huyo ni mwizi wa mazaMwigulu wanamwacha wa nini? Huyu ndio wa kupiga chini kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo ni mwizi wa mazaMwigulu wanamwacha wa nini? Huyu ndio wa kupiga chini kabisa
Kama huyu bwana aliteuliwa na rais wa Zenj, mwenye mamlaka kamili inakuwaje rais Samia anamteua mtu ambaye tayari yuko kwenye uteuzi wa rais mwingine?what ambacho haujui ni kwamba huyo mtu ameshafanya kazi TRA muda tu na alitoka bara kwenda ZRA na nahis ameshawah kuwa meya hapo DSM
next time do your research
hawa wabunge ambao wanaridhia ujinga huu kuna siku watanyongwa maana wanaiuza tanganyikaTRA ni ya muungano, lakini ZRA siyo. Kutoka ZRA kwenda TRA ni sawa, lakini kinyume chake haipo!
Ila kulinganisha zra na tra, si ni km kulinganisha inchi na mkoa moja?! 😄Tuone kasi ya ami yangu kutoka ZRA kuja TRA
CCM bara inashangilia😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Watu wanadhani ni ishu ya Kariakoo, toka lini teuzi za Samia za asubuhi na jioni zina sababu za kiutendaji na ufanisi ? JPM ndio alikuwa anajaribu kutoa sababu za pangua huyu pangua yule. Lini Samia kasema nimekutoa kwa saab umeharibu hiki na kile ?
Sasa mtu wa ZRA ndio anaijua Kariakoo ?
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kahama, au Geita au Meneja TRA wa Mkoa wa Namanga au wa Mgagala Rangi Tatu anasimamia mapato makubwa kuliko ZRA ya Unguja na Pemba. Ana qualifications gani huyo wa ZRA za kuwazidi hawa wa TRA ?
Mtu wa ZRA hajaletwa TRA kuboresha TRA.
1/ Kaletwa ku divert pesa ya TRA kwenda serikali ya Zanzibar.
2 / Kaletwa ili aidhinishe na kujaza vijana wa Zanzibar kwenye nafasi za Watanganyika TRA
3/ Kaletwa kusamehe kodi za miradi mikubwa ya Wawekezaji na business partners wa Samia
4 / Kaletwa ku swindle pesa za TRA kwenda CCM kwenye uchaguzi na kwenye akaunti za Ikulu ambazo huwa haziguswi na CAG.
WATANGANYIKA tuamke ndugu zangu
Watanganyika Wana PhD ila sijaona faida zake kwa kweli.Watu wanadhani ni ishu ya Kariakoo, toka lini teuzi za Samia za asubuhi na jioni zina sababu za kiutendaji na ufanisi ? JPM ndio alikuwa anajaribu kutoa sababu za pangua huyu pangua yule. Lini Samia kasema nimekutoa kwa saab umeharibu hiki na kile ?
Sasa mtu wa ZRA ndio anaijua Kariakoo ?
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kahama, au Geita au Meneja TRA wa Mkoa wa Namanga au wa Mgagala Rangi Tatu anasimamia mapato makubwa kuliko ZRA ya Unguja na Pemba. Ana qualifications gani huyo wa ZRA za kuwazidi hawa wa TRA ?
Mtu wa ZRA hajaletwa TRA kuboresha TRA.
1/ Kaletwa ku divert pesa ya TRA kwenda serikali ya Zanzibar.
2 / Kaletwa ili aidhinishe na kujaza vijana wa Zanzibar kwenye nafasi za Watanganyika TRA
3/ Kaletwa kusamehe kodi za miradi mikubwa ya Wawekezaji na business partners wa Samia
4 / Kaletwa ku swindle pesa za TRA kwenda CCM kwenye uchaguzi na kwenye akaunti za Ikulu ambazo huwa haziguswi na CAG.
WATANGANYIKA tuamke ndugu zangu
Ni wale wale waliokunywa uji wa mgonjwaSasa huyo Mwenda si mpare wa Tanganyika, shida ipo wapi.??
