Kama.sikosei ,mdigo wa pale mwakidira Tanga mjiniAliwahi kushika hiyo nafasi kabla hajaenda kuwa mkurugenzi wa media za ccm... Japhar haniu alioa tanga huyu [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama.sikosei ,mdigo wa pale mwakidira Tanga mjiniAliwahi kushika hiyo nafasi kabla hajaenda kuwa mkurugenzi wa media za ccm... Japhar haniu alioa tanga huyu [emoji3]
Anaweza akateua leo akatengua leoVP kamteua juzi tu.
Mlimwabudu sana mwendazake kiasi akawa kama mungu kwenu, kila jambo mlishangilia sasa mungu wenu amekufa mnajiita wakosoaji. Double standard hizo unafiki wa nini?1. Sina mungu. Kama Samia wewe ni mungu wako, usidhani na wengine wanaabudu kama wewe.
2. Hata Magufuli nilimkosoa sana tu. Na huo ni ukweli usiopingika. Huwezi kabisa kuupinga ukweli huo.
3. No one is above criticism and no one is below praise.
4. Anybody can get it. Including you.
Muongo wewe. Na si muongo tu. Ni mzushi pia.Mlimwabudu sana mwendazake kiasi akawa kama mungu kwenu, kila jambo mlishangilia sasa mungu wenu amekufa mnajiita wakosoaji. Double standard hizo unafiki wa nini?
Mkuu Habari Ya Wakati, Ulipotea Sana Aiseeeh. Ila Umekuja Na Hoja Ya Msingi Sana, Sioni Utofauti Wa Kazi DPC na Ya Msigwa, Maana Wote Kazi Ya Kuisemea Serikali Ambayo Rais na Ofisi Yake Ni Miongoni Mwa Taaasisi Za Serikali.Muongo wewe. Na si muongo tu. Ni mzushi pia.
Mimi siabudu mtu. Na kamwe sikumuabudu Rais Magufuli.
Rais Magufuli nilimkosoa sana. Huu ni ukweli ambao huwezi kuupinga kwa ushahidi lakini mimi ninaweza kuuthibitisha kwa ushahidi usio na shaka kabisa.
Na kwa taarifa yako, hata Samia simwabudu.
Akichemka naye atapewa tu dozi anayostahili.
Kwa nini ziishe, mbona Bashiru ameteuliwa wakati Mteuzi yuko katika dakika zake za mwisho!Rais sasa hizi teuzi nazo ziishe, umefika muda wa kuchapa kazi. Kuna masuala ya ajira, katiba mpya n.k
Huyu alikuwa mtangazaji wa TBC kipindi cha habari za biasharaTupeni CV yake. Binafsi ndo namfahamu leo.
Huu nao unafaa kuwa uzi maalumKwa nini msemaji mkuu wa serikali awe tofauti na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu?
Exactly!Mkuu Habari Ya Wakati, Ulipotea Sana Aiseeeh. Ila Umekuja Na Hoja Ya Msingi Sana, Sioni Utofauti Wa Kazi DPC na Ya Msigwa, Maana Wote Kazi Ya Kuisemea Serikali Ambayo Rais na Ofisi Yake Ni Miongoni Mwa Taaasisi Za Serikali.
Watu wapya wanaletwa lakini wanakuwa chini wakijifunza kazi kwa muda mrefu, wakongwe wakistaafu wapya utawaona.Myopic,
Kufanya hivyo ni kutengeneza gap kubwa sana kiutendaji, itafika mahali hao wakongwe nature itafanya selection hawataweza kudeliver na hakutakuwa na replacement.
Hakuna mbadala wa kutoleta watu wapya.
Alikuwa mkurugenzi wa Channel ten na Magic fmAlikuaga TBC
Baadaye akaenda azam kama sikosei
Tupeni CV yake. Binafsi ndo namfahamu leo.
Heee....makubwaaaa...ikulu ya baba yako mbowee auBora Msingwa amefutika rasmi kwenye Ikulu yetu
Mmoja anahusika zaidi na mambo ya ofisi ya rais kama teuzi na tenguzi za rais, mwingine anahusika mambo ya serikali nzima kama kujibu habari za Tanzania kujihusisha kuuzia silaha waasi Burundi.
Kuna wale wapiga picha wa enzi hizo kwenye crew ya mheshimiwa nawaona kwa mbali kwa ku_zoom!
Boss ni yule mwenye access ya Rais masaa 24/7 Ambaye ni msemaji wa rais/ikulu. Kila mahali anapokuwa rais na msemaji wake lazima awepo. Kila ziiara lazima aambatane naye. Hii ni advantage kubwa sana aliyonayo dhidi ya huyo msemaji wa serikali. Msemaji wa serikali atasubir sana kwa msemaji wa ikulu ata Msigwa deep down analifaham hili. Hii ni demotion kwakeMsemaji mkuu wa serikali ni bosi wa huyo wa ikulu.
Wa ikulu mipaka yake ni ikulu tu wakati huyo msemaji mkuu yeye ni wa serikali kuu.
Msigwa amepandishwa cheo.
Wailsam mda.wenu kutamba