Charles ni MzanzibariWatanganyika wengi wanafanyakazi Zanzibar kwenye hospitality.
Charles Hilaly yupo ikulu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Charles ni MzanzibariWatanganyika wengi wanafanyakazi Zanzibar kwenye hospitality.
Charles Hilaly yupo ikulu.
Ni Mzanzibar wa kuzaliwa au asili yake ni Zanzibar?Charles ni Mzanzibari
Siku watanganyika tutakapo amka tutakuta tanganyika ni colony la zanzibar.Watu wanadhani ni ishu ya Kariakoo, toka lini teuzi za Samia za asubuhi na jioni zina sababu za kiutendaji na ufanisi ? JPM ndio alikuwa anajaribu kutoa sababu za pangua huyu pangua yule. Lini Samia kasema nimekutoa kwa saab umeharibu hiki na kile ?
Sasa mtu wa ZRA ndio anaijua Kariakoo ?
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kahama, au Geita au Meneja TRA wa Mkoa wa Namanga au wa Mgagala Rangi Tatu anasimamia mapato makubwa kuliko ZRA ya Unguja na Pemba. Ana qualifications gani huyo wa ZRA za kuwazidi hawa wa TRA ?
Mtu wa ZRA hajaletwa TRA kuboresha TRA.
1/ Kaletwa ku divert pesa ya TRA kwenda serikali ya Zanzibar.
2 / Kaletwa ili aidhinishe na kujaza vijana wa Zanzibar kwenye nafasi za Watanganyika TRA
3/ Kaletwa kusamehe kodi za miradi mikubwa ya Wawekezaji na business partners wa Samia
4 / Kaletwa ku swindle pesa za TRA kwenda CCM kwenye uchaguzi na kwenye akaunti za Ikulu ambazo huwa haziguswi na CAG.
WATANGANYIKA tuamke ndugu zangu
Kaka nikuelimishe kidogo Yusuph Mwenda alikuwa hapo kariakoo kwa maana ya ilala na baadae makao makuu kwa baadae aligombea udiwani mikocheni na akawa meya wa kinondoni 2010 to 2015 na akagombea ubunge kawe alipo shindwa alirudi TRA na baadae ya mwinyi kushinda urasisi 2020 alimteua kwenda Zanzibar kwenda kuweka sawa na sasa amerudishwa huku baraWatu wanadhani ni ishu ya Kariakoo, toka lini teuzi za Samia za asubuhi na jioni zina sababu za kiutendaji na ufanisi ? JPM ndio alikuwa anajaribu kutoa sababu za pangua huyu pangua yule. Lini Samia kasema nimekutoa kwa saab umeharibu hiki na kile ?
Sasa mtu wa ZRA ndio anaijua Kariakoo ?
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kahama, au Geita au Meneja TRA wa Mkoa wa Namanga au wa Mgagala Rangi Tatu anasimamia mapato makubwa kuliko ZRA ya Unguja na Pemba. Ana qualifications gani huyo wa ZRA za kuwazidi hawa wa TRA ?
Mtu wa ZRA hajaletwa TRA kuboresha TRA.
1/ Kaletwa ku divert pesa ya TRA kwenda serikali ya Zanzibar.
2 / Kaletwa ili aidhinishe na kujaza vijana wa Zanzibar kwenye nafasi za Watanganyika TRA
3/ Kaletwa kusamehe kodi za miradi mikubwa ya Wawekezaji na business partners wa Samia
4 / Kaletwa ku swindle pesa za TRA kwenda CCM kwenye uchaguzi na kwenye akaunti za Ikulu ambazo huwa haziguswi na CAG.
WATANGANYIKA tuamke ndugu zangu
Meya Tena kwenye utendaji wa TRA!?what ambacho haujui ni kwamba huyo mtu ameshafanya kazi TRA muda tu na alitoka bara kwenda ZRA na nahis ameshawah kuwa meya hapo DSM
next time do your research
Huko kwenye umeya alifanya Nini kikubwa Jiji Bado lipo Squatters, iweje aaminiwe Tena Kwenye utendaji aliokuwa ameukimbia na kuona siasa inalipa!?Kaka nikuelimishe kidogo Yusuph Mwenda alikuwa hapo kariakoo kwa maana ya ilala na baadae makao makuu kwa baadae aligombea udiwani mikocheni na akawa meya wa kinondoni 2010 to 2015 na akagombea ubunge kawe alipo shindwa alirudi TRA na baadae ya mwinyi kushinda urasisi 2020 alimteua kwenda Zanzibar kwenda kuweka sawa na sasa amerudishwa huku bara
Acheni upotoshaji Yusuph Mwenda ni Mtanganyika ametokea huku kwenda kufanya kazi kule na sasa amerudi acheni kupotosha kenge nyie.Kilio ni kile kile cha Mzanzibar kupewa nafasi ya kazi huku Bara,wakati hakuna mtanganyika anaweza kupewa nafasi ya kazi Zanzibar!
Kiutendaji hata kama ni mzanzibar bado kuna watendaji walio chini yake ambao wanaifahamu Kariakoo watamsaidia.
