Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukhran mkuu 😂😂Kuna mwana jf nimemuona dahh hongera zake
Rais apunguze kuteua watu wasio na sifa wala uzoefu wowote wa utumishi wa umma, wengi wao wanamtia aibu tu kwa kuwa hawajui hata msingi wa majukumu yao.Ndugu zangu Watanzania,
Habari ndio hiyo wenye kupata wamepata na wenye kuhamishwa wamehamishwa.
Ila tu fahamu ya kuwa msemaji wa serikali wa sasa ameondolewa kwenye nafasi yake na ataoangiwa kazi nyingine.
Kazi iendelee mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti
Lucas Hebel Mwashambwa.mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Barua ya page 2 tu makosa, mkataba je utakuwaje sasa?Bado najiuliza BARUA Official inayotoka kwa UMMA na inayobeba MAMLAKA makubwa kiasi hichi inakuwa na DOSARI/KASORO ndogo ndogo za kiuandishi kiasi hichi na mtu anatia SAINI kabisa???
NAJIULIZA hili swali kila siku.
Anaenda kumrithi YunusKafulila chali!
Lucas jina lake litaonekana kwenye pdf la wafungwa walioachiwa huru kwa msamaha wa raisMkuu wewe jina lako litatoka kwenye PDF la lini au mama haoni hizi sifa unazompa??
Dah nimelia sana 😭Na wewe Max akuhamishie jukwaa la ujenzi
Hawakumtetea mama Siri zikawa zinavuja!!Watu wanaondelewa ikulu kwa kasi! Ukinusa tu haupo.