sacred wall
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 804
- 1,322
Nani kaula hapo kati ya hao wawili? Waswahili husema: Mgaagaa na upwa hali wali mkavu, nadhani aliyekaribu na Rais anaweza akawa ameula ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mazingira ya sasa ni vigumu hata kutoa maoni jinsi ya kuboresha utoaji na uenezi wa habari bila kuambiwa unamchukia huyo mama!
Tuna jamii yenye watu wajinga wengi mno.
Kama ni under 40 sio ajabu....!Tupeni CV yake. Binafsi ndo namfahamu leo.
Rais sasa hizi teuzi nazo ziishe, umefika muda wa kuchapa kazi. Kuna masuala ya ajira, katiba mpya n.k
Msemaji mkuu wa serikali ndio bosi kwa sababu anamsimamia kikaoni mpaka huyo wa ikulu.Boss ni yule mwenye access ya Rais masaa 24/7 Ambaye ni msemaji wa rais/ikulu. Kila mahali anapokuwa rais na msemaji wake lazima awepo. Kila ziiara lazima aambatane naye. Hii ni advantage kubwa sana aliyonayo dhidi ya huyo msemaji wa serikali. Msemaji wa serikali atasubir sana kwa msemaji wa ikulu ata Msigwa deep down analifaham hili. Hii ni demotion kwake
Atakuwa anakula mshahara wa bure katika umri mdogo!Msigwa sasa atakuwa kama GeorgeMkuchika ambaye ni Waziri katika ofisi ya rais KAZI MAALUMU!!
mkuu hicho kitu kinanikera mno, saa nyengine thread ikishaingiziwa mamb ya dini nakua nashindwa hata kuendelea kuifutilia kabisa. Wakuu hemu tubadilikeni basiNilitegema hili litaibuka kwa watu wasio na hoja.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais ni Kiongozi wa watumishi wote wa umma serikalini (civil servants).Mbona Kijazi naye alikuwa anatangaza teuzi na tenguzi pia?
Kazi ya Katibu mkuu ofisi ya Rais Ikulu ni ipi?
Bado SanaRais sasa hizi teuzi nazo ziishe, umefika muda wa kuchapa kazi. Kuna masuala ya ajira, katiba mpya n.k
Channel 10 na Vyombo vingine viluvyo pamojaAlikuaga TBC
Baadaye akaenda azam kama sikosei
Nachomaanisha ni kwamba, kwenye lobbying, udaku, umbeya kwenye inner circles za serikali na access za Rais huyu msemaji wa Rais ni rahisi kutumika na wafanyabiashara wakubwa wa nje na ndani, mabalozi, mawaziri, mataifa ya nje au mtu yeyote yule mwenye interest zozote zile na ikulu ni rahisi kumtumia huyu bwana ili kumfikia Rais ambaye ndiye mkuu wa nchi kwa uhakika na uharaka zaid maana ana direct access ya face to face na Mkuu wa nchi muda wowote ule. Hivyo kwa lugha nyepesi huu ni ulaji kwake. Na kwenye high ranks huko serikalini hili linafahamika na ndiyo maana ataheshimika na kuogopeka zaidi kuliko msemaji wa serikali ambaye ni mwajiriwa wa kawaida serikalini asiye na uwezo wowote wa kufanya 'lobbying' ya aina yoyote kwa Rais wa nchi au ikulu. Mtu pekee aliyefanikiwa kuitendea haki nafas hii ya Mkurugenzi wa mawasiliano wa ikulu na kunufaika nacho cheo hiki alikuwa ni Salva Rweyemamu enzi za JK. Huyu bwana akijipanga vizur akazicheza vizur karata zake hiki cheo ni kikubwa zaid ya mkijuavyoMsemaji mkuu wa serikali ndio bosi kwa sababu anamsimamia kikaoni mpaka huyo wa ikulu.
Masuala ya ikulu kuwa ndio jikoni kwenyewe ni kitu kinachompa heshima yule msemaji wa ikulu.
Masuala ya Safari za nje na maposho mazito Ndio yanampa heshima msemaji ikulu.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais ni Kiongozi wa watumishi wote wa umma serikalini (civil servants).
Kutangaza inawezekana hata Rais kutangaza teuzi na tenguzikwa sababu Watanzania hatuna formula.
Hata Muungano wetu ukiuliza umekaaje ni kama kiti kilichowekewa mawe chini kisianguke, hakuna anayeweza kukuelezea vizuri umekaaje.
Ndo maana hata sielewi uhitaji wa kuwepo kwa msemaji wa serikali na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais!Katibu Mkuu Ofisi ya Rais ni Kiongozi wa watumishi wote wa umma serikalini (civil servants).
Kutangaza inawezekana hata Rais kutangaza teuzi na tenguzikwa sababu Watanzania hatuna formula.
Hata Muungano wetu ukiuliza umekaaje ni kama kiti kilichowekewa mawe chini kisianguke, hakuna anayeweza kukuelezea vizuri umekaaje.
Nilipoona tu kwa muda wa Wiki sasa Gerson Msigwa ni Mtu mwenye Hasira Hasira nilihisi huenda kuna Jambo alishalihisi.Amteua Bw. Jaffar M. Haniu kuwa Mkurugenzi wa mawasiliano ya Raisi (Ikulu)
View attachment 1813333
Mbona ni rahis. Hivi ni vyeo viwili tofaut na distinct maana mmoja ni 'Goverment spokesperson' na mwingine ni 'State House spokesperson'. Sioni namna yoyote ambayo hivyi vyeo viwili vikifanana wala vikingiliana kimajukumu. Maana mmoja anaripoti kuhusu serikali kwa ujumla wake kwa mantiki ya wizara na taasisi zote za serikali. Na huku kwingine huyu anareport habari zinazomhusu Rais na ikulu yake tumchukulie kama personal press secretary wa Rais na ikulu.Ndo maana hata sielewi uhitaji wa kuwepo kwa msemaji wa serikali na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais!
Rais si ndo mkuu wa serikali? Au?
Serikali ina msemaji wake na Rais ana msemaji wake na kwa wakati huo huo Rais ndo mkuu wa serikali!!
Dizzying.
Ameibadilisha Sana AmG na Alipelekwa na Mwendazake Pale Kwa Kazi Ya Kuinua AMG kwa Ujumla. Jamaa ni Code 969Nilipoona tu kwa muda wa Wiki sasa Gerson Msigwa ni Mtu mwenye Hasira Hasira nilihisi huenda kuna Jambo alishalihisi.
Jaffar Haniu alidharaulika na Waandamizi wa TBC ila Mwenyezi Mungu akamfungulia mlango mwingine hapo AMG kama CEO.
Kuna Mtu Mmoja ( mkubwa sana ) tu pale TBC najua hivi sasa Roho inamuuma kwani aliyemdharau leo kawa ndiyo ' Boss ' wake mkubwa.
Ninayemuonea Huruma zaidi ni Shaaban Kisu ( Emolo ) kwani alijipendekeza sana kwa Mama amteue Yeye ila 'Kamtosa' mazima.
Jaffar Haniu ni Mtu Mstaarabu, Makini na Muungwana mno. Sifa yake Kubwa ni Upendo na Kuwapigania sana Wafanyakazi.
kile kibanda cha bati wekeni cha vigae vya Thailand atafurahi SanaSijui.