Nadhani kwa hilo hakuna shida!
Tunajadili uwezo Wake wa kumudu majukumuHuu uzi na baadhi ya wachangiaji umeonesha kwa kiasi gani kundi kubwa la watu nchi hii ni wajinga kwa kukurupuka na kushindwa kutambua hata huyo aliyeteuliwa ni mtanzania kutoka upande wa bara lakini aliteuliwa kwenda kufanya kazi ya mapato kisiwani na kwa sasa amerudi kuongoza Tanzania bara.
Ndio anaruhusiwa kuomba ruhusa kwenda kwenye Siasa akimaliza anarudi kwenye utumishiMeya Tena kwenye utendaji wa TRA!?
Hayo ndio ya kujadiliTunajadili uwezo Wake wa kumudu majukumu
Yusuf Juma Mwenda Mwaipopo,mnyakyusa wa Kyela kijiji cha Tenende ni mtu mwadilifu na hana makuu!Bara ni shamba la bibi
Nafikiri ungefanya kwanza tafiti kabla ya kuja na hoja hiiWatu wanadhani ni ishu ya Kariakoo, toka lini teuzi za Samia za asubuhi na jioni zina sababu za kiutendaji na ufanisi ? JPM ndio alikuwa anajaribu kutoa sababu za pangua huyu pangua yule. Lini Samia kasema nimekutoa kwa saab umeharibu hiki na kile ?
Sasa mtu wa ZRA ndio anaijua Kariakoo ?
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kahama, au Geita au Meneja TRA wa Mkoa wa Namanga au wa Mgagala Rangi Tatu anasimamia mapato makubwa kuliko ZRA ya Unguja na Pemba. Ana qualifications gani huyo wa ZRA za kuwazidi hawa wa TRA ?
Mtu wa ZRA hajaletwa TRA kuboresha TRA.
1/ Kaletwa ku divert pesa ya TRA kwenda serikali ya Zanzibar.
2 / Kaletwa ili aidhinishe na kujaza vijana wa Zanzibar kwenye nafasi za Watanganyika TRA
3/ Kaletwa kusamehe kodi za miradi mikubwa ya Wawekezaji na business partners wa Samia
4 / Kaletwa ku swindle pesa za TRA kwenda CCM kwenye uchaguzi na kwenye akaunti za Ikulu ambazo huwa haziguswi na CAG.
WATANGANYIKA tuamke ndugu zangu
Yusuf Juma Mwenda Mwaipopo, Mnyakyusa wa Kyela kijiji cha Tenende ni mtu mwadilifu na hana makuu!Utavamiwa na Wazenji mpaka utakoma!!
Wamejaa humu wanasubiri kazi za TRA halafu unataka kutia mchanga kitumbua!?
Umechanganya siyo huyo babaaYusuf Juma Mwenda Mwaipopo,mnyakyusa wa Kyela kijiji cha Tenende ni mtu mwadilifu na hana makuu!
Ni kijana mchapa kazi na mara nyingi akija kijiweni hapa Kasyungutini Tenende Kyela vijijini tunakaa kijiweni tunapata kahawa kidogo pamoja!
Mama yake tumezika hapa kijijini mwaka juzi,ni kijana wetu
Mkuu lipa kodi acha visingizio- ana divert pesa vipi?Watu wanadhani ni ishu ya Kariakoo, toka lini teuzi za Samia za asubuhi na jioni zina sababu za kiutendaji na ufanisi ? JPM ndio alikuwa anajaribu kutoa sababu za pangua huyu pangua yule. Lini Samia kasema nimekutoa kwa saab umeharibu hiki na kile ?
Sasa mtu wa ZRA ndio anaijua Kariakoo ?
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kahama, au Geita au Meneja TRA wa Mkoa wa Namanga au wa Mgagala Rangi Tatu anasimamia mapato makubwa kuliko ZRA ya Unguja na Pemba. Ana qualifications gani huyo wa ZRA za kuwazidi hawa wa TRA ?
Mtu wa ZRA hajaletwa TRA kuboresha TRA.
1/ Kaletwa ku divert pesa ya TRA kwenda serikali ya Zanzibar.
2 / Kaletwa ili aidhinishe na kujaza vijana wa Zanzibar kwenye nafasi za Watanganyika TRA
3/ Kaletwa kusamehe kodi za miradi mikubwa ya Wawekezaji na business partners wa Samia
4 / Kaletwa ku swindle pesa za TRA kwenda CCM kwenye uchaguzi na kwenye akaunti za Ikulu ambazo huwa haziguswi na CAG.
WATANGANYIKA tuamke ndugu zangu
Tukisema hii katiba Ina matege akina mwigulu wana kata mayenu na kuvaa bendera tuWatu wanadhani ni ishu ya Kariakoo, toka lini teuzi za Samia za asubuhi na jioni zina sababu za kiutendaji na ufanisi ? JPM ndio alikuwa anajaribu kutoa sababu za pangua huyu pangua yule. Lini Samia kasema nimekutoa kwa saab umeharibu hiki na kile ?