UTEUZI: Jaffar Haniu ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu); amrithi Gerson Msigwa

UTEUZI: Jaffar Haniu ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu); amrithi Gerson Msigwa

1. Sina mungu. Kama Samia wewe ni mungu wako, usidhani na wengine wanaabudu kama wewe.

2. Hata Magufuli nilimkosoa sana tu. Na huo ni ukweli usiopingika. Huwezi kabisa kuupinga ukweli huo.

3. No one is above criticism and no one is below praise.

4. Anybody can get it. Including you.
Mlimwabudu sana mwendazake kiasi akawa kama mungu kwenu, kila jambo mlishangilia sasa mungu wenu amekufa mnajiita wakosoaji. Double standard hizo unafiki wa nini?
 
Msigwa alikuwa kama siyo mtanzania, anavyotoa macho vile vile kama baba yao
 
Mlimwabudu sana mwendazake kiasi akawa kama mungu kwenu, kila jambo mlishangilia sasa mungu wenu amekufa mnajiita wakosoaji. Double standard hizo unafiki wa nini?
Muongo wewe. Na si muongo tu. Ni mzushi pia.

Mimi siabudu mtu. Na kamwe sikumuabudu Rais Magufuli.

Rais Magufuli nilimkosoa sana. Huu ni ukweli ambao huwezi kuupinga kwa ushahidi lakini mimi ninaweza kuuthibitisha kwa ushahidi usio na shaka kabisa.

Na kwa taarifa yako, hata Samia simwabudu.

Akichemka naye atapewa tu dozi anayostahili.
 
Mkuu Habari Ya Wakati, Ulipotea Sana Aiseeeh. Ila Umekuja Na Hoja Ya Msingi Sana, Sioni Utofauti Wa Kazi DPC na Ya Msigwa, Maana Wote Kazi Ya Kuisemea Serikali Ambayo Rais na Ofisi Yake Ni Miongoni Mwa Taaasisi Za Serikali.
 
Exactly!
 
Jamaa alikuwa mtangazaji wa Radio Tanzania Dar es salaam ( RTD) ?
 
Myopic,

Kufanya hivyo ni kutengeneza gap kubwa sana kiutendaji, itafika mahali hao wakongwe nature itafanya selection hawataweza kudeliver na hakutakuwa na replacement.

Hakuna mbadala wa kutoleta watu wapya.
Watu wapya wanaletwa lakini wanakuwa chini wakijifunza kazi kwa muda mrefu, wakongwe wakistaafu wapya utawaona.

Haitakiwi watu wapya waletwe halafu wapewe kazi nyeti, lazima wasote kwanza kujifunza.
 
Mbona Kijazi naye alikuwa anatangaza teuzi na tenguzi pia?
Kazi ya Katibu mkuu ofisi ya Rais Ikulu ni ipi?
Mmoja anahusika zaidi na mambo ya ofisi ya rais kama teuzi na tenguzi za rais, mwingine anahusika mambo ya serikali nzima kama kujibu habari za Tanzania kujihusisha kuuzia silaha waasi Burundi.
 
Msemaji mkuu wa serikali ni bosi wa huyo wa ikulu.

Wa ikulu mipaka yake ni ikulu tu wakati huyo msemaji mkuu yeye ni wa serikali kuu.

Msigwa amepandishwa cheo.
Boss ni yule mwenye access ya Rais masaa 24/7 Ambaye ni msemaji wa rais/ikulu. Kila mahali anapokuwa rais na msemaji wake lazima awepo. Kila ziiara lazima aambatane naye. Hii ni advantage kubwa sana aliyonayo dhidi ya huyo msemaji wa serikali. Msemaji wa serikali atasubir sana kwa msemaji wa ikulu ata Msigwa deep down analifaham hili. Hii ni demotion kwake
 
Wailsam mda.wenu kutamba

Hizi mambo za kidini mimi sipendi kabisa yaan kosa jina likiwa la kiislamu basi nongwa inaanza.

Natamani hizi teuzi waache kuweka public,, wapeane uko juu kwa ju na siku ya kufukuzana hivyo tu.
 
Back
Top Bottom