Uteuzi Juni 15, 2024: Mobhare Matinyi, aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali apangiwa majukumu mengine, nafasi yake yachukuliwa na Thobias Makoba

Wapi ngedere? Wapi tumbili?
Yule chawa wa kiha safari hii akasake uchawi mwingine kule ujiji.
 
Kaa kwa kutulia dogo.kinachoangaliwa ni kuleta tija na ufanisi mahali pa kazi.pia Watanzania ni lazima tujuwe kuwa ukipewa kazi basi fanya kwa bidii na siyo kuleta mazoea kazini.
Taja tija ya hizi teuzi za mara kwa mara, ni nchi gani nyingine kutwa Rais anateua kama yetu? kwa nini nafasi zisitangazwe watu wakafanya interview tukapata watu waliotayari kutumikia taifa kwa kueleza mipango yao?
 
Lucas Hebel Mwashambwa sikuhiz huweki tena number itakua washaisevu tiari watu wa idara zinazohusika na propaganda za mitandaoni
 
Naona maza kaamua kusafisha Ikulu. Kuna wale washauri binafsi wa Ikulu ambao raisi anateua akiingia na anaweza kuwatoa kirahisi pia.

Lakini anaweza kweli kubadilisha kuholela hivyo ata wale ambao wanafika hapo kwa njia za usalama.

Hii ni shambles kwa TISS kama raisi hata huko Ikulu anaweza fanya anavyotaka.
 
Du, kumbe hata mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha ufundi cha Arusha na vingine vya ngazi hiyo nao huteuliwa na Muheshimiwa Rais?
Tuseme ukweli, hizi nafasi za teuzi naona ni nyingi sana hata zitamchosha Muheshimiwa Rais

Nafikiri hizi nafasi za kawaida wangeweza kupewa tu madaraka wasaidizi wake kama Makamu wa Rais wa kwanza (kama anavyo teua makamu wa pili kule Zanzibar), nyingine ziangukie kwa Waziri mkuu na hata mawaziri.
Pengine uwajibikaji ungeongezeka kwani kila aliyeteua angefuatilia watu wake na kufanya jicho la ufuatiliaji kuwa karibu zaidi na wateuliwa...
 
Kwanza anateua watu ambao hata hawajui
 
Ili kufanikisha azma ya kura za ushindi ,mama ondoa wafuatao:
1. Mkuu wa mkoa wa Manyara
2. DC Hai
3. DC Chunya
4. RC Pwani
5. Pangua safu ya makatibu wote wa ccm wilaya na mikoa
6. Wakurugenzi, Meru, Moshi MC, Arusha Jiji,
 
Ili kufanikisha azma ya kura za ushindi ,mama ondoa wafuatao:
1. Mkuu wa mkoa wa Manyara
2. DC Hai
3. DC Chunya
4. RC Pwani
5. Pangua safu ya makatibu wote wa ccm wilaya na mikoa
6. Wakurugenzi, Meru, Moshi MC, Arusha Jiji,
Najuwa lengo lako lilikuwa ni huyo mkurugenzi wa Moshi maana una chuki naye binafsi sana .umemchafua sana lakini umegonga mwamba dua zako mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…