkuu Wa Mawasiliano Mambo Ya NjeAcha Lugha hizo wewe PUMBAVU. Humjui hakujui. Hajawahi hata kukutukana. Unawezaje kumwita binadamu mwenzako hivyo. Huyu Haniu kama hujui aliletwa Ikulu na JPM and then akapewa cheo pale Media ya CCM na kumbuka majengo na mitambo mipya ilizinduliwa na JPM na bosi wa pale ndo alikuwa Haniu.
Acha kupambana na marehemu. Tuna Samia Sasa. Uwepo wake ni kwa ajili yetu. Usipende kujiweka relevant katika upumbavu. Grow up na hata kama Bangi inakusumbua Basi itumie kwa kulima. Kufail kwako kimaisha kusitubughudhi sisi hapa JF.
Amteua Bw. Jaffar M. Haniu kuwa Mkurugenzi wa mawasiliano ya Raisi (Ikulu)
barua yake ya mwisho kama msemaji wa ikuluAmteua Bw. Jaffar M. Haniu kuwa Mkurugenzi wa mawasiliano ya Raisi (Ikulu)
View attachment 1813333
Hahaha aisee umechukia Sana...usipate na watu wa aina hiyo...hawajui Mambo mengi ndani ya nchi Hii...Acha Lugha hizo wewe PUMBAVU. Humjui hakujui. Hajawahi hata kukutukana. Unawezaje kumwita binadamu mwenzako hivyo. Huyu Haniu kama hujui aliletwa Ikulu na JPM and then akapewa cheo pale Media ya CCM na kumbuka majengo na mitambo mipya ilizinduliwa na JPM na bosi wa pale ndo alikuwa Haniu.
Acha kupambana na marehemu. Tuna Samia Sasa. Uwepo wake ni kwa ajili yetu. Usipende kujiweka relevant katika upumbavu. Grow up na hata kama Bangi inakusumbua Basi itumie kwa kulima. Kufail kwako kimaisha kusitubughudhi sisi hapa JF.
Aliwahi kuwa mhandishi wa Rais enzi ya JKAlikuwa mkurugenzi Wa Africa media Group (Channel 10,Magic FM na Classic FM)
View attachment 1813354
Miaka yote ipo hivyo. Mmoja yupo ikulu na mwingine wizara ya habari
Rais Ni Samia Suluhu
Chief Secretary Ni Katanga
Katibu Wa Rais Ni Juma Suleiman
Chief of Protocol Ni Yusuph Mndolwa
DPC Wa Rais Ni Jaffary Haniu
Katika Wasaidizi Binafsi Katika Ofisi Ya Rais Ikulu (OBR) Ambao Jumla Ni 8, Wasaidizi 6 ni Waislamu na Wasaidizi 2 Tu Ndio Wakristo, Ambao Ni Felister Mndeme Maendeleo Ya Jamii na Nehemiah Mandia Sheria