UTEUZI: Latifa Mohamed Khamisi ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu TANTRADE

UTEUZI: Latifa Mohamed Khamisi ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu TANTRADE

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Latifa Mohamed Khamisi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Biashara Tanzania (TANTRADE)

Anachukua nafasi ya Edwin Rutegaruka aliyeteuliwa kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo alikuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE

D3FBB5B0-1896-4481-BEE4-CAF885FA0E15.jpeg
 
Nakiri kusema tuna safari ndefu sana. Mungu tusaidie. Mungu tusaidie. Mungu tusaidie. Wewe pekee waijuwa kesho yetu sisi watanzania. Tuna watu wana akili sana hili taifa ila wote wamefunga vinywa vyao. Je kesho yetu itakuwaje. Wewe wajuwa Baba. Zaidi twawaombea hekima na akili walio ktk madaraka. Amen.
 
We are confused as a nation; likitokea baya linashangiliwa, teuzi inapingwa, mtu akikataa chanjo hata kama sio mwanasayansi anaonekana "hero".

Nadhani watanzania tunatakiwa ku-update vichwa vyetu, wakati serikali ikifanya haraka kuondoa Tozo, vingnevyo miaka miwili ijayo hili taifa litaongoza kwa kuwa na vichaa wengi duniani.
 
Unamaanisha kitu gani mkuu?

Miaka Mia tano baada ya Nabii Issa pale Maka hapakuwa mtu aliyejua kusoma wala kuandika isipokuwa mtu mmoja aitwaye Aboubakari

Mtu Mohamed hakujua kusoma wala kuandika pale Maka

Qurani ilikuwa ikiandikwa na Aboubakar wakati huo

Uislam ni imani iliyokuja miaka Mia tano baada ya Yesu Kristu

UHINDU na Imani za kihindi zina miaka mingi kuliko ukristo na uislam

Sasa Kafiri ni yule asiyejua historia za dini hizi yaani uislam na ukristo au Kafiri unamaanisha kitu gani?

Afghanistan wale Talibani ni waislam au wakristo?

Alshabab ni waislam au wakristo?

Yule wa jana Salender ni muislam au mkristo?

Isis na Mujahdina ni waislam au wakristo?

Unafahamu kwanini hawa watu wana tabia hizo

Njoo inbox ufundishwe mambo, Mambo wanayofanya waislam Leo, Kanisa katoliki lilishayafanya sana hapo kale, Kanisa liliua, Kanisa lilitesa wote waliolipinga

Kanisa lilisema dunia ni tambarare kama meza, Waliopinga kanisa walidhibitiwa

Ukijua historia ya hizi dini utaanzisha kanisa lako au msikiti wako na utajiita Mtume, shekhe au Nabii

Sent using Jamii Forums mobile app

Awamu hii waislamu wanaula
Udini ni ukichaa ndani ya vichwa vya wapumbavu......

#NchiKwanzaKablaYaChochote
 
Wacha weee,na udini wako binadamu wenzio unawaona kama mavi vile.

Amekua mkurugenzi msaidizi cheo cha pili baada ya mkurugenzi mkuu,hyo CV wala hukutaka ila macho y'all ya moyoni yakaangalia jina na akili yako ikaingiza udini ndani yake.

Ila ni kawaida mbona,Wacha twende hvyohvyo na wapuuzi wachache kama nyinyi
Waafrika tuna safari ndefu sana ya KUJITAMBUA VYEMA NA KUITAMBUA DUNIA......

Wenzetu wanaongelea UBUNIFU wazidi kuishi vyema sisi tunaangaliana WAJIHI ,DINI NA MAKABILA duuuh 🤣🤣
 
We are confused as a nation; likitokea baya linashangiliwa, teuzi inapingwa, mtu akikataa chanjo hata kama sio mwanasayansi anaonekana hero, nadhani watanzania tunatakiwa ku-update vichwa vyetu, wakati serikali ikifanya haraka kuondoa Tozo.
a leading shithole country .....Tanzania
 
Back
Top Bottom