Ukiona anaambiwa umeamishwa kuwa utaenda ikulu kuwa mshauri wa Rais ujue huyo ni mtu smart sema amekuwa suspended kiuprofesa ili kulinda hadhi yake
Mkuu 'Soaiod', umenichanganya kweli kweli na maneno uliyo andika hapa. Nimejitahidi kuyaelewa bila mafanikio. Sijui uli maanisha nini?
Labda nijaribu kudadavua, ili ujue ni wapi nilipo kwama kuelewa:
Kuhamishiwa ikulu kuwa mshauri = huyo ni mtu 'smart'.
Kama huyu ni mtu 'smart', kwa nini aondolewe kwenye nafasi yake anayo itumikia? Hizo nafasi hazihitaji watu 'smart'?
"... amekuwa 'suspended' kiuprprofesa... "? Hapa sielewi kabisa una maana gani.
" ... amekuwa 'suspended'ili kulinda hadhi yake"!
Ikulu kunatakiwa kuwepo watu 'smart', hili linajulikana vizuri. Lakini kwa nini wawe ni watu ambao ni 'suspended', tena ikionekana kuwa kama adhabu, na kulinda hadhi yao, dhidi ya nini? Walifanya makosa mahala kwingine?
Inawezekana nikawa nimekuuliza maswali usiyo kuwa na uwezo wa kuyajibu.
Potelea mbali; hii ndiyo JF yetu.