Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara

Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara

Kaondolewa Kidata, kateuliwa mzanzibari kuwa kamishina wa TRA ili pesa ichotwe na kupelekwa Zanzibar.

Kidata hajakusanya Kodi kwa kutumia sheria yake mwenyewe, alikuwa akitekeleza sheria zilozotungwa na bunge. Kumtumbua ni kumuonea tu.


Tanganyika imegeuzwa kuwa shamba la bibi.
 
Mada ya wajinga wa Taifa hili. Hii hii Plus usajiri wa Yanga na Simba ndio Mada za wiki hii, zikipoa inatafutwa nyingine, yaani wajinga wa hii nchi watengenezee headline za aina hii hakuna watakacho kumbuka.

Mama anacheza na akili za wajinga wa hili Taifa. Mungu tusaidie
 
Back
Top Bottom