Ikulu ni idara ndani ya Serikali. Msemaji wa Ikulu hawezi kuwa msemaji wa serikali. Msemaji Mkuu wa serikali huratibu pia usemaji ndani ya wizara, taasisi, mashirika na wakala za serikali.Kwa nini msemaji mkuu wa serikali awe tofauti na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu?
Ohhh....safiAna ukali flan wa kazi,nimefanya naye kazi kwa muda mfupi hapa Africa media Group ni MTU flan uson mpole ila n mkali sana sana.
Ninachomaanisha cheo cha msemaji mkuu wa serikali akina tija kama kilivyo cha waziri katika ofisi ya rais kazi maalum. Vingefutwa ili kupunguza mzigo kwa walipaji kodi.Msigwa ni msemaji mkuu wa serikali na Mkurugenzi wa habari MAELEZO.Hiyo kazi maalumu Ni ipi.
Msemaji wa Ikulu anaweza kabisa kuwa ndo msemaji wa serikali maana ikulu ndo ofisi ya mkuu wa serikali.Ikulu ni idara ndani ya Serikali. Msemaji wa Ikulu hawezi kuwa msemaji wa serikali. Msemaji Mkuu wa serikali huratibu pia usemaji ndani ya wizara, taasisi, mashirika na wakala za serikali.
Abass ni Katibu mkuu wa Wizara ya Habari, utamaduni na michezo.......Abas vipi
Vya CCM....Alikuwa mkurugenzi Wa Africa media Group (Channel 10,Magic FM na Classic FM)
View attachment 1813354
Yes. Huyo Jaffar bado ni mteule tu, hajaapishwa bado.Msigwa bado anajiita Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu?
Haniu alikuwaga ikulu. ndiye aliyeandika barua ya taarifa ya uteuzi wa msigwa. Leo yeye ndio anayeandikiwa na msigwaMmoja anahusika zaidi na mambo ya ofisi ya rais kama teuzi na tenguzi za rais, mwingine anahusika mambo ya serikali nzima kama kujibu habari za Tanzania kujihusisha kuuzia silaha waasi Burundi.
Kazi ni nyingiKwa nini msemaji mkuu wa serikali awe tofauti na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu?
Msemaji mkuu wa serikali ni bosi wa huyo wa ikulu.Kwa nini msemaji mkuu wa serikali awe tofauti na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu?
Ulipata jibu gani wakati huo? Au hukujibiwa?Una uhakika sikuuliza?
alaaa,, Leo kifutwe!!!!!Msemaji Mkuu wa Serikali hiki cheo kingefutwa.
Kivipi? Yeye ni mkurugenzi Habari maelezo na msemaji mkuu wa serikali.Msigwa hoi
Kwamba atakuja kufagia hata VP na PM??Fagio linaanzia uvunguni linapanda pole pole