Mwenda ni Mgogo wa DodomaAkili ndogo, gen z wa Tanzania hamna akili, Yusuf Juma Mwenda ni mbongo na alishagombea ubunge kawe akapigwa chini 2020, kabla ya hapo alishawahi kuwa diwani na meya wa hukuhuku Tanganyika so jifunze kabla hujaropoka ujue historia ya mtu. Makalio yako.
Kwani kirefu cha TRA ni nini na je Zanzibar sio Tanzania auWatu wanadhani ni ishu ya Kariakoo, toka lini teuzi za Samia za asubuhi na jioni zina sababu za kiutendaji na ufanisi ? JPM ndio alikuwa anajaribu kutoa sababu za pangua huyu pangua yule. Lini Samia kasema nimekutoa kwa saab umeharibu hiki na kile ?
Sasa mtu wa ZRA ndio anaijua Kariakoo ?
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kahama, au Geita au Meneja TRA wa Mkoa wa Namanga au wa Mgagala Rangi Tatu anasimamia mapato makubwa kuliko ZRA ya Unguja na Pemba. Ana qualifications gani huyo wa ZRA za kuwazidi hawa wa TRA ?
Mtu wa ZRA hajaletwa TRA kuboresha TRA.
1/ Kaletwa ku divert pesa ya TRA kwenda serikali ya Zanzibar.
2 / Kaletwa ili aidhinishe na kujaza vijana wa Zanzibar kwenye nafasi za Watanganyika TRA
3/ Kaletwa kusamehe kodi za miradi mikubwa ya Wawekezaji na business partners wa Samia
4 / Kaletwa ku swindle pesa za TRA kwenda CCM kwenye uchaguzi na kwenye akaunti za Ikulu ambazo huwa haziguswi na CAG.
WATANGANYIKA tuamke ndugu zangu
Ukibanwa ukaambiwa uthibitishe unachoongea utakuwa na majibu.Watu wanadhani ni ishu ya Kariakoo, toka lini teuzi za Samia za asubuhi na jioni zina sababu za kiutendaji na ufanisi ? JPM ndio alikuwa anajaribu kutoa sababu za pangua huyu pangua yule. Lini Samia kasema nimekutoa kwa saab umeharibu hiki na kile ?
Sasa mtu wa ZRA ndio anaijua Kariakoo ?
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kahama, au Geita au Meneja TRA wa Mkoa wa Namanga au wa Mgagala Rangi Tatu anasimamia mapato makubwa kuliko ZRA ya Unguja na Pemba. Ana qualifications gani huyo wa ZRA za kuwazidi hawa wa TRA ?
Mtu wa ZRA hajaletwa TRA kuboresha TRA.
1/ Kaletwa ku divert pesa ya TRA kwenda serikali ya Zanzibar.
2 / Kaletwa ili aidhinishe na kujaza vijana wa Zanzibar kwenye nafasi za Watanganyika TRA
3/ Kaletwa kusamehe kodi za miradi mikubwa ya Wawekezaji na business partners wa Samia
4 / Kaletwa ku swindle pesa za TRA kwenda CCM kwenye uchaguzi na kwenye akaunti za Ikulu ambazo huwa haziguswi na CAG.
WATANGANYIKA tuamke ndugu zangu
Watanganyika wengi wanafanyakazi Zanzibar kwenye hospitality.Kilio ni kile kile cha Mzanzibar kupewa nafasi ya kazi huku Bara,wakati hakuna mtanganyika anaweza kupewa nafasi ya kazi Zanzibar!
Kiutendaji hata kama ni mzanzibar bado kuna watendaji walio chini yake ambao wanaifahamu Kariakoo watamsaidia.
Nadhani kwa hilo hakuna shida!
Ni Mtanganyika wa lringa huyoWatu wanadhani ni ishu ya Kariakoo, toka lini teuzi za Samia za asubuhi na jioni zina sababu za kiutendaji na ufanisi ? JPM ndio alikuwa anajaribu kutoa sababu za pangua huyu pangua yule. Lini Samia kasema nimekutoa kwa saab umeharibu hiki na kile ?