Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara

Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara

Kaondolewa Kidata, kateuliwa mzanzibari kuwa kamishina wa TRA ili pesa ichotwe na kupelekwa Zanzibar.

Kidata hajakusanya Kodi kwa kutumia sheria yake mwenyewe, alikuwa akitekeleza sheria zilozotungwa na bunge. Kumtumbua ni kumuonea tu.


Tanganyika imegeuzwa kuwa shamba la bibi.
Aliyeteuliwa sio mtu wa znz, ni mtu bara 100%.

Tena mtu wa kyela huko.. nadhani au Iringa.
 
Back
Top Bottom