Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kwani kuna maajabu gani?Kwamba atakuja kufagia hata VP na PM??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuna maajabu gani?Kwamba atakuja kufagia hata VP na PM??
Kanuni za usalama zinasema kwamba, unavyozidisha watu kwnye kazi za siri nyeti, ndivyo unazidisha uwezekano wa usiri na usalama kubomolewa.Haniu alikuwaga ikulu. ndiye aliyeandika barua ya taarifa ya uteuzi wa msigwa. Leo yeye ndio anayeandikiwa na msigwa
je inamaana hakuna mtu mwingine anayefit kwenye iyo nafasi? kwann nafasi hizi mama anazunguka mumo mumo?
Kwa lugha nyingine wanaitwa "wasaidizi wa Rais"Kazi maalum?
Sijui kwa nini bado tuna hivi vyeo visivyoeleweka.
Kwani uteuzi unapofanyika wewe shughuli zako zinasimama?Rais sasa hizi teuzi nazo ziishe, umefika muda wa kuchapa kazi. Kuna masuala ya ajira, katiba mpya n.k
Corona huku Marekani ni aina ya bia watu wanakunywa.Kiranga una vituko, nadhani na kuhusu corona imefika wapi, au?
Hata hapo nyuma kidogo tulikua hatuhoji chochote [emoji40][emoji40][emoji40]Hahaha!
Jen Psaki ni White House spokeswoman.
Ila kila wizara ina msemaji wake mkuu.
Nadhani hivyo ndivyo inafaa iwe.
But I digress. Nisije kuambiwa nahoji kisa simpendi huyo Mama.
Manake sasa hivi hatupaswi kuhoji chochote kile.
Labda wewe na wenzako ndo hamkuhoji.Hata hapo nyuma kidogo tulikua hatuhoji chochote [emoji40][emoji40][emoji40]
Vyeo au Dini?Hivi vyeo huwa vinanichanganya
Una uhakika sikuhoji?Nimeshangaa sana huyu Nyani Ngabu kuhoji saivi wakati toka 2015 hawakuona tofauti,hapo wanataka mama tu aonekane mbaya
VP kamteua juzi tu.Kwani kuna maajabu gani?
Kwanini unashangaa kwa sasa wakati sio mara ya kwanza? Hujioni kama mnafiki!Kazi maalum?
Sijui kwa nini bado tuna hivi vyeo visivyoeleweka.
Nashangaa kwa sababu nilitegemea hayo mambo yasingeendelea na utawala huu mpya!Kwanini unashangaa kwa sasa wakati sio mara ya kwanza? Hujioni kama mnafiki!
Tupe link ya uziUna uhakika sikuhoji?
Myopic,Kanuni za usalama zinasema kwamba, unavyozidisha watu kwnye kazi za siri nyeti, ndivyo unazidisha uwezekano wa usiri na usalama kubomolewa.
Hivyo, labda wanaona badala ya kuweka watu wapya ambao hawajahakikiwa, waendelee na hawa hawa wakongwe.
Nishafanya hivyo mara nyingi sana.Tupe link ya uzi
Sa unalalamika nini wakati mambo hayo hata mungu wako alifanya na ukaona ni halali. Leo anafanya Rais wetu mwenye utu unaona ajabu!🤔Nishafanya hivyo mara nyingi sana.
Sina sababu ya kurudia.
Hutaki, unaacha.
Kama si kusema jambo fulani wakati wa Kikwete nilikuwa sina haki ya kulisema wakati wa Magufuli!alaaa,, Leo kifutwe!!!!!
Wakati wa dikteta hamkusema ivyo
1. Sina mungu. Kama Samia wewe ni mungu wako, usidhani na wengine wanaabudu kama wewe.Sa unalalamika nini wakati mambo hayo hata mungu wako alifanya na ukaona ni halali. Leo anafanya Rais wetu mwenye utu unaona ajabu!🤔