Uteuzi Juni 15, 2024: Mobhare Matinyi, aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali apangiwa majukumu mengine, nafasi yake yachukuliwa na Thobias Makoba

Uteuzi siyo kucheza kamali, kama hujui. Mtu anateuliwa kwenye nafasi kutokana na vigezo vinavyojulikana, siyo kwa "matarajio".

Kwani hawa "hawahamishwi", au hata hujui unacho andika?
Vigezo ndiyo matarajio yenyewe,jifunze kuitazama sarafu pande zote,vigezo maana yake ni sifa ya kubeba majukumu tarajiwa,hence matarajio
 
Wale wa mfumo kristo sijawaskia mkilalamika mbona majina mengi ni ya wala vitimoto? Yangekua ni ya wavaa makobaz humu moto ungewaka...

Mnaoshabikia dini wote ni waxxng tu
 
View attachment 3018303
Rais Samia Suluhu Hassan

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo:

i Amemteua Balozi Dkt. John Stephen Simbachawene kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda na Biashara. Kabla ya uteuzi, Balozi Dkt. Simbachawene alikuwa Afisa Mwandamizi, Ofisi ya Rais - Ikulu.

ii. Amemteua Bw. Nkoba Eliezer Mabula kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia utalii. Kabla ya uteuzi, Bw. Mabula alikuwa Afisa Mwandamizi, Ofisi ya Rais - Ikulu.

Aidha, CP. Benedict Wakulyamba atakuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia maliasili.

iii. Amemteua Dkt. Habib Gallus Kambanga kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi, Dkt. Kambanga alikuwa Afisa Mwandamizi, Ofisi ya Rais - Ikulu.

iv. Amemteua Bw. Thobias Makoba kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali. Kabla ya uteuzi, Bw. Makoba alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Msajili wa Hazina.
Bw. Makoba anachukua nafasi ya Bw. Mabhare Matinyi ambaye amepangiwa majukumu mengine.

V. Amemteua Bw. Ally Rajab Mketo kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Bukombe. Kabla ya uteuzi, Bw. Mketo alikuwa Afisa Tawala Mwandamizi, Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bukombe. Bw. Mketo anachukua nafasi ya Bw. Onesmo Kisoka ambaye amestaafu.

vi. Amemteua Jaji Dkt. Mary Caroline Levira kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto. Jaji Dkt. Levira ni Jaji wa Mahakama ya Rufani. Jaji Dkt. Levira anachukua nafasi ya Jaji Dkt. Gerald Ndika ambaye amemaliza muda wake.

vii. Amemteua Dkt. Leonard Douglas Akwilapo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA). Dkt. Akwilapo ni Katibu Mkuu Mstaafu na Mhadhiri Mwandamizi, Kikuu Kikuu cha Dodoma. Dkt. Akwilapo anachukua nafasi ya Prof. Maurice Mbago ambaye amemaliza muda wake. Amemteua Dkt. Noel Eusebius Mbonde kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Utawala.

viii. ya Chuo cha Ufundi Arusha. Dkt. Mbonde ni Mkurugenzi Mstafu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

full Tiss tu wanakula shavu😄
 
Turn boy wamekaa kihasara hasara pale yard
Tajiri anawafurusha wote
wewe kafate nyanya Ilula
wewe nenda singida ukalete alizeti

yani anasafshaa wotee
 
Vigezo ndiyo matarajio yenyewe,jifunze kuitazama sarafu pande zote,vigezo maana yake ni sifa ya kubeba majukumu tarajiwa,hence matarajio
Unatumia lugha ya wapi hiyo!
Unazungusha manano bila hata ya kujuwa unaeleza kitu gani?
 
Makao ya Eagle imepatwa na nini kulikoni?
DG Balozi Siwa huwenda ikawa Redflag kwake...
Naona jumba jeupe linasafishwa, shida hata wanaokuja huna uhakika wapo kweli kwako.

Nakumbuka Magu naye aliteseka sana kutoa watu mle, lakini mwisho wa siku ikala kwake. 🥲.
Inahitaji uwezo mkubwa sana kiakili, uzoefu na kuwa mtu mwenye macho yaonayo bisivyoonrkana 😂
 
Hii nchi ngumu mnoo.
Utumbuaji na uteuaji ndio umekuwa mtindo wa uwajibikaji.
CCM na serikali yake ni laana tupu.
Huyu Mama ni Mtihani sana. Wale walio doubt mbele ya mkuu wa majeshi kumpa nchi Samia , Mtawaelewa tu over time

Ndani ya week anateua na kutengua, akitoka hapo huyo nje ya nchi.
Mtihani sana . Kuna mawili;

1. inawezekana anawekwa kwenye set up au
2. Inawezekana hajui hata anachokifanya
Hii nchi ngumu mnoo.
Utumbuaji na uteuaji ndio umekuwa mtindo wa uwajibikaji.
CCM na serikali yake ni laana tupu.
 
View attachment 3018303
Rais Samia Suluhu Hassan

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo:

i Amemteua Balozi Dkt. John Stephen Simbachawene kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda na Biashara. Kabla ya uteuzi, Balozi Dkt. Simbachawene alikuwa Afisa Mwandamizi, Ofisi ya Rais - Ikulu.

ii. Amemteua Bw. Nkoba Eliezer Mabula kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia utalii. Kabla ya uteuzi, Bw. Mabula alikuwa Afisa Mwandamizi, Ofisi ya Rais - Ikulu.

