fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Msemaji mkuu wa serikali,ni mkubwa kicheo kuliko mkurugenzi wa mawasiliano,ikuluKwa nini msemaji mkuu wa serikali awe tofauti na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msemaji mkuu wa serikali,ni mkubwa kicheo kuliko mkurugenzi wa mawasiliano,ikuluKwa nini msemaji mkuu wa serikali awe tofauti na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu?
Fahamu kuwa Yusuphu sio mwislamuSasa hii itakuwa baraza la ulamaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati huo akiwa TBCAliwahi kuwa mhandishi wa Rais enzi ya JK
Kuwa miaka yote hivyo si hoja.
Je imekuwa ikileta tija kwa Taifa?
Je siyo kuongeza gharama za matumizi ya Umma pasipo tija?
Nadhani akisema Ikulu yetu ana maana Ikulu yetu watanzania.Heee....makubwaaaa...ikulu ya baba yako mbowee au
Mwendazake hatarudi MATAGA mliwekeza kwa propaganda na kumtukuza mtuHueleweki!
Lugha ya Taifa ...................!!Hata ukiandika kisukuma kitasomeka tuuuu
Zile trip za leo Dar, Kesho Zanzibar na keshokutwa Dodoma zimekwisha ..... Maisha ya Msigwa kwa nika 6 yalikuwa ni kulala 5 Star hotel tu!!Kivipi? Yeye ni mkurugenzi Habari maelezo na msemaji mkuu wa serikali.
Bora tu Msigwa katoka hapo ......... alikishusha sana cheo cha Mkurugenzi wa Habari Ikulu kikawa ni MC wa Ikulu....!!Nani kaula hapo kati ya hao wawili? Waswahili husema: Mgaagaa na upwa hali wali mkavu, nadhani aliyekaribu na Rais anaweza akawa ameula ...
Sasa hivi imebaki stori tuuuuLugha ya Taifa ...................!!
Mkuu upo sahihi sana lkn wafuasi wa Jiwe hawawezi kukuelewa.Bora tu Msigwa katoka hapo ......... alikishusha sana cheo cha Mkurugenzi wa Habari Ikulu kikawa ni MC wa Ikulu....!!
Enzi za akina Salva hukuweza kusikia akifanya uMC every second week!!
Hivi Salva yuko wapi? ametoweka kabisa ulimwengu wa habariBora tu Msigwa katoka hapo ......... alikishusha sana cheo cha Mkurugenzi wa Habari Ikulu kikawa ni MC wa Ikulu....!!
Enzi za akina Salva hukuweza kusikia akifanya uMC every second week!!
Mwendazake hatarudi MATAGA mliwekeza kwa propaganda na kumtukuza mtu
Hivi anayehangaika na marehemu Nani. Ni wewe. Mnataka kuwa relevant. JPM ameondoka. We are living the present. We have Mama Samia. Kufikiri kwenu kwamba waliopenda kikwete watamchukia JPM, na waliopenda JPM watamchukia Mama ambaye walichaguana kuongoza Tz. Ni Utoto sana. Yani Ni aibu. Watu wenye shughuli zao hawaishi hivyo. Rais sio balozi wa nyumba kumi ambaye utakutana naye mkifagia mitaro.
Ni hali fulani ya ushetani kufurahia kifo cha mtu miezi miwili baada ya kuwa ameshazikwa. Halafu humo humo katika furaha yao wanawatukana watu wakiwaita warundi na wasukuma.Hivi anayehangaika na marehemu Nani. Ni wewe. Mnataka kuwa relevant. JPM ameondoka. We are living the present. We have Mama Samia. Kufikiri kwenu kwamba waliopenda kikwete watamchukia JPM, na waliopenda JPM watamchukia Mama ambaye walichaguana kuongoza Tz. Ni Utoto sana. Yani Ni aibu. Watu wenye shughuli zao hawaishi hivyo. Rais sio balozi wa nyumba kumi ambaye utakutana naye mkifagia mitaro.
Nonsense
Kwa nini msemaji mkuu wa serikali awe tofauti na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu?
TRUE kabisa kwa watu wanaomjua Jafari hakuna ulichopindisha hapa.Nilipoona tu kwa muda wa Wiki sasa Gerson Msigwa ni Mtu mwenye Hasira Hasira nilihisi huenda kuna Jambo alishalihisi.
Jaffar Haniu alidharaulika na Waandamizi wa TBC ila Mwenyezi Mungu akamfungulia mlango mwingine hapo AMG kama CEO.
Kuna Mtu Mmoja ( mkubwa sana ) tu pale TBC najua hivi sasa Roho inamuuma kwani aliyemdharau leo kawa ndiyo ' Boss ' wake mkubwa.
Ninayemuonea Huruma zaidi ni Shaaban Kisu ( Emolo ) kwani alijipendekeza sana kwa Mama amteue Yeye ila 'Kamtosa' mazima.
Jaffar Haniu ni Mtu Mstaarabu, Makini na Muungwana mno. Sifa yake Kubwa ni Upendo na Kuwapigania sana Wafanyakazi.
Kwa hiyo wewe sio mznz? Usipende kuwapa sifa mbaya wengine ili hali we ndo kiongozi mkuu wa hayo machafuHuyu mama ni hovyoo sana. Anajifanya anajua dini, halafu mznz sana anakopa kwaajjli ya zenji kwa hisani ya zaznz halfu huku wanasema znz ni nchi tena wanasema wanataka code yao.
Sio mzenji ni Mtanga OGNi mzanzinari erh