Watu wanadhani ni ishu ya Kariakoo, toka lini teuzi za Samia za asubuhi na jioni zina sababu za kiutendaji na ufanisi ? JPM ndio alikuwa anajaribu kutoa sababu za pangua huyu pangua yule. Lini Samia kasema nimekutoa kwa saab umeharibu hiki na kile ?
Sasa mtu wa ZRA ndio anaijua Kariakoo ?
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kahama, au Geita au Meneja TRA wa Mkoa wa Namanga au wa Mgagala Rangi Tatu anasimamia mapato makubwa kuliko ZRA ya Unguja na Pemba. Ana qualifications gani huyo wa ZRA za kuwazidi hawa wa TRA ?
Mtu wa ZRA hajaletwa TRA kuboresha TRA.
1/ Kaletwa ku divert pesa ya TRA kwenda serikali ya Zanzibar.
2 / Kaletwa ili aidhinishe na kujaza vijana wa Zanzibar kwenye nafasi za Watanganyika TRA
3/ Kaletwa kusamehe kodi za miradi mikubwa ya Wawekezaji na business partners wa Samia
4 / Kaletwa ku swindle pesa za TRA kwenda CCM kwenye uchaguzi na kwenye akaunti za Ikulu ambazo huwa haziguswi na CAG.
WATANGANYIKA tuamke ndugu zangu