Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Rais Samia hafanyi uteuzi au kazi zake kwa muongozo wa Mange Kimambi.Naona Kuna huyo aliyekuwa anatukanwa na Kigogo Twitter kuwa Hana sifa za kuwa Director wa IT TISS ,Mama kampiga chini anaenda wizara ya utalii.. Sijui ndio Mange kimambi effect