Aidha, CP. Benedict Wakulyamba atakuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia maliasili.

iii. Amemteua Dkt. Habib Gallus Kambanga kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi, Dkt. Kambanga alikuwa Afisa Mwandamizi, Ofisi ya Rais - Ikulu.

iv. Amemteua Bw. Thobias Makoba kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali. Kabla ya uteuzi, Bw. Makoba alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Msajili wa Hazina.
Bw. Makoba anachukua nafasi ya Bw. Mabhare Matinyi ambaye amepangiwa majukumu mengine.

V. Amemteua Bw. Ally Rajab Mketo kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Bukombe. Kabla ya uteuzi, Bw. Mketo alikuwa Afisa Tawala Mwandamizi, Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Bukombe. Bw. Mketo anachukua nafasi ya Bw. Onesmo Kisoka ambaye amestaafu.

vi. Amemteua Jaji Dkt. Mary Caroline Levira kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto. Jaji Dkt. Levira ni Jaji wa Mahakama ya Rufani. Jaji Dkt. Levira anachukua nafasi ya Jaji Dkt. Gerald Ndika ambaye amemaliza muda wake.

vii. Amemteua Dkt. Leonard Douglas Akwilapo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA). Dkt. Akwilapo ni Katibu Mkuu Mstaafu na Mhadhiri Mwandamizi, Kikuu Kikuu cha Dodoma. Dkt. Akwilapo anachukua nafasi ya Prof. Maurice Mbago ambaye amemaliza muda wake. Amemteua Dkt. Noel Eusebius Mbonde kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Utawala.

viii. ya Chuo cha Ufundi Arusha. Dkt. Mbonde ni Mkurugenzi Mstafu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

Matinyi alikuwa kazini. Aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya Temeke ili kusaidia jambo la DP World. Akateuliwa kuwa Msemaji wa Serikali ili kusaidia jambo la Ngorongoro, DP World n.k, ambazo zote amezifanya vizuri. Anarudi "kwao" ambako atakuwa na nafasi nzuri zaidi ya kuisaidia nchi.

Thobias Makoba alianza kuwa na interest na media toka mwaka 2010 alipoanza kuchangia kwenye gazeti la The Citizen. Ni mtu mwenye akili na anajua anachokifanya lakini huwezi kupinga ukweli kuwa siyo mwandishi wa habari na hajui tamaduni za wadau wake wakubwa ambao ni waandishi wa habari. Asilimia 80 ya kazi za msemaji wa serikali hazionekani kwenye magazeti; siyo kazi ya kujibu hoja au kutoa ufafanuzi bali kushawishi mwonekano wa rais na serikali kwa ujumla kwenye vyombo vya habari. Msemaji anashiriki kuua habari nyingi mbaya zisitolewe na vyombo vya habari n.k. Matinyi alifanikiwa kutokana na kuheshimika na tasnia ya habari (amewafundisha kazi wahariri na waandishi wengi) na pia kutokana na kuwa kachero. Kazi zake nyingi anazifanya ki-kachero zaidi ie rejea story ya VOA kuhusu mkataba wa Korea. Ndiyo maana umeona hostility kati za Samia, serikali na media ilipungua kwa kiasi kikubwa.
Zuhura alifanikiwa kwenye kazi yake kwa kiasi kikubwa kutokana na wahariri wengi kuwa rafiki zake; wametafuta wote habari, wameombana nauli nk.

Kumteua Makoba ni sawa na kumteua mtu ambaye hawajahi kuwa mwanajeshi akaongoze jeshi.
Kwahiyo Makoba atapata shida ya kuelewa na kujifunza utamaduni wa vyombo vya habari ili kusaidia kuvishawishi. Ataishia mikononi mwa wakina Balile ambao watampiga majungu kama waliyompiga Zuhura ili wateuliwe wao kwenye nafasi hiyo.

Tatizo jingine la nafasi ya usemaji ni kuwa ni cheo ambacho ni chini ya Naibu Katibu Mkuu. Huwezi kufanya kitu chochote bila kupata ruhusa ya Katibu Mkuu. Huwezi kuwa msemaji wa serikali yote wakati huohuo wasemaji wakuu wa wizara ni makatibu wakuu ambayo cheo chako ni kidogo kuliko wao. Msigwa na Abbas walifanikiwa kwa kuwa walikuwa na support ya moja kwa moja kutoka kwa jiwe. Matinyi alifanikiwa kutokana na ukachero wake mbali na muundo na sheria kubana. Tusubiri kuona Thobias Makoba atafanya nini.
 
Kwenye ofisi yake kuna tatizo mahali yetu macho na masikio kuona na kusikia tu.
 
Balile ni mtu wa hovyo sana na msaka fursa,Samia asipokuwa makini shauri yake.Watu kama akina Balile ni wengi sana wapo tu kwa ajili ya kuitafuna nchi.,Ndiyo maana hata anapoongea anatoa mishipa kutetea vitu vya kipuuzi puuzi watawala wawe wajanja na huyu mtu.
 
Back
Top Bottom