UTEUZI: Jaffar Haniu ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu); amrithi Gerson Msigwa

UTEUZI: Jaffar Haniu ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu); amrithi Gerson Msigwa

Alikuaga TBC
Baadaye akaenda azam kama sikosei

Aliwahi kushika hiyo nafasi kabla hajaenda kuwa mkurugenzi wa media za ccm... Japhar haniu alioa tanga huyu 😀
Alikua TBC muda mrefu sana JPM alipoenda Ikulu akamvuta Ikulu alikua msaidizi wa Msigwa.

Baada ya Rostam kucheua Mali za Chama ndo akatolewa Ikulu kwenda kusimamia "mradi" wa CCM naona maza anamrudisha pale

Msigwa Sharubati na kiepe ya Ikulu bye bye anabakia kufungia magazeti pekeyake (Cheo cha Assa Mwambene na baadae Dr Abbas)
 
Alikua TBC muda mrefu sana JPM alipoenda Ikulu akamvuta Ikulu alikua msaidizi wa Msigwa...
Nimesahau, kumbe alivyokuaa ikulu alikuwa msaidizi wa msingwa? Sio kwamba yy ndio alikuwa mkuu wa mawasiliano kipindi msigwa yupo songea huko 😂😂😂
 
Jana tu nilikuwa nasoma waraka wa Msigwa wa teuzi, nikasema huyu Rais Hassan kaamua kuonesha urais ni taasisi, anaendelea na Msigwa hajataka kaweka mtu wake.

Yale mawazo yangu yakawa kama yamekorofisha mitambo Ikulu huko.
 
Back
Top Bottom