Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Sihami na huna uwezo wowote ule wa kunifanya chochote kile zaidi ya kuandika utumbo wako JF.Tumewafyekeeeeleeeeeeaaaaaaaaa mbaaaaaliiiiiiiii .
Hutaki hama nchi
Maumivu yakizidi kunywa limao.Sihami na huna uwezo wowote ule wa kunifanya chochote kile zaidi ya kuandika utumbo wako JF.
You wouldn’t even dare to say anything to my face.
Facts.
Kazi maalum?
Sijui kwa nini bado tuna hivi vyeo visivyoeleweka.
Maumivu yakizidi kunywa limao.
Mama Samia tunamuongezea 5 tenaaaaaaaaaaa
Enzi zenu zimekwiiishaaaaaa na sasa ni zamu ya MATAGA kulia na kusaga meno.Ongezeni tu. Hakuna aliyewakataza wala kuwazuia.
I’m still sipping on my ice cold lemonade.
Vipi bado una hangover za [emoji724] kule twira ...[emoji57][emoji16]
Unahangaika sana aisee!Enzi zenu zimekwiiishaaaaaa na sasa ni zamu ya MATAGA kulia na kusaga meno.
Mwacheni mama apige kazi
Alafu inaingizwa team Lisu?Naona team jiwe yoote inafutiliwa mbaali
Poooooleeeeeee saaaaaaaanaaaaaaaaaUnahangaika sana aisee!
Are you dumb?Poooooleeeeeee saaaaaaaanaaaaaaaaa
Utaongea kila kitu ila unaumia moyoniAre you dumb?
Hoi wkt alipanda cheo ....chadema ya leo hii ni majanga matupuMsigwa hoi
Sina maumivu yoyote moyoni kwangu!Utaongea kila kitu ila unaumia moyoni
Marekani kwa muundo wao msemaji wa serikali ni rais.Hahaha!
Jen Psaki ni White House spokeswoman.
Ila kila wizara ina msemaji wake mkuu.
Nadhani hivyo ndivyo inafaa iwe.
But I digress. Nisije kuambiwa nahoji kisa simpendi huyo Mama.
Manake sasa hivi hatupaswi kuhoji chochote kile.
Hahahaaa Hapana mkuu. Hawa na JPM ni marafiki sana walishibana toka kwenye kile kipindi maalum waliandaa cha kusafiri kwa gari ndogo(saloon) toka Mtwara mpaka Bukoba kuonyesha mafanikio ya lami(Akiwa waziri walisafiri nae na makamera,kipindi kilioneshwa TBC wiki nzima hatua kwa hatua)Nimesahau, kumbe alivyokuaa ikulu alikuwa msaidizi wa msingwa? Sio kwamba yy ndio alikuwa mkuu wa mawasiliano kipindi msigwa yupo songea huko 😂😂😂
Rais Ni Samia SuluhuAmteua Bw. Jaffar M. Haniu kuwa Mkurugenzi wa mawasiliano ya Raisi (Ikulu)
View attachment 1813333
Kwani mwendazake alifanyaje?Kwa nini msemaji mkuu wa serikali awe tofauti na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu?
Endelea kusugua mitishambaSina maumivu yoyote moyoni kwangu!
Usijifanye unaujua moyo wangu kuliko mimi mwenyewe.
Kwa mazingira ya sasa ni vigumu hata kutoa maoni jinsi ya kuboresha utoaji na uenezi wa habari bila kuambiwa unamchukia huyo mama!Marekani kwa muundo wao msemaji wa serikali ni rais.
Inaondoa utata kama uliotokea pale Dr. Abbas alipotafsiri vibaya maneno ya rais na baadaye kuishia kuomba radhi.