Midimay
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 3,036
- 5,039
Ikulu ni idara ndani ya Serikali. Msemaji wa Ikulu hawezi kuwa msemaji wa serikali. Msemaji Mkuu wa serikali huratibu pia usemaji ndani ya wizara, taasisi, mashirika na wakala za serikali.Kwa nini msemaji mkuu wa serikali awe tofauti na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu?